Tukumbushane 'formulas' tulizokuwa tunakariri shuleni

Hv kuna umuhimu gani mtu unajaza mavitu kichwani halafu hayana msaada? Haohao mainjinia ukiwauliza kuhusu matumizi ya mofimu hawana habari nazo
Usichokitumia wewe kwasasa mwenzio anakitumia. Ilikuwa lazima tuvisome kwakuwa tulikuwa bado tupo kwenye chungu kimoja..Haikujulikana nani atakuwa mwl.nani atakuwa injinia na nani atakuwa daktari (Hii ni kulingana na mfumo wetu wa elimu)
 
Ndio maana kama taifa tnashindwa. Tupate uhuru wa kuishi ndoto zetu. Kwa mfano mimi nilitamani sana kuwa rubani baadaye nikawaza utangazaji na mwisho nikatamani kuwa mwalimu sasahv ni mjasiriamali. Kote huko waalimu na mfumo ni chanzo. Mfano mwl mmoja aliniambia huwezi kuwa rubani maana ada ni kubwa. Baadhi ya watangazaji wakaniambia sina sifa za kuendesha vipindi vya watoto mpaka nisomee (nikajiuliza wale watoto wanaoongoza vpind walisomea wapi)
 
ilikuaje uka-deviate Mkuu na kutuachia PCM
Nilichagua PCB ya kwanza kwenye fomu za kuchagua michepuo. Lengo langu lilikuwa ili nije nichaguliwe shule nzuri kama Mzumbe, Kibaha, Ilboru na Tabora boys maana niligundua kwa PCB unaweza kuchaguliwa kwa ufaulu wa kawaida ukilinganisha na PCM ili baadae nikabadili comb.

Hayo maamuzi yalitokana na uwezo wangu kuwa wa kawaida katika ufaulu.

Hayo malengo yaligonga mwamba, nilichaguliwa shule ya kawaida japo ni shule kongwe, nilipotaka nibadili comb nikashauriwa na watu wangu wa karibu nibaki na PCB.

Bila hiyana nikabaki nayo na mapambano yakaanza. Namshukuru Mungu sasa nina digrii japo nipo jalalani ila cha moto nilikipata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha!! Eti jalalani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom