Kapwila Matulu
Darasa la saba mnatupa shida sana mitandaoni. Kiwango chenu cha akili kipo chini sana. Hivi, viwanda ni vya maji na juice tu? Hiyo ni mifano ya viwanda ambavyo vipo nchini na vinamilikiwa na wazawa. Ila lengo la serikali ni kufungua viwanga vingine vya kuzalisha bidhaa nyingine ikiwa ni pamoja na viatu, mikanda, sindano, tooth pick, mabegi, mikoba, matairi na bidhaa zingine nyingi tu ambazo malighafi zake tunazo hapa nchini. Sasa hoja ya Magufuli ni kwamba, viwanda vingine vinaweza kuanzishwa na vikaanza uzalishaji...lakini inapaswa WaTanzania pia tu-play our part kwa kupenda vya nyumbani kwa kununua vinavyo zalishwa hapa hapa nyumbani. Hiyo ndio hoja. Sasa hadi hili unataka ufafanuzi!?

Last edited by a moderator: