Daughter.... wee umeonesha dhahiri Boss aloongea, kwamba what you want hubadilika... Alafu punguza uadimu dear, nimefurahi kukuona...
Huwa hakuna,tunaishi katika dunia ya kutamani tamani na hata ukipata nini utaendelea kutaka.
Umenifurahisha Wenger...lol... MMU indeed... I love that Forum it is soooo
Wonderful thou najua you feel the same way kweny sports...
Kwamba wasoma Posts zangu zoote... I am humbled thou hard to bliv.... Dah!
Asante saaana Wenger...
Thanx ADii,uadimu sweetness ni katika harakati za kutafuta hicho kilichoongelewa hapo juu na Nyani Ngabu-Money. Otherwise napata amani sana kuwaona whenever I visit this place na kupata mawazo ya watu kama nyinyi. Be blessed dear.
Furaha haiji tu hivi hivi..lazima isababishwe na kitu. Nini kinakupa au kitakupa furaha?
kwani imekuwaje hadi nikapitwa? my wish ipi? hata ambayo it seems impossible? adi,hebu dadavua wakati napata flashback, japo mzee dc kashanikwaza na statement yake ya mzee wa kimasai! he used to be very decent na kupinga infii. leo siku yangu haitakuwa njema...
Bado utahitaji pesa kumhudumia na kumpa unavyotamani kumpa.
i lov the way u lov,lol
Umenikamata vibaya ujue....lol.. Basi let me stick to Amani.... For with Amani, life is good.... uncomplicated...
KING'ASTI..... sijui kama nimekuelewa apo hebu nielweshe vizuri zaidi au niombe ushauri kwa baby wangu?
AshaDii my shem........
Hii Sredi yako haifai kuchakachuliwa siyo?
Mie bana ni haka ka mama watoto kangu............Aisee Mungu alinipendelea aisee. Naomba Mungu amfanye wawe wawili.
Pamoja na haya mambo ya tamaa za kidunia, lakini haka kawaifu kangu bana...khaa!
Asha That way hufiki mbali ...! Lol
Lakini si marafiki huwa tunasaidiana? Here is the helping hand ... Ungesema hivi ... I wish to be granted one thing in which out of it I can get all other thing I will ever wish ...!!
Najuaaaah swali linalofuatia ... What is that one thing ? Au ... I want you to commit and ask me? Lol
Kumbuka mimi sina shida ... Nimeshasema ya kwangu .. To love the way People Loves.. Hapo nipo kwenye shina la kila kitu!! Now It all about you!! ... Just ask!!
Mi natamani kwa wapendwa wangu kupewa nafasi nyingine ya kuishi. Yaani sijui furaha yangu itakuwaje siku nimuone mama yangu tena na dadi wangu na.............ohhh dear!!!!!!!!(naomba nisiendelee maana)