Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

R_Breazy

Senior Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
160
Reaction score
319
Habari za wakati huu

Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza yote ni Baada ya kuacha.
Nilitakiwa nimalize 2023, ila mambo yakawa mengi chuo nkatema nkaingia kitaa nako Kwa moto niliona hadi kurudi chuo kumalizia nilipobakiza.
Wakuu Baada ya chuo watu wote wamenikimbia😂😂🙌 nikatuma cv zangu kila mahali sema kazi niliyoapply ya kwanza NILIPATA nkapewa mkataba nisaini nilivyousoma nkaona una vipengele kibao na unagusa moja Kwa moja mshahara, kulipwa Kwa commission na bonus ndo ifike hiyo 500k, nilitemana na Hilo kampuni.
Bado niliendelea kusambaza CV kila Kona huku nilizidi kuwasumbua ndgu na wale jamaa lakini hakuna hata mmoja aliyenisaidia zaid ya pole na kunipa ahadi za kunisaidia bila kutimia🥹
Nilijipa moyo mwisho niliamua kuomba kazi halmashauri Fulani nako nilisubirishwa mpaka Leo sijapata majibu, mambo yalienda vibaya zaidi nilipogombana na mtu wangu(Ajira mpya) nilishikwa na hasira hadi ikapelekea kumpiga☹️☹️(NILIJUA NDO MWISHO ILA TAR 20'S alianza kunicheki na text za moto sana baadhi Nilijibu nyingine sikujibu kabisa, MWISHO aliniomba msamaha na kuomba yaishe😃♥️)
Mpaka hapo amani haikuwepo na hakuna kilichokuwa naksubiri Zaidi ya Mimi kuondoka.
SWALI LIKAJA, "NAONDOKA NAENDA WAPI NA KUFANYA NINI" jibu nilipata hadi sasa nipo dsm Kwa jamaa angu
MUNGU ambariki &amzidishie sana sabu jamaa kajitoa sana for me (NI MSHIKAJI WANGU TULIKUTANA ADVANCE, KAMA YUPO HUMU NA UTABAHATIKA KUSOMA UZI HUU, NISEME TU "ASANTE"
Jamaa angu alinipokea si kunipokea tu Bali hadi nauli alinitumia ili nitoke nilikokuwa make Hakukuwa salama tena KWANGU
Nafika mjini kula, kulala& kuoga juu yake, worse situation hata zile deal nilizokuwa nazkunjia nazo nikawa sipati brother aliyekuwa ananipigia simu anataka nije dar nimsaidie kazi nae alinikunjia akawa haokoti simu yangu..
Ajabu Leo nimepata kibarua na nmeambiwa niripoti kesho, ananipigia simu.
Malipo si mazuri ila advantage iliyopo mwajiri ameomba wiki moja atafute namna ili nikae karibu na ofisi yake, nmekubali ili nimpunguzie uzito jamaa angu, kazi inaendana na profession yangu na advantage iliyopo ofisi inahitaji mwenye profession kama yangu na awe anajua kutumia kompyuta vitu ambavyo KWANGU imekuwa kama kitonga
5k per day nje ya kula na usafiri+makazi bonus KWANGU nimeona heri tu.
Ushauri wangu Kwa graduates Toka nyumbani, nenda kaishi kwenye jamii nyingine usichague kazi na kila ofisi kaombe kazi malipo hata kama ni kidogo ila ni heri kidogo chako kuliko kuishi Kwa matumaini, hii inatupata sana tuliotokea familia zenye uchumi wa chini/kawaida.
Kwa hiki kipindi kifupi nimejifunza mengi sana
Kuhusu
.MAPENZI
.WATU
.MTAA
No matter what usikubali dharau ya mwanamke na mapenzi hupungua kama si kuisha kabisa, kukubali hiyo Hali wakati huyo mtu unamhitaji zaidi si jambo jepesi ila ni heri kukubali 100% kuwa mapenzi yameisha, inahitaji roho ya paka Mimi nilijifanya navumilia ila kadri nilivyovumilia ndivyo alivyozidi kuleta madharau na majibu ya hovyo, mwisho nilishindwa hadi kumuweka makofi. Zaid mara nyingi Circle Yako ina determine character na future ya mtu zaidi kabisa fursa zipo katika midomo na masikio ya watu wengine.

Penzi limerudi Kwa Kasi ya kimbunga

Huu Uzi ilitakiwa niposti Jana, Leo nimeripoti kazini masharti kibao barua kama zote, kweli swala la uaminifu Dsm ni tete, japo ni janga kila mahali Kuna muda nawaza hata angenipokea bila chcht bado ningebaki mwaminifu sana kwake na nikishindwa namuweka wazi huwa sipendi nitoke pahali niache sintofahamu sababu maisha Yana tabia ya kuturudisha Kwa wale tuliowakosea..
Yote 9, kilichonichosha roho na mwili muda wa lunch umefika asubuhi sikupata hata chai kuharakisha nifike mapema nikijua hata nki skip chai Haina mbaya pass NDEFU kawaida KWANGU, mida ya saa 8 macho yakawa mekundu, kiu na njaa nkasubir boss ataagiza msosi kama tulivyokubaliana, ubusy mwingi mara aniagize sjui kitu gani nakaza tu ila mwili nguvu zimepungua kabisa, nikawaza tu ikifika sa 10 na nusu ntapotea nkale zangu nirudi.
Sakumi Baada ya kuhangaika na computer+printer zilikuwa zinasumbua sana nkaset ikakaa sawa, hiyo ni Baada ya Mimi kushindwa hadi akaita fundi wa computer nae kashindwa bla blaah mara internet ila issue ilidunda.
Baada ya kula nikawa Sina kazi ikabidi nirudi tena kucheza na set up, nlipogusa hata sikumbuki ten ila nilivyoprint mashine ziliitika jamaa kafurahi ila MAWAZO yakabaki sehemu moja.
Muda ananielekeza pa kupata chakula alinieleza Leo nakulipia ila kesho na siku zingine utapambana, sikujibu chcht nkaenda kula.
Hapa nimelala natafakari kazi ni kama najitolea nalipwa 5k tulivyoelewana; usafiri na chakula juu yake then Leo amerudi kuniambia siku zijazo ntapambana mwenyewe asee🤤🙌HAPANA hii ni noma, ndiyo Nina shida ila si Kwa style hii wakuu.
Mimi ni mvumilivu sana na nilikubali sababu ndo mwanzo pili ni apply profession yangu ila Kwa style hii ni ngumu kutoboa, SITOBOI

Nawaza hapa nimuibukie nimuulize au nkaushe kwanza kichwa iko less.
MAWAZO yenu ni muhimu kabla sjaenda mjibu vibaya ndiyo Nina shida ila so kihivyo sasa☹️☹️☹️

WA LEO WA KESHO🙌
Age between 23-29 not for the weak!!!
 
Mchumba achana nae, kazi ndo muhimu
Huu Uzi ulikuwa umeishia kwanye hii "statement penzi limerudi Kwa Kasi ya kimbunga"
Huku nimefanya kuongeza tu yaliyonisibu nachakata na kuchakata naona kabsa mkataba wangu na hili kampuni changa haufiki kesho😁😁😀💔
Kama hiyo pesa unayopata inakidhi nauli na chakula usiondoke mpaka utakapopata mchongo mwingine! Huyo aliyekupigia simu acha ego msikilize ukiwa mtafutaji unatakiwa kuwa mpole kama umenyeshewa mvua!

Mapenzi yana levels pia, nimeona sehemu umeandika kuhusu wanawake! Umegombana kidogo tu na mpenzi wako umeanza kuulisha ubongo wako ujinga unaosoma humu! Utajiingiza kwenye kundi lililo na negativity juu ya wanawake katika umri wako huo wa kujitafuta! Wengine humu wana ndoa mbili mbili zimewashinda! Mambo madogo ya mahusiano solve mwenyewe huko ondoa hizo chats hapo hazina mapungufu yoyote zaidi ya kutafuta attention zisizokuja kukusaidia! Sanasana mtaishia kumjadili huyo binti ila wa kukupa mchongo utamsikia kwenye bomba! Fanya mambo ya msingi ukiona vipi piga chini tafuta mwingine ambaye hutomtilia mashaka ya kijinga jinga kama hayo! Kumpenda mwanaume asiye na kazi siku hizi kipengele lakini wewe umezinguana kidogo tu unakuja kuandika hapa mwanamke asikuletee dharau mara umempiga!
 
Sijajua umbali wa sehemu ya kazi na hapo unapo kaa lakini kama unapewa 5k per day manaake kwa mwezi ni 150k ambapo uwenda hata kodi na vipengele kadhaa kama mwanamme sometimes utashindwa kusolve kwahyo nini kifanyike?

Usiache kazi ghafla ila angalia upande wapili, endelea kukaa rader 👀. Ukipata mchongo hata wa 7k pita nao chap mana hapo wanakunyonya mkuu.

Lakini pia huyo muajili wako pia ni mbabaishaji, kama mlisha kubaliana kila kitu ni juu yake iwaje sasa hivi aje kugeuza kibao maana ake hapo trust aipo.
Tafta mchongo mwingine .

Nb: usiondoke kwa shali
 
Kama hiyo pesa unayopata inakidhi nauli na chakula usiondoke mpaka utakapopata mchongo mwingine! Huyo aliyekupigia simu acha ego msikilize ukiwa mtafutaji unatakiwa kuwa mpole kama menyeshewa mvua!

Mapenzi yana levels pia, nimeona sehemu umeandika kuhusu wanawake! Umegombana kidogo tu na mpenzi wako umeanza kuulisha ubongo wako ujinga unaosoma humu! Utajiingiza kwenye kundi lililo na negativity juu ya wanawake katika umri wako huo wa kujitafuta! Wengine humu wana ndoa mbili mbili zimewashinda! Mambo madogo ya mahusiano solve mwenyewe huko ondoa hizo chats hapo hazina mapungufu yoyote zaidi ya kutafuta attention zisizokuja kukusaidia! Sanasana mtaishia kumjadili huyo binti ila wa kukupa mchongo utamsikia kwenye bomba! Fanya mambo ya msingi ukiona vipi piga chini tafuta mwingine ambaye hutomtilia mashaka ya kijinga jinga kama hayo! Kumpenda mwanaume asiye na kazi siku hizi kipengele lakini wewe umezinguana kidogo tu unakuja kuandika hapa mwanamke asikuletee dharau mara umempiga!
Mkuu elfu 5 hyo hyo ni nauli ya kwenda na kurudi , hiyo hiyo apate chakula mkuu, halafu kama mwamme kuna vipengele.

Mbali na hapo kuna maswala ya kodi hapo hamna kazi mkuu wanamkandamiza tu, kua chini ya mtu ni hasara na mateso sana
 
Habari za wakati huu

Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza yote ni Baada ya kuacha.
Nilitakiwa nimalize 2023, ila mambo yakawa mengi chuo nkatema nkaingia kitaa nako Kwa moto niliona hadi kurudi chuo kumalizia nilipobakiza.
Wakuu Baada ya chuo watu wote wamenikimbia😂😂🙌 nikatuma cv zangu kila mahali sema kazi niliyoapply ya kwanza NILIPATA nkapewa mkataba nisaini nilivyousoma nkaona una vipengele kibao na unagusa moja Kwa moja mshahara, kulipwa Kwa commission na bonus ndo ifike hiyo 500k, nilitemana na Hilo kampuni.
Bado niliendelea kusambaza CV kila Kona huku nilizidi kuwasumbua ndgu na wale jamaa lakini hakuna hata mmoja aliyenisaidia zaid ya pole na kunipa ahadi za kunisaidia bila kutimia🥹
Nilijipa moyo mwisho niliamua kuomba kazi halmashauri Fulani nako nilisubirishwa mpaka Leo sijapata majibu, mambo yalienda vibaya zaidi nilipogombana na mtu wangu(Ajira mpya) nilishikwa na hasira hadi ikapelekea kumpiga☹️☹️(NILIJUA NDO MWISHO ILA TAR 20'S alianza kunicheki na text za moto sana baadhi Nilijibu nyingine sikujibu kabisa, MWISHO aliniomba msamaha na kuomba yaishe😃♥️)
Mpaka hapo amani haikuwepo na hakuna kilichokuwa naksubiri Zaidi ya Mimi kuondoka.
SWALI LIKAJA, "NAONDOKA NAENDA WAPI NA KUFANYA NINI" jibu nilipata hadi sasa nipo dsm Kwa jamaa angu
MUNGU ambariki &amzidishie sana sabu jamaa kajitoa sana for me (NI MSHIKAJI WANGU TULIKUTANA ADVANCE, KAMA YUPO HUMU NA UTABAHATIKA KUSOMA UZI HUU, NISEME TU "ASANTE"
Jamaa angu alinipokea si kunipokea tu Bali hadi nauli alinitumia ili nitoke nilikokuwa make Hakukuwa salama tena KWANGU
Nafika mjini kula, kulala& kuoga juu yake, worse situation hata zile deal nilizokuwa nazkunjia nazo nikawa sipati brother aliyekuwa ananipigia simu anataka nije dar nimsaidie kazi nae alinikunjia akawa haokoti simu yangu..
Ajabu Leo nimepata kibarua na nmeambiwa niripoti kesho, ananipigia simu.
Malipo si mazuri ila advantage iliyopo mwajiri ameomba wiki moja atafute namna ili nikae karibu na ofisi yake, nmekubali ili nimpunguzie uzito jamaa angu, kazi inaendana na profession yangu na advantage iliyopo ofisi inahitaji mwenye profession kama yangu na awe anajua kutumia kompyuta vitu ambavyo KWANGU imekuwa kama kitonga
5k per day nje ya kula na usafiri+makazi bonus KWANGU nimeona heri tu.
Ushauri wangu Kwa graduates Toka nyumbani, nenda kaishi kwenye jamii nyingine usichague kazi na kila ofisi kaombe kazi malipo hata kama ni kidogo ila ni heri kidogo chako kuliko kuishi Kwa matumaini, hii inatupata sana tuliotokea familia zenye uchumi wa chini/kawaida.
Kwa hiki kipindi kifupi nimejifunza mengi sana
Kuhusu
.MAPENZI
.WATU
.MTAA
No matter what usikubali dharau ya mwanamke na mapenzi hupungua kama si kuisha kabisa, kukubali hiyo Hali wakati huyo mtu unamhitaji zaidi si jambo jepesi ila ni heri kukubali 100% kuwa mapenzi yameisha, inahitaji roho ya paka Mimi nilijifanya navumilia ila kadri nilivyovumilia ndivyo alivyozidi kuleta madharau na majibu ya hovyo, mwisho nilishindwa hadi kumuweka makofi. Zaid mara nyingi Circle Yako ina determine character na future ya mtu zaidi kabisa fursa zipo katika midomo na masikio ya watu wengine.

Penzi limerudi Kwa Kasi ya kimbunga

Huu Uzi ilitakiwa niposti Jana, Leo nimeripoti kazini masharti kibao barua kama zote, kweli swala la uaminifu Dsm ni tete, japo ni janga kila mahali Kuna muda nawaza hata angenipokea bila chcht bado ningebaki mwaminifu sana kwake na nikishindwa namuweka wazi huwa sipendi nitoke pahali niache sintofahamu sababu maisha Yana tabia ya kuturudisha Kwa wale tuliowakosea..
Yote 9, kilichonichosha roho na mwili muda wa lunch umefika asubuhi sikupata hata chai kuharakisha nifike mapema nikijua hata nki skip chai Haina mbaya pass NDEFU kawaida KWANGU, mida ya saa 8 macho yakawa mekundu, kiu na njaa nkasubir boss ataagiza msosi kama tulivyokubaliana, ubusy mwingi mara aniagize sjui kitu gani nakaza tu ila mwili nguvu zimepungua kabisa, nikawaza tu ikifika sa 10 na nusu ntapotea nkale zangu nirudi.
Sakumi Baada ya kuhangaika na computer+printer zilikuwa zinasumbua sana nkaset ikakaa sawa, hiyo ni Baada ya Mimi kushindwa hadi akaita fundi wa computer nae kashindwa bla blaah mara internet ila issue ilidunda.
Baada ya kula nikawa Sina kazi ikabidi nirudi tena kucheza na set up, nlipogusa hata sikumbuki ten ila nilivyoprint mashine ziliitika jamaa kafurahi ila MAWAZO yakabaki sehemu moja.
Muda ananielekeza pa kupata chakula alinieleza Leo nakulipia ila kesho na siku zingine utapambana, sikujibu chcht nkaenda kula.
Hapa nimelala natafakari kazi ni kama najitolea nalipwa 5k tulivyoelewana; usafiri na chakula juu yake then Leo amerudi kuniambia siku zijazo ntapambana mwenyewe asee🤤🙌HAPANA hii ni noma, ndiyo Nina shida ila si Kwa style hii wakuu.
Mimi ni mvumilivu sana na nilikubali sababu ndo mwanzo pili ni apply profession yangu ila Kwa style hii ni ngumu kutoboa, SITOBOI

Nawaza hapa nimuibukie nimuulize au nkaushe kwanza kichwa iko less.
MAWAZO yenu ni muhimu kabla sjaenda mjibu vibaya ndiyo Nina shida ila so kihivyo sasa☹️☹️☹️

WA LEO WA KESHO🙌
Age between 23-29 not for the weak!!!
Mkuu shemeji anakufowadia meseji za AI 😂😂. Hamna penzi apo. Kazi pia hmna apo 5k per day

Tena Dar 🏃🏾‍♂️
 
Dah hako kadada hizi meseji nimezipenda bure .
Kanatia hamasa na kanatia nguvu ya kupambana aisee bila kenyewe na huu msoto unaopitia ungekuwa umekufilia mbali kabisa .

Anyway boss kubwa mwambie tulikubaliana nini ili aanze upya akiwa nje ya makubaliano temana na hiyo kazi tafuta kwingine
 
Dogo, tuliza mapepe kisha urudi uandike unataka nini haswa maana hapo umekoroga koroga tu mambo.
 
Kumbe inawezekana!! Ngoja nami nijaribu nakuwa nafoward tu.

Ila yule mwehu atacheka hadi apige simu🤣🤣🤣
Bora uwe real.. unajua mtu wako kama amekuzoea ataona utofauti tu. Labda uchukue idea ila kupest yote utaunguza 😂😂.

Mimi nilifoward cha kwanza my wangu anauliza ni “wewe uyu ?” Na hiyo text sitakaa nisahau ndo maana nlivoona apa nimeijua 😁
 
Kama hiyo pesa unayopata inakidhi nauli na chakula usiondoke mpaka utakapopata mchongo mwingine! Huyo aliyekupigia simu acha ego msikilize ukiwa mtafutaji unatakiwa kuwa mpole kama umenyeshewa mvua!

Mapenzi yana levels pia, nimeona sehemu umeandika kuhusu wanawake! Umegombana kidogo tu na mpenzi wako umeanza kuulisha ubongo wako ujinga unaosoma humu! Utajiingiza kwenye kundi lililo na negativity juu ya wanawake katika umri wako huo wa kujitafuta! Wengine humu wana ndoa mbili mbili zimewashinda! Mambo madogo ya mahusiano solve mwenyewe huko ondoa hizo chats hapo hazina mapungufu yoyote zaidi ya kutafuta attention zisizokuja kukusaidia! Sanasana mtaishia kumjadili huyo binti ila wa kukupa mchongo utamsikia kwenye bomba! Fanya mambo ya msingi ukiona vipi piga chini tafuta mwingine ambaye hutomtilia mashaka ya kijinga jinga kama hayo! Kumpenda mwanaume asiye na kazi siku hizi kipengele lakini wewe umezinguana kidogo tu unakuja kuandika hapa mwanamke asikuletee dharau mara umempiga!
Point tupu, sema nimemwambia nitampigia simu nkae ntafakari coz skufikiria hivyo vile ambavyo yeye ananilipa, mkuu naomba tuwasiliane 0769442907
Mawazo Yako ni chanya sana🙏🙏✅
 
Mkuu elfu 5 hyo hyo ni nauli ya kwenda na kurudi , hiyo hiyo apate chakula mkuu, halafu kama mwamme kuna vipengele.
Mtoka bure sio sawa na mkaa bure! Kupata kazi huwa kipengele kama huna kazi! Kama umewahi kukaa bila kazi utakuwa unanielewa! Akiacha hiyo buku 5 atarudi kwa mshkaji kukaa tu ndani kama mwali? Akomae ndio uanaume huo! Akilegeza ndio biashara inaishia hapo!
Mbali na hapo kuna maswala ya kodi hapo hamna kazi mkuu wanamkandamiza tu, kua chini ya mtu ni hasara na mateso sana
Kodi ipi? Si bado anabebwa na mwenzie! Kazi nyingi za mishahara midogo ndio ziko hivyo! Lazima ajikaze kuteseka.. huwezi tu kuibuka ukawa juu ni neema ya wachache hiyo! Wengine lazima upitishwe kwenye moto kwanza! Yeye apambane kuanzisha mradi wake bila kuwa chini ya mtu sio leo sasa! Akitaka fairness lazima kimlambe!
 
Back
Top Bottom