Tuliosoma Songea Boy's RUVUMA tufahamiane

Msomba Baraka

Member
Feb 22, 2017
72
35
Me nimesoma pale 213|2015.
Chini ya mwl.mkuu John Sweke.

Ugumu Ugumuni

But at the end nakaribia kupata degree yangu saizi
df35d81a41cffa4816095d28e01b9543.jpg
 
Ingia Face Book kuna group linaitwa Wa Luhira jiunge. Ni la watu waliosoma Box 2, Songea Boys! Mie nilikuwa hapo 1982/84 A-Level!
 
Back
Top Bottom