klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
I hope you meant kesho ya leo Kloro.... Alafu nashangaa kweli kweli, hii topic imekugusa nini?? maana lawyer wetu hukwepaki mambo kama ulivokwepa hapa....lol
Dah! Taswira bado imegoma Aisee! lakini kwa chap chap nazani ningewish dunia ikuwe kama kijiji kimoja tu, hakuna border wala nchi wala rais wala chama, Interaction ya watu isikuwe limited, na watu wahukumiane kimaumbile na sio kwa kupangiwa sheria kwa hisani ya marekani au ujerumani au Kikwete.
In short ningewish for natural, free green world bila influence ya the so called wanasiasa au Super powers.
That is so ideological..... On a Serious Note; Naomba ufungue Thread tujadili hilo suala kwa upana kabisa... Kwa kujariub ku imagine...
The last sentence... I love it... It would have been wonderful... thou najaribu kufikiri if possible to maintain....
heheh usisahau Ashadii hii ni wish, kwahiyo pia nimewish kwamba hao binadamu wataishi kutumia ubinadamu wao na sio ile sehemu ya unyama iliomo ndani ya damu zao, pia naelewa kwamba dunia lazima ipate uongozi lakini am against wale viongozi wanaoweka sheria ambazo wanajua deep inside kibinadamu haziwezekani au zina athari.

Kaunga binadamu twapishana... hivo kupishana pia katika yale ambayo yanafurahisha nafsi zetu... What makes you happy??

shortcut ni kufa tu,uende peponi lol

Kaunga you have to narrow it to one thing bana...

Lmao....

Gosh! Kaunga THANK YOU For this post... i always thot uko pande zingine... I am so happy... Dah!
Pande zipi? I am made of flesh, though l have tough muscles!
Lemme try. Ni ngumu lkn!
When l am in love, l am the happiest woman in the world! !

Mbona Unazidi nichanganya?? Soma hii post... (Siku zoote i thot we me')

Sasa hayo ya Muscles naona wanichanganya tena!

I thought wewe ni mwanaume.. hivo nikafurahi kua ni mwanamke mwenzangu... yawezekana young but kwamba ni female ndo ilinifurahisha... Sorry Kaunga... Nimekukwaza??
Come on Pal... Pick one!...lol (mmmh! had obesity... duh!)