Tukumbushane 'formulas' tulizokuwa tunakariri shuleni

Tukumbushane 'formulas' tulizokuwa tunakariri shuleni

Yote tisa, mateso ilikuwa kwenye
Calculus
Probability

Na kule FoE, EG106 na ME 207 na yale ma-truss
 
Bora ulibadilisha hio kombi wakikwambia utaendesha ndege wanakuongopea

Nilisoma PGM nikaishia kusomea agricultural engineering badala ya kurusha pipa

Kuna Uzi wetu huku wale tuliosoma PGM nenda kacheki watu wanavyolalamika [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Uzi gani huo Mkuu
Ni ule Ambao Kuna Member " Badala ya kuwa Rubani amekua Mpishi kwa Wahindi " ??

Umeangukia kwenye uinjinia wa Kilimo kitu ambacho bila Shaka umekijulia ukubwani

Hiyo taaluma ni Ngumu Sana
 
Huo huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom