Tulimuona Kafulila mjinga, kumbe kusifu unalamba uteuzi

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,932
31,178
Wengi tulimwona chizi,wengine tufikiri anakaribia kupelekwa Mirembe.

Kumbe Kafulila alishausoma mchezo ni mwendo wa kusifu na kuimba mapambio yenye sifa na utukufu.

Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
 
Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatumbeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Nafasi ni chache,ngoja nilambe uteuzi kwanza ndio uanze kusifu.
 
Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
 
Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.


Muulize aunt Fatu kule visiwani
 
Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatubembeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Huendi mbinguni aaaaaaHaaaa khaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom