Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

Nilinunua glucose za kutosha, napiga simu kama nina mgonjwa icu, ma juice, nikifika naambiwa kazinduka mda si mrefu...hayo masaa yalikuwa marefu sana [emoji23][emoji23], all in all nimepitia mengi ya ujana, hawakunipeleka maana hata hao roommates zake ni rafiki zangu walikuwa wananionea huruma tuu
Haha yaani nacheka hapa kama mazuri.
 
We jamaa umetisha
Nilinunua glucose za kutosha, napiga simu kama nina mgonjwa icu, ma juice, nikifika naambiwa kazinduka mda si mrefu...hayo masaa yalikuwa marefu sana [emoji23][emoji23], all in all nimepitia mengi ya ujana, hawakunipeleka maana hata hao roommates zake ni rafiki zangu walikuwa wananionea huruma tuu
 
Tehteh..mama kumbe karibia ufwe?

Bwana mimi Kwa wanaoijua Galanos basi watanijua na usinitaje labda nicheke PM.

Bendera ya ule mlingoti pale mbele ilinasa pale juu kwenye kitundu ule mlingoti ni mrefu saana. Chini ni mnene juu ni mwembamba.

Sasa ikabidi atafutwe mtu anayeweza kupanda miti na na mdogo mdogo mwenye uzito mkubwa ataanguka nao.

Nikaitwa kamvua kalikuwa kananyesha ila kakawa kamekata..na inabidi tuitoe maana mkuu wa wilaya soon anakuja. Nikapanda ila kwa shida saana maana chokaa ikiwa na majimaji huteleza.

Ile nimefika juu na kuishika bendera kumbe kuna zenge la nyingu limefunda hapo. Lote likanizingira na kunin'gata ila sikuiachia bendera nikateleza nayo chini nikaanguka "Paaa".

Mkuu wa shule aliogopa akajua nimefariki maana dakika 20 sijielewi. itaendelea.
Tehhhhhhhhh nimecheka saaana. Naona hapa fest eid walikupeleka pale dispensary kwa yule mama nesi.....lol.
 
Ya pili.

Ya pikipiki..Napenda kucheza nazo.

Dar wenye pikipiki hawazifurahii. Simaanishi boxer wala Toyo wala King lion au sanLG.

Hii barabara ya Mwl nyerere imenyooka bhana. Siku nimeenda kurekebisha Pikipiki pale Banana kijiweni kuna fundi alikuwa anaitwa Rasta (RIP). Tukabebana huyu jamaa nimeskia juzi kati kafariki chuga akiwa anacheza na Baja akaingia ndani ya Scania...walichofanya ni kuokota vipande vya mwili wake na kwenda kuzika.

Sasa tumefika hapa kiwanda cha Sabuni akaipa..mbele kuna Eicher jamaa akataka kui-overtake na tulikuwa upande wa kushoto mwa barabara....Baja hazina side mirror kama inayo yako katoe.

ile kuingia kumbe nyuma yetu gari ya taka jamaa kaipa yote inawahi mataa ya vingunguti...daah ilipita vuuuu abiria wa eicher hadi wakapiga kelele...yaani ilibaki sekunde tuchotwe na nilikuwa nyuma.

Huyu jamaa kafariki chuga kwasababu hii.
Aiseeeee
 
Mwaka huu huu

Nilikuwa naendesha pikipiki nimeazima hizi ndogo za honda click. Sasa nikawa nimepak karibu na sheli kuingia barabara kuu. Sasa nikawa nachart huku nachezea ile sehemu ya mkono ya kuvuta mafuta. Navuta paka mwisho. Naachia. Hapo nimeizima. Yan navuta kisha naiacha. Huku naendelea kuchart.

Sasa ile nakuja kuwasha. Kwa wale wanaofahamu pikipiki za click, zipo automatic tuu ukisha washa hamna gear wewwe ni kuvuta mafuta.

Ofcourse sio mjuzi saana kwenye pikpik. Ile nawasha tuu. Kumbe wakati naichezea navuta mafuta paka mwisho ilibaki vile vile mafuta yamejivuta ila huku kwenye mshikio wenyewe upo sawa.

Nimewasha kidogo nmevuta mafuta kidogo nashangaaa napelekwa baruu kuingia barabara kuu.

Nkaachia mafuta na kushika breki zote.
Tairi ya nyuma ilikuwa inainuka,inarud chini. Yan inadunda dunda. Nkawa napiga kelele. Sijui chakufanya. Yani naingia main road kuna magari yanapita speed. Cha ajabu mimi nmeng'ang'ania pikpik tuu. Badala ya kuiachia.

Nilipofika main road nkagoga kenta kwa ubavu karibu na nyuma. Nkaserereka kwenye lami hadi upande wa pil. Yan wakati naigonga kenta. Ilikua inapishana na gari nyingine. So wakati naserereka kuelekea upande wa pili. Kabla sijafika hii nyingine ndio inapita.

Mungu ni mwema nilikua na helment na sweta nlichubuka begani mikonon mguuni. Yaan upande mmoja. Miguun nlikuwa na sandals (sendoz) ile ya upande nilipo angukia ilikatika yale maeneo yote ambayo hakuwa covered na sandals niliumia saana.

20181103_142847.jpg
 
View attachment 947548
Loh, pole sana. Pikipiki dizain hizo sina hamu nazo. Kuna zile wanten za kike basi we ilitokea kipindi fulani mtoto wangu akawa anapenda kukapanda kakiwa kamepakiwa na kuvuta mafuta. Siku ya siku nimetoa piki ili niende kazini. Kuwasha eti navuta mafuta ili niondoke kilitoka nduki nikachanganyikiwa nikaenda kuanguka na tangu siku hiyo sijaendesha tena pikipiki.
 
Pole saaana mkuu. Mimi hivi navipenda tuu kwa sababu havihitaji akili nyingi.
 
2015 miezi michache kabla ya uchaguzi nilipata ajali ambayo huwa nasema ht kuwepo mpk sasa ni kwa neema tu!
Gari ilipata break down basi dereva akakanyaga mafuta kilichotokea ni Mungu tu anajua. Nilichoshuhudia ni kuona gari inapaa kuelekea mtoni baada ya hapo faham zilikata, zilikuja kurudi baada ya siku tatu nikiwa bugando. Baada ya faham kurudi aisee nilikuwa na maumivu yasiyoelezeka maana nilikuwa nimevunjika karibia kila kiungo hata nilitamani faham ziendelee kukata.
Ila nashukru Mungu baada ya miezi sita ya kukaa wodini hatimae nilipata nafuu nikaruhusiwa kutoka na sasa niko fresh japo mwili uko na kasoro flani flani.
 
Aiseee pole saana mkuu.
 
Duuh pole sana best
 
Loh, pole sana. Pikipiki dizain hizo sina hamu nazo. Kuna zile wanten za kike basi we ilitokea kipindi fulani mtoto wangu akawa anapenda kukapanda kakiwa kamepakiwa na kuvuta mafuta. Siku ya siku nimetoa piki ili niende kazini. Kuwasha eti navuta mafuta ili niondoke kilitoka nduki nikachanganyikiwa nikaenda kuanguka na tangu siku hiyo sijaendesha tena pikipiki.
Duuh pole sana Nsamaka
 
2015 miezi michache kabla ya uchaguzi nilipata ajali ambayo huwa nasema ht kuwepo mpk sasa ni kwa neema tu!
Gari ilipata break down basi dereva akakanyaga mafuta kilichotokea ni Mungu tu anajua. Nilichoshuhudia ni kuona gari inapaa kuelekea mtoni baada ya hapo faham zilikata, zilikuja kurudi baada ya siku tatu nikiwa bugando. Baada ya faham kurudi aisee nilikuwa na maumivu yasiyoelezeka maana nilikuwa nimevunjika karibia kila kiungo hata nilitamani faham ziendelee kukata.
Ila nashukru Mungu baada ya miezi sita ya kukaa wodini hatimae nilipata nafuu nikaruhusiwa kutoka na sasa niko fresh japo mwili uko na kasoro flani flani.
Ooh pole sana jamani
 
NILIOKOLEWA NA JIRANI NA WAZUNGU
FB_IMG_15768216160988477.jpg

Mimi ilikua siku nikiachwa mwenyewe nyumbn basi hio ndio siku ya kujaribu mengne yote ambayo nakatazwaga,

Siku moja hv wakubwa wote wakaenda shamba kuvuna mahindi nikaachwa mwenyewe, wakati wanaondoka Mama akaniambia "Leo usipotulia litakalo kupata utajisaidia mwenyewe maana kambini watu karbu wote leo wanaenda shamban kuvuna mahindi" (tulikua tunaish kwenye kambi za maliasili na utalii na ipo isolated na vijiji vingne) mtoto wa mamkubwa akacheka akasema "leo sijui tutakuta kituko gani?"

maana wiki iliyopita nilikutwa nimelala kwenye maua baada ya kupanda juu ya bati na kujitia fundi wa antena nikashuka nayo, nilipo angukia ndo hapo hapo nilipokutwa nimejikunyata, wapita njia walikua wananiona ila hawakujua kama nimepattwa na tatzo maana hapo hapo mbuzi wakaja kujilaza kwa kunizunguka, jiran baada ya kuona mbuzi wameondoka wamekuja kuku mimi bado nipo ndo akapigwa na machale akaja kunibeba akanipeleka dispensary,

Sasa basi, baada ya bimkubwa kunipa onyo wakasepa, nikanywa kwanza chai, wakati anaongea vile nilikua nasubr tu amalize lakn kichwan nishapanga leo lazima nijifunze baiskeri.

Nikaenda stoo nikachomoa mphoenix nikakokota mpk barabarani, mimi raha yangu nikokote mpk kwenye mteremko/kilele cha mlima halaf nipande inishushe then nikokote tena nirudie,

Nikaenda mara ya kwanza safi tu, mara ya pili niliumia kdg matakoni baada ya kujibamiza kwenye ule mtalimbo unaounganisha sterring na kiti maana nilikua sikai kwenye kiti ili nifikie sterring na pedal vizuri(tulikua tunaita kuisimamia),

Mara ya tatu ndo kimbembe sasa,
Kwa sbb nilishajihs kuweza mzee nikashuka kwa kasi huku nimekaa kwenye kiti, kitu kikaanza kuyumba, speed ikaongezeka zaid, break nikashndwa kushika maana siwez kutanua vidole nizifikie na nikilazimisha napoteza balance maana huku nyuma nako kiti nimekikalia pale kwenye ncha(pale wanaposema panawatoaga wanawake waendesha baisker bikra) huku nimeinamia sterring,
ule mlima n mrefuu mpk ufke chini, chini ikawa inapanda gari ya watalii wanaenda kule kambini kuchukua kibali ofisini ili waingie porini huku wanachukua video, wakaniona nashuka kwa kasi sanaa ikabd wao ndo wanikwepe,
Sasa pale mwisho wa mlima pana kona kali, juu kuna mto/bwawa kubwa lenye kina hasa, then karavat mbili kubwa hasa, chini maji yanakoshukia ni maporomoko kwenye maweee makubwa na pembeni chaka la miba.

Kona nilijua niwazi kbsa sitaweza kukata na nikilazimisha tuu zile moramu pale chini na mawe mali yangu,

Nikawaza kule juu kwenye bwawa nitakufa bila hata kuonekana nyama, kwenye karavati jinsi yalivyo makubwa na nikisikia yale maji yanavyofoka sikutaka hata kuwaza, kule chini yale maporomoko ndio hata hilo wazo halikunijia, option ikabakia kwenye chaka la miba(miba flan hv mifupi imejikunja halaf inawasha sana ikikuchoma),

Nikalifakamia bwanaaaaa, niliingia mpk kati kati ya lile biwi kubwa la miba, huko ndani kulikua na vicheche, bundi, kware, wanyama flani hv wananuka sana na wale wanaopenda kujisaidia sehem moja hata wakienda mbali watarud pale n.k wote walitoka nduki kila yule kwa mlio wake, nilibananishwa na miba ukijitikisa tu kdg inakuchoma,
kumbe wale wazungu walipigwa na machale, walipaki gari wakarud kuniangalia, wakanikuta nimejaa damu hata kulia siwezi maana nikitanua mdomo tuu nakutana na miba inazidi kupenya, ikawa naangusha tu machozi na migunoo,
mmoja akaenda kwenye gari kuchukua vifaa wakatumia zaid ya masaa mawili kunitoa mule ndani ya lile biwi la miba bila kuniumiza zaidi, wakanipa huduma ya kwanza(walikua na vifaatiba ving),

Wakanipeleka ofisini,
huko tukamkuta mzee na wafanyakaz wenzake, nimejaa ma bandage ofce nzima wakaanza kuitana "jaman njooni mmuone ..... Tena Huku, ya leo kalii"
Yaani baada ya kusununika watu hoi kwa vicheko maana washanizoea sasa,
hapo naonekana tu kijimdomo na macho tu, wale wazungu wakawa marafk zangu kuanzia pale mpk wanaondoka, wakaniachia bonge ya Nokia na PC, niliwashwa siku tatu, kuanzia pale ikawa kuachwa nyumbn mwenyewe n mwiko.
 
NILIOKOLEWA NA JIRANI NA WAZUNGU

Mimi ilikua siku nikiachwa mwenyewe nyumbn basi hio ndio siku ya kujaribu mengne yote ambayo nakatazwaga,
Siku moja hv wakubwa wote wakaenda shamba kuvuna mahindi nikaachwa mwenyewe, wakati wanaondoka Mama akaniambia "Leo usipotulia litakalo kupata utajisaidia mwenyewe maana kambini watu karbu wote leo wanaenda shamban kuvuna mahindi" (tulikua tunaish kwenye kambi za maliasili na utalii na ipo isolated na vijiji vingne) mtoto wa mamkubwa akacheka akasema "leo sijui tutakuta kituko gani?" maana wiki iliyopita nilikutwa nimelala kwenye maua baada ya kupanda juu ya bati na kujitia fundi wa antena nikashuka nayo, nilipo angukia ndo hapo hapo nilipokutwa nimejikunyata, wapita njia walikua wananiona ila hawakujua kama nimepattwa na tatzo maana hapo hapo mbuzi wakaja kujilaza kwa kunizunguka, jiran baada ya kuona mbuzi wameondoka wamekuja kuku mimi bado nipo ndo akapigwa na machale akaja kunibeba akanipeleka dispensary,

sasa basi, baada ya bimkubwa kunipa onyo wakasepa, nikanywa kwanza chai, wakati anaongea vile nilikua nasubr tu amalize lakn kichwan nishapanga leo lazima nijifunze baiskeri,
Nikaenda stoo nikachomoa mphoenix nikakokota mpk barabarani, mimi raha yangu nikokote mpk kwenye mteremko/kilele cha mlima halaf nipande inishushe then nikokote tena nirudie, nikaenda mara ya kwanza safi tu, mara ya pili niliumia matakoni baada ya kujibamiza kwenye ule mtalimbo unaounganisha sterring na kiti maana nilikua sikai kwenye kiti ili nifikie sterring na pedal vizuri(tulikua tunaita kuisimamia), Mara ya tatu ndo kimbembe sasa,
Kwa sbb nilishajihs kuweza mzee nikashuka kwa kasi huku nimekaa kwenye kiti, kitu kikaanza kuyumba, speed ikaongezeka zaid, break nikashndwa kushika maana siwez kutanua vidole nizifikie na nikilazimisha napoteza balance maana huku nyuma nako kiti nimekikalia pale kwenye ncha(pale wanaposema panawatoaga wanawake waendesha baisker bikra) huku nimeinamia sterring, ule mlima n mrefuu mpk ufke chini, chini ikawa inapanda gari ya watalii wanaenda kule kambini kuchukua kibali ofisini ili waingie porini huku wanachukua video, wakaniona nashuka kwa kasi sanaa ikabd wao ndo wanikwepe, sasa pale mwisho wa mlima pana kona kali, karavat, bwawa/mto na chaka la miba, kona nilijua niwazi kbsa sitaweza kukata, nikawaza kule mtoni kuna mawe na maporomoko=kifo, kwenye karavat pale nikijarb tu n kifo, maana ni kubwa na maji n meng, option ikabakia kwenye chaka la miba(miba flan hv mifupi imejikunja halaf inawasha sana ikikuchoma),
Nikalifakamia bwanaaaaa, niliingia mpk kati kati ya lile biwi kubwa la miba, huko ndani kulikua na vicheche, bundi, wanyama flani hv wananuka sana na wale wanaopenda kujisaidia sehem moja hata wakienda mbali watarud pale n.k wote walitoka nduki kila yule kwa mlio wake, nilibananishwa na miba ukijitikisa tu kdg inakuchoma,kumbe wale wazungu walipigwa na machale, walipaki gari wakarud kuniangalia, wakanikuta nimejaa damu, mmoja akaenda kwenye gari kuchukua vifaa wakatumia zaid ya masaa mawili kunitoa mule ndani ya lile biwi la miba bila kuniumiza zaidi, wakanipa huduma ya kwanza(walikua na vifaatiba ving), wakanipeleka ofisini, huko tukamkuta mzee na wafanyakaz wenzake, nimejaa ma bandage ofce nzima wakaanza kuitana "jaman njooni mmuone ..... Huku" baada ya kusununika watu hoi kwa vicheko, hapo naonekana tu kijimdomo na macho, wale wazungu wakawa marafk zangu kuanzia pale mpk wanaondoka, wakaniachia bonge ya Nokia na PC, niliwashwa siku tatu, kuanzia pale ikawa kuachwa nyumbn mwenyewe n mwiko.
Daah aisee japo nimesoma nikiwa sina mbavu kwa kicheko
 
Mie utundu wote nimefanya utotoni nikiwa kwa babu kijijini tulikuwa tukienda kuchunga mifugo tunawatomba mifugo.!
Nilikuwa naenda na stuli ili kupandia juu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
 
ulipata pc na cmu[emoji39][emoji39]

Back
Top Bottom