mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Vocha zilikuwa za wapi??
Kijiko cha kichina au cha mbaggalla
Video camera mlipewa za nchini?
Kijiko cha kichina au cha mbaggalla
Video camera mlipewa za nchini?
Naona knockleheadz mnapongezanaHongera sana Manyerere Jackton
Bado hajabana vizuri ingepaswa kila mtu aje na maandazi yake kutoka kwake, kwani mishahara si mnalipwa?
Kweli kabisa pia hakuna cha posho wala nini
Juice ya elfu mbili ya azam,meza ya mchina,glass ya ulaya,simu ya milioni mbili,vxv8,kalamu na karatasi za nje ya nchi
Vocha zilikuwa za wapi??
Kijiko cha kichina au cha mbaggalla
Video camera mlipewa za nchini?
Sio kweli usiwe mpumbavu kiasi hicho.mzungu ni mzungu tu.juice ya azam kwenye glass ya made in france.hapo wote mzungu angesema kila mtu abaki na nguo made in tanzania mngebaki uchi
Weka picha isije kuwa Propaganda za Lumumba kama inavyooneka kila mahali kwenye Jukwaa hili.
Ila kusema ukweli Azam aboreshe juice zake. Unamimina juice inavyotoka utafikiri nini sijui. Tunathamini vya ndani ila watengenezaji nao watuthamini kwa kutupatia vilivyo bora kama vya huko kwa wengine.
Hiyo ndo starting point sasa,mbona kazi yenu ni ku-criticize tu? Tumeanza na products available afu mdogo mdogo inageuka kuwa culture yetu then fikiria baada ya miaka 20 tutakuwa wapi kama kila mtu atakuwa na mlengo wa Magufuli?
Roma haikujengwa siku moja wazee
Aweke mihogo,ugali wa mtama na mlenda mpaka waandishi wakome kuzamia halfa
Mashangingi yafutwe na yaliyopo yapigwe mnada.Ni jambo jema kupunguza matumizi yasiyoyalazima na kutukuza za kwetu.
Ila sasa asiishie katika vikao anvyohudhuria yeye tu bali vikao vyote vya taasisi za serikali na mashirika ya umma kwa sababu huko ndiko kunapigwa kila uchwao