Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
- Thread starter
- #181
tuzungumzie mada ndugu zangu; tusiache mada zitekwe namna hii.
tuzungumzie mada ndugu zangu; tusiache mada zitekwe namna hii.
Hata kama nina cheti siwezi kukurupuka na kutangazia hapa JF!
Halafu ina maana ni lazima niwe na cheti kupiga kampeni?
Ama ni hofu ya kuondolewa madarakani na nyie mnafikiri sisi tunakuja kuwapindua? Hatuna haja ya kufanya hivyo! Wananchi washa amua ndugu!
Halafu hili tatizo la viongozi kuwaogopa watu wa mamtoni na kuanza kuwapaka matope si ni woga kwa kuwa wanajua sisi hatucheki na kima?
MMEPATA UKUMYA KAMA WA MKAPA UKWELI UNAUUMA EHE KWA KWA KWI KWI POLENI NA KARIBUNI TENA LAKINI MSIWE NA HASIRA MKIAMBIWA UKWELI KWANI HATUWEZI WOTE KUWA NA AKILI SAWA VINGINEVYO DUNIA ISINGEENDELEA. MKITAKA KUJA TUFAHAMISHENI TUWAPOKEE BONGO YETU HII TUACHIENI LA SIVYO RUDINI TUUNGANE. mSINUNE MKASUSA NIMEWAPATA LEO UKWELI UMEJULIKANA UR JUST A BUNCH OF LOOSERS. sORRY KAMA ENGLIZ YANGU MBOVU LAKINI NIMESOMEA BONGO NA NITAFIA BONGO NAAPA KUTOIKIMBIA NCHI YANGU CHAO.

Wakubwa, ni vyema kama tukiweza ku-maintain focus ya mada..hizi disorders chache zipo katika jamii..kwa hiyo Mkubwa Mushi achana na huyo..shusha mambo ya kueleweka hapa...ujumbe unawafikia..si unaona wanavyokuwa wakali..kumbe na wao wanafika huku sio...safi sana

Disorders zipi kakaaaaaa. Nadhani hiyo ya kwenu ni disorder kubwa zaidi mnaogopa kurudi bongo maana wengine mlizamia mtabaki kuandika kwenye jumboforums tu maana hamuwezi kuja bongo, kupata tena visa ya kurudi ulaya au marekani noma ndio maana hasira zenu mnamalizia kwenye kuandika. Andikeni sawa fichueni mafisadi sawa lakini msituite wajinga hiyo ndio ilikuwa hoja yangu na wala si vinginevyo. Mkimbia kwao mgonjwa wa akili. Ngoja nikalale mie niachane na nyie maana hamna dira ila blaaaaa blaaaaaaa tu sisi huku tutatapambana na mafisadi mpaka kieleweke ila tukifanikiwa mkae huko huko maana wengine hata matumizi kidogo hamleti nyumbani ndugu zenu wana shida lukuku halafu badala ya kuwasaidia au kutafuta namna ya kuwasaidia mnachonga tu, nyie endeleeni tu kuandika maneno ya kwenye karatasi hayana faida bali vitendo. Adios
Maskini!
Kumbe ni kweli ulikuwa UK
Pole sana!
Hivi kweli utapambanaje dhidi yako mwenyewe?
Una uhakika hauitaji msaada hapo kweli?
Sasa kama wasomi wetu "wamechimba" sana kuliko wa Ulaya na Marekani (ingawa ma theory na mavitabu wanayotumia mengi yametungwa na kuandikwa na wazungu) sasa kwa nini sisi hatuendelei?
Nilicho observe personally ni kuwa sisi "tunachimba" sana kwa kutumia msuli, tunapapasa mitabu mingi sana, hatuhurumiani, tunapigana ma disco sana, kiasi kwamba tunatengeneza ma academicians waliobobea katika nadharia.
Wenzetu wanaweza wasifanye kazi sana kama sisi bali wanafanya yaliyo muhimu.Kwa mafano, kipindi kirefu kidogo kilichopita nikiwa primary nilipata kukaa na mtoto wa IST nikataka kujua wanavyofundishwa.Tukaanza kuulizana, formulaes tukafikia formulae ya kupata eneo la duara, mwenzangu akanipa formulae na historia ya formulae ilivyopatikana na kwa nini pi ni 22/7, basi mimi nilibaki mdomo wazi kwamba siku zote nimekuwa nikitumia pi kama 22/7 kama a given constant, wala mwalimu hakuniambia hii pi imetoka wapi na kwa nini ikawa 22/7.
In other words, elimu "yetu" ni mechanical zaidi, iko based kwenye kurudia kitu kile kile bila kikichunguza zaidi na iko canonical zaidi.
Wenzetu wanaenda kwenye mizizi ya vitu na hata hivyo vitu "vidogo" au visivyo "vigumu" wanavyosoma mitaala yao inawataka wavisome deeply.
Ukiwa na elimu hii canonical, huwezi kuwa adaptive au innovative, utataka kila kitu kije kama textbook examples ulizozizoea, which is hardly the case.
Ukijifunza the underlying principles (kama vile kwa nini pi ikawa 22/7) sio tu unaweza kuwa adaptive, unaweza hata ku design vitu vya kuwezesha a breakthough in the next paradigm.
Pundit:
Nilipata bahati ya kusoma Tanzania na nje ya nchi. Kuna ukweli ya unayoyasema lakini mimi bado nipo KWENYE BIZNIS.
Kwa mfano wakati wa enzi ya utawala wa kirumi au wakati wa Renaissance kuna miji mikubwa ilizuka yenye mireferi ya maji, viwanja vya michezo mahekalu ya dini na mambo mengi ya maendeleo ya kijamii. Historia inasema, mtawala fulani ali-COMMISSION ujenzi wa uwanja au mirefeji ya maji safi (Aqueductis). Ku-COMMISSION kuna maana kutengana budget kwa ujenzi wa mradi ambao utambatana na kuwalipa mafundi na wafanyakazi wengine mishahara (BIZNIS).
Kama knowledge ya ufundi pekee yake ilikuwa so fabolous kwanini basi wenye knowledge hizo waliweza kufanya kazi pale pesa ilipotengwa ?
BM,
Unapokuwa na adaptive knowledge halafu uchumi unaruhusu ku-commission hayo ma-project hapo ndipo textbook knowledge na school project zinapopata opportunity ya kumchallenge kijana anayeingia katika workforce kufanya vizuri.
Sasa sisi uchumi wetu mdogo, hata hao graduates wanakaa mtaani miaka sita, by the time wakipata ajira hata hiyo knowledge ya ku cram nayo inakuwa ishaanza kutoweka.
Somehow it becomes a vicious cycle, uchumi mdogo partly kwa sababu hatuna wataalamu imaginative, na hatuna wataalamu imaginative kwa sababu uchumi mdogo.
To top it off wale wataalamu imaginative wachache (the Sarungi's Mwandosya etc) wanapelekwa kwenye administration badala ya kutia chachu vijana wengine.
Disorders zipi kakaaaaaa. Nadhani hiyo ya kwenu ni disorder kubwa zaidi mnaogopa kurudi bongo maana wengine mlizamia mtabaki kuandika kwenye jumboforums tu maana hamuwezi kuja bongo, kupata tena visa ya kurudi ulaya au marekani noma ndio maana hasira zenu mnamalizia kwenye kuandika. Andikeni sawa fichueni mafisadi sawa lakini msituite wajinga hiyo ndio ilikuwa hoja yangu na wala si vinginevyo. Mkimbia kwao mgonjwa wa akili. Ngoja nikalale mie niachane na nyie maana hamna dira ila blaaaaa blaaaaaaa tu sisi huku tutatapambana na mafisadi mpaka kieleweke ila tukifanikiwa mkae huko huko maana wengine hata matumizi kidogo hamleti nyumbani ndugu zenu wana shida lukuku halafu badala ya kuwasaidia au kutafuta namna ya kuwasaidia mnachonga tu, nyie endeleeni tu kuandika maneno ya kwenye karatasi hayana faida bali vitendo. Adios
BM,
Unapokuwa na adaptive knowledge halafu uchumi unaruhusu ku-commission hayo ma-project hapo ndipo textbook knowledge na school project zinapopata opportunity ya kumchallenge kijana anayeingia katika workforce kufanya vizuri.
Sasa sisi uchumi wetu mdogo, hata hao graduates wanakaa mtaani miaka sita, by the time wakipata ajira hata hiyo knowledge ya ku cram nayo inakuwa ishaanza kutoweka.
Somehow it becomes a vicious cycle, uchumi mdogo partly kwa sababu hatuna wataalamu imaginative, na hatuna wataalamu imaginative kwa sababu uchumi mdogo.
To top it off wale wataalamu imaginative wachache (the Sarungi's Mwandosya etc) wanapelekwa kwenye administration badala ya kutia chachu vijana wengine.
Kuna kitu kimebadilika?BoT: We`ve no control over earnings by foreign firms
2008-05-09 09:20:15
By Patrick Kisembo
The central bank has said it has no control over the money foreign contractors generate in the country.
Bank of Tanzania Governor Prof. Benno Ndulu told a consultative meeting on Financial Management that it was difficult to control the income of foreign contractors as they won contracts as foreigners.
The meeting, organized by the Contractors Registration Board (CRB), was held in Dar es Salaam yesterday.
Prof. Ndulu said:If a company comes from Britain to work here at the end of the contract it will take back the money it has collected here,
he said.
It is believed that foreign companies command more than 70 per cent of construction contracts in the country, a big chunk of whose earnings is remitted outside Tanzania.
Prof Ndulu said Tanzania would only manage to retain the remitted earnings when local contractors attain competence to compete equally with foreign firms.
Local contractors constitute about 97 per cent of all contractors in the country, although they garner only 30 per cent of the market share of the construction business.
The governor said the situation was disheartening for local contractors despite its importance and contribution to the national economy.
He cited lack of funding from financial institutions as one of the biggest challenges facing local contractors.
This is due to the fact that most of the local contractors are small with no tract record and lack collateral to enable them access loans from financial institutions,
he said.
Prof. Ndulu said the BoT had taken measures directed at reducing interest rates which were still very high following financial institutions` use of treasury bills rates as a benchmark to set interest rates to bank customers.
The governor said contractors would now benefit following the government`s move to embark on second generation financial reforms including putting in place the Lease Finance Act that would also enable contractors to acquire equipment on lease basis for construction purposes.
He said the government had prepared a bill to amend laws that hinder the development of mortgage finance in the country.
We are currently administering, on behalf of the government, guarantee schemes which contractors can also utilize to access requisite financing from financial institutions,
said Prof Ndulu.
CRB Registrar Boniface Muhegi admitted that foreign contractors benefited a lot owing to the fact that they were able to access finance, plant and machinery, as well as support, from their home countries or institutions.