Unakumbuka nini, nani na wapi ukisikia maneno haya?

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Habari wana cc,
Naomba tuanze weekend kwa kukumbuka zamani kidogo
1. Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene, Nani Mgogo Aliyesimama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada

2. Kofia huuzwa dukani mwa daudi shilingi mia

binafsi nakumbuka primary, na form one form two... karibu muongo na nusu uliopita!
cc😡erickb52. Nicas Mtei, manoah, BAGAH, Kongosho, Mr Rocky et al
 
Last edited by a moderator:
Ila BAGAH sidhani kama still tupo nae jamvini !
Labda akiona huu uzi atatia maguu!
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha form nyoya, ah ah! Teacher Amosi ndie alikua mwalimu wangu.
Lucas hii wewe unakumbukia wapi vile,
parts.gif
 
Last edited by a moderator:
manoah ushaniharibia usiku wangu aisee nimeona tu hesabu na jambo nlokuwa nataka nifanye hapa kitandani ndio nlale nimelikinai kha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Habari wana cc,
Naomba tuanze weekend kwa kukumbuka zamani kidogo
1. Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene, Nani Mgogo Aliyesimama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada

2. Kofia huuzwa dukani mwa daudi shilingi mia

binafsi nakumbuka primary, na form one form two... karibu muongo na nusu uliopita!
cc😡erickb52. Nicas Mtei, manoah, BAGAH, Kongosho, Mr Rocky et al

Kipi kikusikitishacho?
 
Last edited by a moderator:
Dah! hapo nimekumbuka caigo sec, periodic table, namkumbuka mwl.urban ndunguru,papalika, mlasu,ntangu, bro acha shule ilikuwa afadhali ya jkt!!
 
Habari wana cc,
Naomba tuanze weekend kwa kukumbuka zamani kidogo
1. Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene, Nani Mgogo Aliyesimama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada

2. Kofia huuzwa dukani mwa daudi shilingi mia

binafsi nakumbuka primary, na form one form two... karibu muongo na nusu uliopita!
cc😡erickb52. Nicas Mtei, manoah, BAGAH, Kongosho, Mr Rocky et al

Kale kakuku kadogo kekundu kako kwako kaka?
 
Last edited by a moderator:
Na hii je yu-a-wa,u-i,li-ya,ki-vi,i-zi,u-zi,u-ya-ku-pa-mu-ku

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Karudi baba mmoja..
Toka safari ya mbali

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom