Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

Mm kuna mwanamke wa kiarusha nmezaa nae but hatuishi pamoja kwa sasa,ila wakati anakula uzazi alienda kuishi kwa dada angu ambapo sio mbali sana na nlipokua naishi,mwanamke ana mtoto wa miez miwili alaf n upasuaji so nlitaka aishi pale kwa dada ili amsaidie maana mie bdo ckua na uzoefu na lolote,
Pale jirani na sister kulikua dem anasoma form four kipind hiko,,huyu nlianza date nae kuanzia akiwa form 2 so lilikua colon langu,

Siku io jumamos nmempanga aje ghetto akaja chap nikamlipa bodaboda wangu[emoji23] mtoto akaingia ndani,n nmepiga kimoja nmekaa nasikilizia uchovu mara sister ananipigia cm,ckupokea akapiga kama mara 4 iv sikupokea,akatuma sms mwenzio amepigiwa cm kwamba uko na mwanamke ndani hapa anasubiri pkpk aje huko,,

Aisee nlishtuka mwili mzima ulisisimka,nampigia bodaboda wangu hapokei cm,nikamuandikia sms njoo home chap kuna majanga,kumbe yeye ndo amemfata mama wa mtoto wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ghafla nasikia boda nje kutoka nakuta boda ananisubiri mm na mwanamke ameshuka kwenye pkpk anaropoka yaaan mm nateseka kulea mwenyewe wewe unafanya umalaya huku,

Sijui ule ujasiri nliutoa wapi aisee,nlirud ndani nikamchukua dem nkamuambia mambo yameharibika njoo usepe akaja akapanda pkpk ile ile akaondoka,nikamshika mkono mwanamke wangu nikaingia nae ndani nikamuambia chagua moja piga kelele uondoke ukiwa unalia kwa maumivu ya vibao au ukae kimya tuyamaliza,,,hapo nipo kikauzu sicheki,akakaa kwenye kochi akaaanza kulia,,mm nkaita bodaboda nikasema nikamuacha ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyo dreva boda boda ni fala sana.. inawezekana ndio snitch wako aliemwambia mama watoto una dem mwingine ndani
 
Mwamba huyu hapa
 
Yaani ujana acha kabisa mkuu,hapo nilikua single boy sina majukumu yoyote afu ndo kwanza ninakigari cha misele na kamji ka Iringa ni kadogo ila vyuo vingi sana mademu kama wote hadi unachanganyikiwa

Fanya yote ila usije shuka ipogolo we mzee tutakuzika siku mbili tu
 
Toka nichangiwe nipigwe mabao nimejifunza kutoleta mademu zangu ghetto

We mzee bhn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi mwenzio mpk sahz nna kidonda demu lilinikata na kisu kidole liliponifuma na kademu ka chuo geto..afu kesho yake linataka nilichakate ..mamaeeeeeeeeeee sikuchakata nilifukuza
 
Nliwaambia sasa mshafahamiana, ebu ondokeni nataka kulala.
Mmoja ndo ilikuwa mwisho wa kumuona siku hizi uwa naona picha zake insta tu kapendeza anakula neema za Mungu ana pesa na biashara zake yuko mbali na TZ hii.
Hapo ndipo uwa nakumbuka saa nyingine Mungu anakuokoa na wewe kwa muda huo unahisi umepata mkosi. Maana angekaa na mimi huenda angekuwa ashapauka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipindi fulani nilikuwa Moshi kikazi nikabanwa na ukame nikaanza msako. Karibu na kazini kulikuwa na mawakala wa mpesa wazuriiii matoto mawili ya kichaga kwenye duka moja. Nikapambana nikapata namba ya Pisi A,nikamkomalia akaja mpaka hotel. Nikaweka mitego ya kula kimasihara akachomoa ananiambia nimtongoze kwanza 🤣🤣🤣
sababisha yote hayo. Mimi nilikuwa na ukame uliofika hatua mbaya sasa yeye hakuwa tayari kunisaidia.

Ikanilaumu sana na kuniona malaya,ikanitaka nifute namba yake na nisimtafute tena. Nikamwambia isiwe taabu,chukua
Dah mshkaji wangu yalimkuta mazito kilinuka mpk akaita mtu wa kumsaidia
Sema ni mdhaifu sana when it comes to
 
Miaka ya nyuma kabla sijaoa nlikua na binti mmoja mlokole Kwny mahusiano.

Sema ulokole wa mpenz wangu yule uliniokoa kwny kesi, Aliamini mno uchawi Hadi kwny vitu vya kijinga kabisa Kama vile[emoji3]
Hiyo hakua mlokole mkuu😄 mlokole gani anafnya uasherati
 
Back
Top Bottom