Yaani kama kesho nakutana na Mola naye kuniuliza ombi langu moja tu ..basi mimi nitamwomba afanye kila njia "watoto wetu wasiishi kama vile tulivyoishi sisi" kama ataamua kufanya hivyo kwa sasa au kama ataamua kusawazisha maisha yao baadaye na hivyo kwa sasa sisi tuendelee kupigika na kusaga meno hiyo sio issue niko tayari!
kweli tunakoelekea sio kuzuri kabisa... wanadamu tunazidi evolve for the worse... Sijui kwa kweli wapi tunaelekea... Only God knows.... Mie inayoniuma kuliko yooote ni idadi ya watoto wa kiume inavoongezeka kwa kuharibika hasa katika suala zima ya Ushoga... So Sad.

I love that you love the content of the post.....lol
kwani imekuwaje hadi nikapitwa? my wish ipi? hata ambayo it seems impossible? adi,hebu dadavua wakati napata flashback, japo mzee dc kashanikwaza na statement yake ya mzee wa kimasai! he used to be very decent na kupinga infii. leo siku yangu haitakuwa njema...
Ni kweli ingawa tunawapenda watoto wetu lakini nadhani inabidi tu-presume wataishi kama vile wazazi tungependa.. Hizi ndoto zetu zinaishia mtoto akifikisha miaka 18..hapo tunaona na kuwapongeza wale wazazi waliofanikisha ndoto zao kwa watoto wao kufuata mfano mzuri.. na kilio na kusaga meno kinawaendea wale wazazi walioangaika lakini watoto wao wakaishia kuwa wezi, mafisadi, washerati, wana-siasa wasio na uzalendo, n.k..
Tunamshukuru Mola kwa kutuficha na maono hayo ,..kwani tungekuwa tunaona kule tuendako basi ni nani angependa kulea mtu ambaye baadaye atakuja kuwa fisadi, mwizi, tapeli, mwasherati etc.
Suala la ushoga ni issue..nadhani inamuuma sana mwanaume kuliko mwanamke.. hivyo kama wewe ni mwanaume rijali.. mwenye Jogoo la shoka ..halafu unajenga picha kuna jamaa mwanaume mwenzako anakushika masikio. nyuma yako..akiwa na nanihii kama yako!. duh! Mola tuepushe na balaa hili!!

Sio wishes zoote ni impossible dear, ila sema nyingine haziko within reach...

ingawa yawezekana but kwako ni kazi kupata ama timiza...

Mzee DC kakuudhi nini?? Kuunga mkono Infidel? I thot hapo ni wish tu lakini hatekelezi...lol
I look at my kids leo and think... God will they be worthwhile?? Namshukuru Mungu mpaka sasa wana muelekeo thou na madhaifu madogo madogo yapo - sikati tamaa for they are too young bado... ila tu the boy is very very attentive, ni mdogo but humuambii kitu kwangu.... I am proud of them, thus yoote uloongea hapa katika this post, inanigusa moja kwa moja...
Sometimes i think it would have been for the best tungekua tunaona where we are heading... Labda tungekua na busara zaidi....
everything starts with a wish adi! and u start seeing possibilities..u follow the path...u end up with ur wishes.inabidi amshirikishe mkewe waombe sana na mkewe aweze kumlinda banaa. mzee dc used to stand stronghold for his wife roho yangu ilisuuzika kweli! sasa dah!
my one wish is to have reasons to laugh all the time and cry a few times (when im too happy i cry). so i guess lots of love, peace and a few basics and im on top of my cloud

Ni vigumu kwangu kuchagua kwani kwa mtazamo wangu naona kila kitu kina upande wa pili wa shilingi.
Hakuna kwa kweli zaidi ya kumshukuru mola kwa vyote alivyonipa mpaka siku ya leo.
Hii imekaa vizuri AW.... Naona busara imechukua mkondo.... Habari ya siku Mkuu, umepotea saana.
Swali lako ningelijibu 2 years ago ningesema pesa,lakini kwa sasa ni amani. Siku zote naomba niwe na amani ya kutosha mimi na watu wote wanaonizunguka.
Ukiangalia hali halisi duniani utaona kwamba kila mtu anaona kuna upungufu flani kwenye maisha yake. Ndio maana kuna umuhimu wa kushukuru popote pale ambapo umefika/tumefika.
Nipo dadangu, shughuli nyingi ndio maana kimya kimezidi.
Asante kwa michango yako kama kawaida.

Offutopik: kuna kila dalili Husninyo nitampiga kibuti karibuni, nishachoka huu mpango wake wa mikwala hazarani halaf anaomba razi PM.
Maneno uloongea ni kweli kabisa... thou ni wachache tumejaliwa kuridhika mahala tulipo... But kama Mungu kakujalia appreciation then inabidi umshukuru saaana for ina maana kwako Wenger furaha ni rahisi mno...
Nafurahi kusikia you are doing good... Na kwamba ni shughuli tu zimekubana, hivo ukipita once in a while, hata ukionekana kwa mbali jukwaa la Sports at least ni dhahiri all is good. Nakushukuru wewe pia kwa mchango wako, for as much as ni adimu saana, nina bahati ya kupata post walau moja from you...
Pamoja Saaana.
ADI.
Najitahidi kumshukuru Mungu kw ayote alionibariki.
Ilikuwa off season, kuanzia sasa hivi nipo kila weekend jukwaa la sport pale ndio nyumbani kama wewe MMU LOL.
Amini usihamini huwa nasoma kila post yako humu, sababu kuu ni kwamba napenda maoni yako.