Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,410
- 81,902
Hebu fafanua kidogo kuhusu hiyo Kampuni kama haina longolongo. Ofisi zao kwa Tanzania zinapatikana wapi?Mimi ni mtumishi nimekua nikinunua bidhaa zangu online kupitia kwenye company ya www.digxam.co wako Japan na Tanzania
Kiukweli waga sigusi mshahara wangu nimenunua member ship wakinutumia mzigo wa milion moja wa laptops nikiuza Napapata milioni kwa muda wa week moja, mzigo wa simu napata vile vile
Na hizo bidhaa ni used, au ni brand new?