Tuliosoma Songea Boy's RUVUMA tufahamiane

Kweli tumekuwa watu wazima, Boys nimepita enzi za mbawa, miaka ya 1990's. Ina maana hawa waleta uzi walikuwa hawajazaliwa. Ni ile boys ya kuingiza kijana mmoja Top ten au kuongoza masomo kama Geography. Sikuhizi vijana wanafeli sana.
 
  • Thanks
Reactions: a45

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kizazi kiache tu kilivyo

Struggle for the fittest
 
Hakuna kitu nlichokua nakipenda kama jumatatu pale Box 2

Kusikiliza speeches za Mwal. Mkuu John Sweke,anajua kupangilia nini anapaswa kuongea,kutenda kwa wakati,na mda muafaka

Mungu akupe maisha marefu popote ulipo Mwl.JOHN SWEKE

With regard
 
Ungemkuta Nyamvi usingeipenda mkuu maana ilikua siku ya kukaguliwa usafi.
Kuanzia milango 9, Mabwenini, madarasani, had nguo.
Kuoga kwenyewe watu walikua wanaoga siku ya Joint Mass au siku ya kwenda Tamso kwenye pin
 
We mzee wa Uhuru tatu nini? Kwa Gawaza kutafuta tudemu umesahau na Tamsala Disco

Hatari sana....mambo ya

Mama mpenzi
Soft
Shadufu
Milango 9
kusaga mashine
Kuchunga (Bull)
Kulima bustan
Kula maembe milimani (Mletele)
 
Back
Top Bottom