sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 8,190
- 7,640
Uwe na adabu, kuwahita viongozi wahuni, matapeli ni kujidalilisha mwenyewe na chama chako, hauna tofauti na wale wamama wenye domo chafu mtaani.Utaweweseka sana mwaka huu baada ya kuona wanambeya kwa ujumla wao wakiendelea kumshukuru Dkt Tulia kwa uchapa kazi wake.na namna alivyowasadia wanambeya kupata maendeleo katika kila eneo. ngoja mkeka wa lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe wenye urefu wa 237.9 utandikwe ndio akili yako na yule muhuni na tapeli wa kisiasa Sugu akili itawakaa sawa.
Mbeya kamwe na katu haijikuongizwa tena na muhuni Sugu.wala wana Mbeya hawapo tayari kumuondoa Dkt Tulia katika ubunge pale Mbeya mjini.
Mbeya mjini ni Dkt Tulia na dkt Tulia ndio Mbeya yenyewe.
Hakuna wa kumkwamisha Dkt Tulia na Wana CCM na CCM nzima imeamua kiwa Fomu ya ubunge ni moja tu kwa ajili yake Dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na fahari ya wana mbeya na nyanda za juu kusini