MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Mpaka sasa sijajua advance maths imenisaidia nini[emoji3]Hivi unazitumia hizo formula jobu au kwy laifu? Au ilikuwa kusumbuana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa sijajua advance maths imenisaidia nini[emoji3]Hivi unazitumia hizo formula jobu au kwy laifu? Au ilikuwa kusumbuana tu
So sad, hawakujua kama Bombardier zitanunuliwa kwa cash kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahh Pole kwa kuto kwenda Special Schools Mkuu
By the way Pia Mimi those Years Nilibadirisha kombi Aisee, kwenye selform nilijazaga PGM ya kwanza PCM ya Pili
Nakumbuka kabla ya kwenda Shule nikaambiwa Achana na PGM ndege zenyewe ziko Wapi maneno kibao
Nilivyo ingia Shule nikahama kombi na Shule kwa mkupuo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
SOTOCA
------------
H A H
Sine = Opposite/Hypotenus
Tan = Opposite/Adjacent
Cosine = Adjacent/Hypotenus
Mwambie kwa nini huwa ana bend(analala upande) kwenye kona akiwa anaendesha Baiskeli au pikipiki.Usione tu barabara kwenye kona zimeinama upande mmoja ukadhani ni urembo ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link ya huo uziHivi wewe hujatoa malalamiko yako kule?
Kuna jamaa nilisoma comment yake nilicheka almanusura nizimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hembu jaribu kumuomba mlevi MMoja.Naomba link ya huo uzi
Hii ilikua inaenda pia hiviMpenzi( mercury)
Veronika(Venus)
Endeleza (earth)
Mapenzi(mars)
Japokuwa( Jupiter)
Sikuoni(Saturn)
Unataka(Uranus)
Nikose(Neptune)
Pumzi(Pluto)
Hahaha kitambo sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye comb ambayo Physics huwa haipendwi/haitiliwi maanani, mimi niliipenda sana na nilikomaa naye sana hatimaye niliifaulu na ikanipatia daraja la kwanza. Laiti nisingekomaa kwenye Phys nisingepata daraja la kwanza AdvanceNaam ukishaifahamu Physics raha sana..Ni kushuka madude tu, bro angu alichukua PCM mie katikati kulikua na somo pendwa B. Ndio alinifanya niipende P .Nilikua nainjoi sana haya masomo mawili.
Bora ulibadilisha hio kombi wakikwambia utaendesha ndege wanakuongopea
Nilisoma PGM nikaishia kusomea agricultural engineering badala ya kurusha pipa
Kuna Uzi wetu huku wale tuliosoma PGM nenda kacheki watu wanavyolalamika [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe hujatoa malalamiko yako kule?
Kuna jamaa nilisoma comment yake nilicheka almanusura nizimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link ya huo uzi
.Hembu jaribu kumuomba mlevi MMoja.
Mimi niliuchangia kitambo Sana,hata siuoni na nimesahau title yake
Sent using Jamii Forums mobile app