Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,088
- 13,515
Sitaki kukumbuka
[emoji3][emoji3]kama ni ujana mbona hadi sasa unatembeza tu nanii [emoji119][emoji119]Sio sana mkuu,
Ulikua ujana ule[emoji4]
We jamaa ni KITOMBI wa kitaifa na kimataifa.Kisa kingine nilichogonganisha magari,
Kipind bado sijaoa,
Nikaja kua na mahusiano na binti mmoja alikua anasomea uhasibu kule mkoani (Arusha). Kiukweli binti yule kweli nlikua nampenda sana na nilipanga aje awe mama watoto wangu siku za usoni.
Sasa kutokana na ukame,
Shetan akaja akanipitia nikaangukia mikononi mwa BINTI mmoja anasubiria ajira za serikali pale mtaani kwetu kwao wanafuga ng'ombe wa maziwa. Kwaiyo alikua ananiletea maziwa ya bill kila siku Jion nikisharudi au asbh Sana kabla sijaenda dukan kwangu.
Nikaanza kupita nae kimya kimya .
Sema sikumwambia kwamba nna mtu mwngn tayar.
Sasa Kuna Siku mchumba wangu uyu karudi likizo kafikia kwangu, tukiwa ndani tunafanya yetu ikasikika geti linafunguliwa, Kisha hodi sebleni inagongwa.
Nikauliza "Nani?" ikajibiwa saut ya mtoto mdg kwamba "maziwa" . Nikajua apa usalama ile sauti Ni ya kitoto Cha kwao yule BINTI kimeleta maziwa.
Nikamwabia mwanamke wangu akayachukue maziwa, Basi akachukua na akayapelea MoJa jikon tukandelea kufanya yetu.
Haukupita MDA mrefu Sana tuko tunafanya,
Ikasikika tena geti linasukumwa na hodi nyngn Tena seblen inagongwa, nikauliza "Nani?" kitoto kikaitikia "maziwa"
Nkamwambia mpnz Wang, kamsikilize uyo mtoto anashida gani. Akanambia wee nenda bhana ndo mwenyeji.nikasema POA.
Basi nikavalia boksa na taulo tu nikaenda kufungua, ile nmefungua nikasukumwa kwa ndani, akaelekea chumban Moja kwa moja Kisha nikamfata uko uko. Ile kafika kaanza kulia afu naulizwa "uyu Ni Nani?"
Nikaona hapa,
nikijifanya nabalance kote kote apa nakosa vyote. Apa niangalie upande wa mpenz wang kwa manufaa.
Nikamjibu, "unaniuliza hivyo wewe Kama Nani?"
Akasema, "nakuuliza Kama mpenz wako"
Nikamjibu, "mpenz wako tangu lini? Hivi una akili nzur kweli wewe mwanamke? Au umetumwa?"
Mpenz wangu nae akauliza
"Dp kwani uyu Ni Nani?"
Nikamjibu,
"Mi mwnyw simjui mpnz wang, nashangaa ananiparamia uyu Sijui katumwa na Nani? "
Binti akadakia,
"Dp Hivi wewe wa kunifanyia Hivi kisa hiki kinyago chako umekileta umu ndani?" Uku anaelekea kumkaba Koo na kumpiga makofi.
Aisee wakaanza kukabana,
nikaona Ujinga huu. Nikamtenganisha Kisha nikamzaba makofi mawili ya kushiba shavu la kushoto na la kulia akamuachia koo.
Nikamburuza kwamba atoke kwangu simtambui Mimi, akalia Sana nnachomfanyia sema nikawa serious nikamtoa nje na makofi kibao nikamtupa kwa nje ya geti.nimefura hasira. Kisha nikafunga geti.
Ile nmerud ndani nmenuna,
Uyu nae akaniamshia kesi upya,
"NATAKA uniambie ukweli yule alikua Nani yako? Vinginevyo hapa hapakaliki"
Nikamwambia kwa ukali sana,
"Na Wewe usiniletee huo upumbavu wako Kama umenichoka uniambie tuachane kwa amani sio kunitengenezea mafumanizi feki na kunitumia wanawake hawaeleweki hapa kwangu kuja kunidhalilisha"
Nikaongezea,
"Ifike MDA huu upumbavu mkafanyiane uko na wapumbav wenzenu. Hivi Mimi na heshima zangu naanzaje kutembea na wanawake wabovu na wachafu wachafu Kama wale na wananuka nuka maziwa mwili mzima, hebu tuheshimiane. Tena ukome kabisa kunijaribu. Sijaribiwi mimi"
Akasema,
"Aaah Lazima niulize, maana yule Ni mtu mzima na alikua serious, usitake kujifanya humjui kisa mimi"
Nikamjibu,
"Aisee Kama na Wewe unaungana na yule kichaa wako naomba uondoke apa kwangu haraka sana kabla sijakufanya kitu kibaya. Sitaki upumbavu kwangu" huku nae namburuza kumtoa chumba kumleta sebleni ili aondoke,nae nikamtupia mkoba na mtandio wake chini uko sebleni.
Akaanza kua mpole,
"Basi sawa nmekuelewa, turudi chumban kwanza, unaniburuza unaniumiza bhana"
Nikamjibu,
"Umeyataka mwnyw, huwez kuniletea watu wa hovyo kwangu kisha nikuvumilie"
Akasema,
"Subir bhana, wee unavyonifikiria ndivyo sivyo mwenZio"
Nikamwambia,
"Sitaki kuskia chochote kinahusika na hili suala kwa Sasa,Wee na yule mpumbavu wako mmenivuruga akili yangu kabisa leo, siko sawa kabisa" uku nmenuna balaa.
Akasema, "Aya, Basi yaishe"
Kesi nikawa nmeimaliza hivyo,
Ila Sasa baada ya hapo, Yule binti baada ya siku 2 nikaja kutana nae njiani nikamwambia nna maongez na yeye akasema nimuache.
Nikamwambia nishakuacha mda Wala Sina MDA na wewe Niko kwny mahusiano mengine, maongez yanahusu vitu vingine kabisa na sio mapenz na wewe.
Akakubali ila kwamba tukutane baa na sio kwangu Wala lodge. Nikakubali.
Ile tumefika baa nikamwambia twende lodge nikakukabudhi vitu vyako vyote tulivyopeana tuachane kwa amani, mahusiano aya yafe rasmi. Akakataa ila baadae akakubali.
Aisee alivyofika lodge,
Hakukua na kitu chochote Wala Nini, Tukaishia kusex na tukarudiana tena.
Ila baada ya kusex nikamwambia na yeye alichokosea ni kuja kwangu bila taarifa, afu yule Ni MKE wangu kabisa na siku ile wake zangu walikuemo ndani. Akalalamika ila akakubali ule uwongo wangu.
Na akasema kabla hajaja atakua ananiparamia taarifa. Nikasema sawa.
Nikawa namega wote, kabla hajaja anaambia kwamba aje au aache.
Ila Baadae sasa uyu binti alikuja kupata KAZI Zanzibar, umbali ukatuachanisha kabisa.
Uyu wa uhasibu Arusha,
Tulikuja kuachana aliponifumania na mwanamke mwingine Mara ya pili Niko Coco Beach kwny gar tunafanya mapenz.
Na kwasababu tayar nilishamtoa moyoni hata sikuangaika nae, Aliposema tuachane nikasema "POA" ikawa imeisha hivyo.
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijawahi mkuu,mimi tunaachana asubuhi jioni namkubali niliyemweka pending.Ngoma hailali
Mtaalamu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanamke haruhusiwi kuja kwangu bila taarifa na ruksa under any circumstances. Plus huwa nawafuata mwenyewe na kuwarudisha
Hawajawahi kuja wenyewe, mwingine hata kituo cha daladala hakijui. So nina uhakika hawawezi nivamia.Mtaalamu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee nae mkorofi TU[emoji4][emoji3][emoji3]kama ni ujana mbona hadi sasa unatembeza tu nanii [emoji119][emoji119]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni utaratibu mzuri.Hawajawahi kuja wenyewe, mwingine hata kituo cha daladala hakijui. So nina uhakika hawawezi nivamia.
Wanawake ni wakutafunwa tu kudadadeki[emoji16][emoji16]. Tuwatafune Aiseee[emoji23][emoji23]Kugonganisha magari kusikie tu, hata kama wewe ni kauzu namna gani pale lazima uwe mpole.
Mimi kesi ya kwanza kugonganisha magari ni magari yenyewe yalinipanga, magari yakapanga kunishikisha adabu bila mimi mwenyewe kujua.
Mwaka flani nimeanza mahusiano na kabinti ka chuo, katoto katamu balaa, katoto kabichi kabisa. Unajua hivi vitoto vikianza mahusiano vinaingia na kila kitu maana unakuta bado viko innocent, moyo bado haujaumizwa sana.
Sasa hako kabinti kakawa muda mwingi kanakuja geto nakatafuna kanalala ama kanarudi hosteli. Sasa kutokana na shughuli zetu hizi unarudi usiku umechoka, baada ya show mimi nalala, kenyewe kako macho kanacheza na simu.
Kumbe wakati mimi nimelala, mchepuko wangu mwingine mkali kinoma, huyu nilianza kumla akiwa mdogo kabissa. Huyu hua unapiga simu usiku haipokelewi, mara nyingi hua anapiga kujua kama niko macho maana anajua nawahi kulala so hata isipopokelewa hana shid. Kumbe kale katoto kakachukua ile namba maana kameshaona jina zaidi ya mara moja napigiwa usiku.
Kale katoto ka chuo kakamtafuta mchepuko wangu, wakaongea wakaelewana. Mimi kalipokuja kuniuliza nimaruka kimanga bila kujua kwamba kana file langu zima, nikakaelewesha kakaelewa nikaendelea kukala bila shida.
Sasa siku moja mchepuko wangu ukanitumia picha za hako katoto WhatsApp, akaniuliza huyu ni nani, nikashangaa sana. Nikajua hapa kuna mchezo, nikamwambia ukweli, akasema sawa nimekuewa ila achana nae. Nikasema sawa nishaachana nae huku ukweli naendelea kukachakata kama kawaida na nikakapiga biti kasimtafute huyo mwanamke tena. Kakakubali kumbe wananichezea mchezo bila mimi kujua.
Sasa ipo siku nashangaa mchepuko mkubwa unaniambia utakuja kulala, sio kawaida yake kabisa, nikamuuliza umepataje ruhusa nyumbani, akasema nyumbani yuko sister peke yake nimemwambia nakuja kwako amekubali, nikasema sawa ila nikahisi hapa kuna shida.
Kweli mchupuko ukafika jioni, tukapiga piga story hapo, kila nikiomba mechi unasema subiri, subiri ila uko busy na simu kumbe anamwambia yule dogo kua nishafika kwangu njoo nikuhakikishie kua huyu ni mume wangu.
Sina hili wala lile, nashangaa geti inagongwa, naenda kufungua ni katoto ka chuo, moja kwa moja hadi ndani na kanaanza kuniuliza huyu ni nani? Yule mchepuko anajifanya kushangaa kama hajui kitu. Aisee, niliishiwa nguvu, sema katoto ka chuo hakakua na shida kakaondoka. Mchepuko nikamtuna hadi asubuhi, jioni nikakaleta katoto ka chuo kukatafuna pia. Hawa wanawake ni kujua kucheza na akili zao tu.
Wee jamaa una visa sana, kwanza vp ulishamalizana na yule charii wako anayekumegea? Ushamteka ama bado unaunda tume ya wasiojulikana[emoji23][emoji23]Kisa kingine nilichogonganisha magari,
Kipind bado sijaoa,
Nikaja kua na mahusiano na binti mmoja alikua anasomea uhasibu kule mkoani (Arusha). Kiukweli binti yule kweli nlikua nampenda sana na nilipanga aje awe mama watoto wangu siku za usoni.
Sasa kutokana na ukame,
Shetan akaja akanipitia nikaangukia mikononi mwa BINTI mmoja anasubiria ajira za serikali pale mtaani kwetu kwao wanafuga ng'ombe wa maziwa. Kwaiyo alikua ananiletea maziwa ya bill kila siku Jion nikisharudi au asbh Sana kabla sijaenda dukan kwangu.
Nikaanza kupita nae kimya kimya .
Sema sikumwambia kwamba nna mtu mwngn tayar.
Sasa Kuna Siku mchumba wangu uyu karudi likizo kafikia kwangu, tukiwa ndani tunafanya yetu ikasikika geti linafunguliwa, Kisha hodi sebleni inagongwa.
Nikauliza "Nani?" ikajibiwa saut ya mtoto mdg kwamba "maziwa" . Nikajua apa usalama ile sauti Ni ya kitoto Cha kwao yule BINTI kimeleta maziwa.
Nikamwabia mwanamke wangu akayachukue maziwa, Basi akachukua na akayapelea MoJa jikon tukandelea kufanya yetu.
Haukupita MDA mrefu Sana tuko tunafanya,
Ikasikika tena geti linasukumwa na hodi nyngn Tena seblen inagongwa, nikauliza "Nani?" kitoto kikaitikia "maziwa"
Nkamwambia mpnz Wang, kamsikilize uyo mtoto anashida gani. Akanambia wee nenda bhana ndo mwenyeji.nikasema POA.
Basi nikavalia boksa na taulo tu nikaenda kufungua, ile nmefungua nikasukumwa kwa ndani, akaelekea chumban Moja kwa moja Kisha nikamfata uko uko. Ile kafika kaanza kulia afu naulizwa "uyu Ni Nani?"
Nikaona hapa,
nikijifanya nabalance kote kote apa nakosa vyote. Apa niangalie upande wa mpenz wang kwa manufaa.
Nikamjibu, "unaniuliza hivyo wewe Kama Nani?"
Akasema, "nakuuliza Kama mpenz wako"
Nikamjibu, "mpenz wako tangu lini? Hivi una akili nzur kweli wewe mwanamke? Au umetumwa?"
Mpenz wangu nae akauliza
"Dp kwani uyu Ni Nani?"
Nikamjibu,
"Mi mwnyw simjui mpnz wang, nashangaa ananiparamia uyu Sijui katumwa na Nani? "
Binti akadakia,
"Dp Hivi wewe wa kunifanyia Hivi kisa hiki kinyago chako umekileta umu ndani?" Uku anaelekea kumkaba Koo na kumpiga makofi.
Aisee wakaanza kukabana,
nikaona Ujinga huu. Nikamtenganisha Kisha nikamzaba makofi mawili ya kushiba shavu la kushoto na la kulia akamuachia koo.
Nikamburuza kwamba atoke kwangu simtambui Mimi, akalia Sana nnachomfanyia sema nikawa serious nikamtoa nje na makofi kibao nikamtupa kwa nje ya geti.nimefura hasira. Kisha nikafunga geti.
Ile nmerud ndani nmenuna,
Uyu nae akaniamshia kesi upya,
"NATAKA uniambie ukweli yule alikua Nani yako? Vinginevyo hapa hapakaliki"
Nikamwambia kwa ukali sana,
"Na Wewe usiniletee huo upumbavu wako Kama umenichoka uniambie tuachane kwa amani sio kunitengenezea mafumanizi feki na kunitumia wanawake hawaeleweki hapa kwangu kuja kunidhalilisha"
Nikaongezea,
"Ifike MDA huu upumbavu mkafanyiane uko na wapumbav wenzenu. Hivi Mimi na heshima zangu naanzaje kutembea na wanawake wabovu na wachafu wachafu Kama wale na wananuka nuka maziwa mwili mzima, hebu tuheshimiane. Tena ukome kabisa kunijaribu. Sijaribiwi mimi"
Akasema,
"Aaah Lazima niulize, maana yule Ni mtu mzima na alikua serious, usitake kujifanya humjui kisa mimi"
Nikamjibu,
"Aisee Kama na Wewe unaungana na yule kichaa wako naomba uondoke apa kwangu haraka sana kabla sijakufanya kitu kibaya. Sitaki upumbavu kwangu" huku nae namburuza kumtoa chumba kumleta sebleni ili aondoke,nae nikamtupia mkoba na mtandio wake chini uko sebleni.
Akaanza kua mpole,
"Basi sawa nmekuelewa, turudi chumban kwanza, unaniburuza unaniumiza bhana"
Nikamjibu,
"Umeyataka mwnyw, huwez kuniletea watu wa hovyo kwangu kisha nikuvumilie"
Akasema,
"Subir bhana, wee unavyonifikiria ndivyo sivyo mwenZio"
Nikamwambia,
"Sitaki kuskia chochote kinahusika na hili suala kwa Sasa,Wee na yule mpumbavu wako mmenivuruga akili yangu kabisa leo, siko sawa kabisa" uku nmenuna balaa.
Akasema, "Aya, Basi yaishe"
Kesi nikawa nmeimaliza hivyo,
Ila Sasa baada ya hapo, Yule binti baada ya siku 2 nikaja kutana nae njiani nikamwambia nna maongez na yeye akasema nimuache.
Nikamwambia nishakuacha mda Wala Sina MDA na wewe Niko kwny mahusiano mengine, maongez yanahusu vitu vingine kabisa na sio mapenz na wewe.
Akakubali ila kwamba tukutane baa na sio kwangu Wala lodge. Nikakubali.
Ile tumefika baa nikamwambia twende lodge nikakukabudhi vitu vyako vyote tulivyopeana tuachane kwa amani, mahusiano aya yafe rasmi. Akakataa ila baadae akakubali.
Aisee alivyofika lodge,
Hakukua na kitu chochote Wala Nini, Tukaishia kusex na tukarudiana tena.
Ila baada ya kusex nikamwambia na yeye alichokosea ni kuja kwangu bila taarifa, afu yule Ni MKE wangu kabisa na siku ile wake zangu walikuemo ndani. Akalalamika ila akakubali ule uwongo wangu.
Na akasema kabla hajaja atakua ananiparamia taarifa. Nikasema sawa.
Nikawa namega wote, kabla hajaja anaambia kwamba aje au aache.
Ila Baadae sasa uyu binti alikuja kupata KAZI Zanzibar, umbali ukatuachanisha kabisa.
Uyu wa uhasibu Arusha,
Tulikuja kuachana aliponifumania na mwanamke mwingine Mara ya pili Niko Coco Beach kwny gar tunafanya mapenz.
Na kwasababu tayar nilishamtoa moyoni hata sikuangaika nae, Aliposema tuachane nikasema "POA" ikawa imeisha hivyo.
Yaote sugu au apate chanjo ya UVIKO 19?Hii siti matako lazma yaote suguuh
RIP Man Gwair"Ndiyo kisa cha kugombana na Evance,
Aliponikuta ghetto na mdogo wake Nancy"
Mbona ulisema viatu aliacha nje??? Tangawizi imezidi[emoji23][emoji23][emoji23] balaa zito mkuu.
Mimi nakumbuka nilishawah kuwa na pisi moja hivi ya kizaramo iliwahi kunikubali kinoma kwasababu ya show[emoji16].
Ile pisi ilihamia hadi geto, tulikuwa tunapeana show like tunacheza porn[emoji16] ni show za kukata na shoka+wet f**ck mpaka ndugu zangu wakaanza kumfahamu[emoji23][emoji23].
Sasa kuna siku nipo narudi mishe nikakutana na manzi moja kali sana ya kitanga kituo cha daladala nikamchombeza stor za hapa na pale+kugombania gari pamoja nikamuwahia seat tukakaa piga stor nikamuachia mawasiliano.
Sasa tuliwasiliana baadae akaniahidi weekend atakuja kupajua geto, sasa jumamos mim huwa nawah kurud job kwahyo hatukukutana ila aliniambia kesho yake akiwa anajiandaa kuja atanichek.
Kweli kesho yake mapema tu asubuhi akanitaarifu, nikampanga bibie wa kizaramo kwamba jumapili sipo so asije akasema poa. Dah kisanga ndo kilipoanzia hapo[emoji23][emoji23]
Bibie yule wa kitanga akaja nikamchek boda boda wangu mmoja hivi pale kituoni aniletee my new kimwana wangu aje anipe mambo ya kitanga[emoji23][emoji23] mwanangu wa boda hakuniangusha akaniletea mpaka mlangoni.
Tumeingia ndani mtoto akarekebisha diko fresh piga pale msosi mixer mahaba ya kulishana, msosi umeisha mambo yakaanza[emoji23][emoji23] . Dah watanga achana nao.
Sasa tumefika stage fulani mambo yaanze si nasikia mlango unagongwa[emoji134] dah kumbe bibie yule hakuingiza na viatu ndani, yule nae sijui alishtuliwa na nani yaan alianza kupiga makelele funguaaa mlango nakwambia funguaaaaa[emoji23][emoji23]
Nikasema mama yangu leo ndo leo naona na kichwa kama kimepata ganzi+kizunguzungu na mtaani pale wanavyonichulia na nature yao nikasema nikasema lazima nirueshwe kwenye media[emoji23][emoji23]
Sasa bibie yule wa ndani akawa analia tu huku ananilaumu, ikabidi nimtulize nikamwambia huyu boya najua nitakavyomdhibiti usijali, ila nilimualert kwamba pindi nitakapomdhibiti itabidi yeye atafute njia akimbie[emoji23][emoji23][emoji23] yaani!
Basi mda huo nikamchek mshikaj wang wa boda nikamwambia aje chap nimezingua jamaa kweli akakubali. Sasa nikasema nifungue tu mlango huku tunavutana na yule bibie hataki nifungue anaogopa atapigwa[emoji23][emoji23] yule wa nje anagonga kwa hasira tu huku anatukana mitusi.
Nikamwambia yule bibie shika viatu vyako mimi naenda kukabiliana nae[emoji23][emoji23] mda huo jamaa yangu ananiambia amefika amekuta watu kibao nje[emoji134][emoji134] nikapata nguvu nikafungua mlango. Ile nafungua mlango wakuu yule bibie mzaramo hakutaka kuhangaika na mimi akataka kwenda kumvaa bibie wa watu[emoji23][emoji23] nilichofanya nikambana kwa nguvu kwa nyuma mikono nimepitisha kwenye kiuno kukuru kakara nyingiii[emoji23][emoji23] nikamwambia yule bibie kimbia sasa wewee. Aiseee alitoka ndukiii[emoji23][emoji23] akawahi bodaboda mshaleeeeee....[emoji23][emoji23] nimemuachia yule bibie akaanza kunipiga mibao[emoji23][emoji23] dah mwisho wa siku akakaa chini analia tu.
Dah mim nikazama ndani nikavaa viatu nikaamsha kwa mwangu. Yule bibie wa kitanga akanichek usiku ananipa pole nilishangaa sana, na mim nikampa pole. Kwa jamaa yangu Nimekaa kama siku tatu nikasema pale sikai lazima nihame.
Yule bibie wa kizaramo nilimtumia msg nikamwambia anisamehe hata kama tukiachana poa Lakini msamaha wake ni muhimu akanijibu amenisamehe ila hatosahau kwa nilichomfanyia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah ishort sitosahau kilichotokea but bibie wa kitanga nilikuja kumdinya na wa kizaramo huwa tunakumbushia mara moja moja japo wote wameshaolewa.[emoji23][emoji23]