Yani niliposoma uzi tu hii fomula ndio imekuja kichwani paap.SOTOCA
------------
H A H
Sine = Opposite/Hypotenus
Tan = Opposite/Adjacent
Cosine = Adjacent/Hypotenus
Mkuu huu mwandiko wa mathematician kabisa.SOTOCA
------------
H A H
Sine = Opposite/Hypotenus
Tan = Opposite/Adjacent
Cosine = Adjacent/Hypotenus
BITWA:Hellena analazimishwa kuchinja beberu![emoji1][emoji1][emoji1]
Dah hii ulikuwa unagawa adi unamaliza page unagawa swali mojaHahahahh Nani anaikumbuka hii
KUGAWA KWA NJIA NDEFU
Basic Mathematics na Addition Mathematics nilizitendea haki ila zenyewe hazinitendei haki kitaa, zimebaki zinaniliwaza na zile operation 4 tu(+, -, ×, ÷)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahh Nani anaikumbuka hii
KUGAWA KWA NJIA NDEFU
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah hii ulikuwa unagawa adi unamaliza page unagawa swali moja
Mpaka mwaka 3200 nitakuwa sijui mahali pa kuifanyia kazi hii formula katika maisha halisi, elimu yetu haina tofauti sana na ELIMU YA MJINGA tunasoma ili tujibu mitihani.SOTOCA
------------
H A H
Sine = Opposite/Hypotenus
Tan = Opposite/Adjacent
Cosine = Adjacent/Hypotenus
Mainjinia wanaifanyia kazi vizuri sana, kuna mambo ya Angle of elevation and Depression.Mpaka mwaka 3200 nitakuwa sijui mahali pa kuifanyia kazi hii formula katika maisha halisi, elimu yetu haina tofauti sana na ELIMU YA MJINGA tunasoma ili tujibu mitihani.
Hv kuna umuhimu gani mtu unajaza mavitu kichwani halafu hayana msaada? Haohao mainjinia ukiwauliza kuhusu matumizi ya mofimu hawana habari nazoMainjinia wanaifanyia kazi vizuri sana, kuna mambo ya Angle of elevation and Depression.
Kama sio Injinia huwezi kuona umuhimu wake