asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,756
mzungu ni mzungu tu.juice ya azam kwenye glass ya made in france.hapo wote mzungu angesema kila mtu abaki na nguo made in tanzania mngebaki uchi
Wewe unarudi kulekule, hilo ndo tatizo lilikuwepo kwahiyo mchangia mada ametoa mfano kupitia Magufuli, tuanze kutumia vyetu vya ndani ya nchi, japo changamoto zipo kwenye ubora ndo issue lakini pia inawezekana kuboresha na kutumia vyetu...kwasabab kuna nguo kutoka china ubora wake ni ovyoooooo kabsaaa, naamini madesigner wa ndani ya nchi waksihirikiana na viwanda vilivyopo tunaweza kutoa nguo zetu za kisaasa zinazoendana na wakati.