Tuliosoma Songea Boy's RUVUMA tufahamiane

Ungemkuta Nyamvi usingeipenda mkuu maana ilikua siku ya kukaguliwa usafi.
Kuanzia milango 9, Mabwenini, madarasani, had nguo.
Kuoga kwenyewe watu walikua wanaoga siku ya Joint Mass au siku ya kwenda Tamso kwenye pin
Hatari sana
 
Haya hongera vijana, mimi nimesoma box 2 kuanzia 1979 hadi 1982 O level nilikuwa Muungano 5 wakati huo Mkuu wa shule akiwa Mwl Adrian Komba (Kizito).
 
Ungemkuta Nyamvi usingeipenda mkuu maana ilikua siku ya kukaguliwa usafi.
Kuanzia milango 9, Mabwenini, madarasani, had nguo.
Kuoga kwenyewe watu walikua wanaoga siku ya Joint Mass au siku ya kwenda Tamso kwenye pin
Dogoras upo
 
Mwl.wangu Deo na miwani yake.....
2001-2003...
Masters& Lecturer at One Goverment University
Mwl Deo mzee wa Physics....
Mwl Mtamila(Second master)
-Nakumbuka Mayao na Uji.....
-Pale kanisani(Parokiani).....Hata waislamu walikuwa wakienda kusali misa ili tu kukutana na watoto wa TAMSARA
-Siku moja naenda Tamsara kuruka Kwanja afu nakutana msichana amevaa ndala naye anaruka...Kuazimana MITEGO ya kwendea KWANJA(Disco na Tamsara)
-Kuchunga Ngombe....
Tukichoka kusoma tulikuwa tunaenda kule juu...Kuiba miwa na kula
-Enzi hizo UEFA tunaenda kuangalizia town kabisa.....(Nakumbuka mechi ya Juventus Vs Real Madrid, Real anatolewa)...
-Kusoma kwa taa ya Chemli/Vibatari...Siku moja tukagoma na kutembea kwa mguu hadi town...kushnikiza Umeme...
 
Me nimesoma pale 213|2015.
Chini ya mwl.mkuu John Sweke.

Ugumu Ugumuni

But at the end nakaribia kupata degree yangu saizi
df35d81a41cffa4816095d28e01b9543.jpg
Degree ya Mkwawa hiyo. Kigonsera moja, jirani yako.
 
Back
Top Bottom