Tuliosoma Songea Boy's RUVUMA tufahamiane

Tuliosoma Songea Boy's RUVUMA tufahamiane

Me nimesoma pale 213|2015.
Chini ya mwl.mkuu John Sweke.

Ugumu Ugumuni[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]

But at the end nakaribia kupata degree yangu saizi[emoji310] [emoji310] [emoji432] [emoji432] [emoji432]
df35d81a41cffa4816095d28e01b9543.jpg
'Sikujiii kabisa
 
ukimaliza hiyo degree,anza na degree ya pili ya mtaani,n zaid ya boys kwa akina MWL deo na ponela
 
Nani hapa alishuhudia mechi ya fainali kati ya Songea Boys vs Ruhuwiko uwanja wa Zimanimoto mwaka 2004?
 
Hatari sana....mambo ya

Mama mpenzi
Soft
Shadufu
Milango 9
kusaga mashine
Kuchunga (Bull)
Kulima bustan
Kula maembe milimani (Mletele)
Wapi loka? (Isuzu ya shule)
 
2001-2003...
Masters& Lecturer at One Goverment University
Mwl Deo mzee wa Physics....
Mwl Mtamila(Second master)
-Nakumbuka Mayao na Uji.....
-Pale kanisani(Parokiani).....Hata waislamu walikuwa wakienda kusali misa ili tu kukutana na watoto wa TAMSARA
-Siku moja naenda Tamsara kuruka Kwanja afu nakutana msichana amevaa ndala naye anaruka...Kuazimana MITEGO ya kwendea KWANJA(Disco na Tamsara)
-Kuchunga Ngombe....
Tukichoka kusoma tulikuwa tunaenda kule juu...Kuiba miwa na kula
-Enzi hizo UEFA tunaenda kuangalizia town kabisa.....(Nakumbuka mechi ya Juventus Vs Real Madrid, Real anatolewa)...
-Kusoma kwa taa ya Chemli/Vibatari...Siku moja tukagoma na kutembea kwa mguu hadi town...kushnikiza Umeme...
Pole na hongera, umetoka mbali
 
Nani hapa alishuhudia mechi ya fainali kati ya Songea Boys vs Ruhuwiko uwanja wa Zimanimoto mwaka 2004?
Nilishuhudia hiyo , hiyo mechi ilisababisha tusiruhusiwe kwenda town pamoja na kucheza disco na tamsala kwa muda fulani.
kulikuwa na clubs za soka shuleni ligi ikianza palikuwa pananoga kweli, kuna team iliingia uwanjani walivaa uniform(mashati meupe) kama jezi wakaja kupewa adhabu na walimu.
 
Back
Top Bottom