Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

Hata kama nina cheti siwezi kukurupuka na kutangazia hapa JF!

Halafu ina maana ni lazima niwe na cheti kupiga kampeni?

Ama ni hofu ya kuondolewa madarakani na nyie mnafikiri sisi tunakuja kuwapindua? Hatuna haja ya kufanya hivyo! Wananchi washa amua ndugu!

Halafu hili tatizo la viongozi kuwaogopa watu wa mamtoni na kuanza kuwapaka matope si ni woga kwa kuwa wanajua sisi hatucheki na kima?

MMEPATA UKUMYA KAMA WA MKAPA UKWELI UNAUUMA EHE KWA KWA KWI KWI POLENI NA KARIBUNI TENA LAKINI MSIWE NA HASIRA MKIAMBIWA UKWELI KWANI HATUWEZI WOTE KUWA NA AKILI SAWA VINGINEVYO DUNIA ISINGEENDELEA. MKITAKA KUJA TUFAHAMISHENI TUWAPOKEE BONGO YETU HII TUACHIENI LA SIVYO RUDINI TUUNGANE. mSINUNE MKASUSA NIMEWAPATA LEO UKWELI UMEJULIKANA UR JUST A BUNCH OF LOOSERS. sORRY KAMA ENGLIZ YANGU MBOVU LAKINI NIMESOMEA BONGO NA NITAFIA BONGO NAAPA KUTOIKIMBIA NCHI YANGU CHAO.
 
Wakubwa, ni vyema kama tukiweza ku-maintain focus ya mada..hizi disorders chache zipo katika jamii..kwa hiyo Mkubwa Mushi achana na huyo..shusha mambo ya kueleweka hapa...ujumbe unawafikia..si unaona wanavyokuwa wakali..kumbe na wao wanafika huku sio...safi sana
 
Maskini!
Kumbe ni kweli ulikuwa UK
Pole sana!
 
Wamo humu hata Kikwete naye yumo humu!
 
Wakubwa, ni vyema kama tukiweza ku-maintain focus ya mada..hizi disorders chache zipo katika jamii..kwa hiyo Mkubwa Mushi achana na huyo..shusha mambo ya kueleweka hapa...ujumbe unawafikia..si unaona wanavyokuwa wakali..kumbe na wao wanafika huku sio...safi sana

Disorders zipi kakaaaaaa. Nadhani hiyo ya kwenu ni disorder kubwa zaidi mnaogopa kurudi bongo maana wengine mlizamia mtabaki kuandika kwenye jumboforums tu maana hamuwezi kuja bongo, kupata tena visa ya kurudi ulaya au marekani noma ndio maana hasira zenu mnamalizia kwenye kuandika. Andikeni sawa fichueni mafisadi sawa lakini msituite wajinga hiyo ndio ilikuwa hoja yangu na wala si vinginevyo. Mkimbia kwao mgonjwa wa akili. Ngoja nikalale mie niachane na nyie maana hamna dira ila blaaaaa blaaaaaaa tu sisi huku tutatapambana na mafisadi mpaka kieleweke ila tukifanikiwa mkae huko huko maana wengine hata matumizi kidogo hamleti nyumbani ndugu zenu wana shida lukuku halafu badala ya kuwasaidia au kutafuta namna ya kuwasaidia mnachonga tu, nyie endeleeni tu kuandika maneno ya kwenye karatasi hayana faida bali vitendo. Adios
 
Hivi kweli utapambanaje dhidi yako mwenyewe?
Una uhakika hauitaji msaada hapo kweli?
Halafu msomi mzima ukitaka kujua ni fisadi..Angalia umetumia neno "Tutapambana"

Kwetu hapa JF ni "TUNAPAMBANA"

OUT OF TOUCH..HUWEZI KUJIFICHA HAPA JF..KWI KWI KWI..YANI WE UNAFIKIRI KWASABABU HATUONANI USO KWA USO BASI HATUTAMBUANI?

KWA TAARIFA YAKO THIS IS THE BEST WAY TO GET INSIDE YOUR FISADI MIND! KWI KWI KWI..USTAKE NCHEKE!
 
Maskini!
Kumbe ni kweli ulikuwa UK
Pole sana!

Labda kwa fikra zako. Lakini haifuti ukweli wa mambo. Rudi nyumbani tufanye kazi ulaya kwa wazungu mnakuwa watumwa wa wazungu bora sisi watumwa wa waafrika wenzetu pamoja na umaskini wetu. Mcheza kwao hutunzwa nyie huko vipi
 
Hivi kweli utapambanaje dhidi yako mwenyewe?
Una uhakika hauitaji msaada hapo kweli?

Wewe naona ni mgonjwa wa akili maana unadhani kila aingiaye hapa ni fisadi. Labda na wewe una matatizo kamwone daktari lakini hata hapa tunao madaktari wa ugonjwa wako njoo tukupeleke muhimbili.
 
Jamani eeeh vipi nyie mbona mnataka kuharibu mada hii?..
Kwetu,
Tafadhali mkuu kukaa kwako Bongo hakukupi mamlaka yoyote zaidi ya watu wengine kiasi kwamba unaanza kutudharau wote tunaoishi nje..
Tafadhali kama ni Ujinga tumesema Watanzania sasa kama unafikiri Utanzania ni kuisho Bongo mkuu unapoteza muda wetu, kwani hapo ulipo huwezi kunambia wewe binafsi umepambana vipi na Mafisadi..
JMushi1, Please turdi kwenye mada haya maswala yenu hanazidi kutuchefua tu..
 
Sasa kama wasomi wetu "wamechimba" sana kuliko wa Ulaya na Marekani (ingawa ma theory na mavitabu wanayotumia mengi yametungwa na kuandikwa na wazungu) sasa kwa nini sisi hatuendelei?

Ngabu:

Nilitoa ahadi ya kujibu lakini naona ukumbi kama umejaa posti nyingi ambazo zinatoka nje ya mada.

Kuna posti niliyosema utaalamu uupatao shuleni ni taaluma tu. Lakini kazi zinazoendelea nchi ni miradi inayotumia pesa, muda, na human capital (watu wenye taaluma zao).

Na watu wanapohamua kutumia taaluma zao kupata faida au maendeleo hapo wanafanya BIZNIS NA sio kufanya project za shule. Katika project ya shule mwanafunzi anatakiwa ku-prove au kijifunza kitu fulani.

Lakini mwanafunzi huyohuyo akipata shahada na kuhamua kufanya BIZNIS kwa kutumia taaluma yake mambo yanakuwa complex kuliko zile project za shule. Kwanza anatakiwa awe na model ya business yake. Vilevile anatakiwa awe na wateja au aweze kupata market share na kikubwa zaidi awe na mtaji.

Hivyo sehemu kubwa ya kushindwa kwetu hakutokani na sisi kukosa ujuzi bali kutokuwa na BIZNIS model zinazo-support kile ulichosomea.

Konoike ni kampuni. Na kama ni kampuni basi itakuwa na BIZNIS model yake, hivyo mhitimu kutoka Japan au Tanzania anaweza kujiunga na kutokana na support ya BIZNIS model iliyopo anaweza kushika kile anachotakiwa na kufanya kazi vizuri tena kwa ufanisi mkubwa sana.

Tatizo la Tanzania ni kuwa Wahitimu wengi wa sayansi na Engineering wanapomaliza shule wanakuta hakuna makampuni yenye BIZNIS models zitakazofanya wahitimu hao kujifunza chochote cha maana na wao kujiendeleza.

Naweza kuendelea lakini nywele zinauma.
 
Nilicho observe personally ni kuwa sisi "tunachimba" sana kwa kutumia msuli, tunapapasa mitabu mingi sana, hatuhurumiani, tunapigana ma disco sana, kiasi kwamba tunatengeneza ma academicians waliobobea katika nadharia.

Wenzetu wanaweza wasifanye kazi sana kama sisi bali wanafanya yaliyo muhimu.Kwa mafano, kipindi kirefu kidogo kilichopita nikiwa primary nilipata kukaa na mtoto wa IST nikataka kujua wanavyofundishwa.Tukaanza kuulizana, formulaes tukafikia formulae ya kupata eneo la duara, mwenzangu akanipa formulae na historia ya formulae ilivyopatikana na kwa nini pi ni 22/7, basi mimi nilibaki mdomo wazi kwamba siku zote nimekuwa nikitumia pi kama 22/7 kama a given constant, wala mwalimu hakuniambia hii pi imetoka wapi na kwa nini ikawa 22/7.

In other words, elimu "yetu" ni mechanical zaidi, iko based kwenye kurudia kitu kile kile bila kikichunguza zaidi na iko canonical zaidi.

Wenzetu wanaenda kwenye mizizi ya vitu na hata hivyo vitu "vidogo" au visivyo "vigumu" wanavyosoma mitaala yao inawataka wavisome deeply.

Ukiwa na elimu hii canonical, huwezi kuwa adaptive au innovative, utataka kila kitu kije kama textbook examples ulizozizoea, which is hardly the case.

Ukijifunza the underlying principles (kama vile kwa nini pi ikawa 22/7) sio tu unaweza kuwa adaptive, unaweza hata ku design vitu vya kuwezesha a breakthough in the next paradigm.

Pundit:

Nilipata bahati ya kusoma Tanzania na nje ya nchi. Kuna ukweli ya unayoyasema lakini mimi bado nipo KWENYE BIZNIS.

Kwa mfano wakati wa enzi ya utawala wa kirumi au wakati wa Renaissance kuna miji mikubwa ilizuka yenye mireferi ya maji, viwanja vya michezo mahekalu ya dini na mambo mengi ya maendeleo ya kijamii. Historia inasema, mtawala fulani ali-COMMISSION ujenzi wa uwanja au mirefeji ya maji safi (Aqueductis). Ku-COMMISSION kuna maana kutengana budget kwa ujenzi wa mradi ambao utambatana na kuwalipa mafundi na wafanyakazi wengine mishahara (BIZNIS).

Kama knowledge ya ufundi pekee yake ilikuwa so fabolous kwanini basi wenye knowledge hizo waliweza kufanya kazi pale pesa ilipotengwa ?
 
BM,

Unapokuwa na adaptive knowledge halafu uchumi unaruhusu ku-commission hayo ma-project hapo ndipo textbook knowledge na school project zinapopata opportunity ya kumchallenge kijana anayeingia katika workforce kufanya vizuri.

Sasa sisi uchumi wetu mdogo, hata hao graduates wanakaa mtaani miaka sita, by the time wakipata ajira hata hiyo knowledge ya ku cram nayo inakuwa ishaanza kutoweka.

Somehow it becomes a vicious cycle, uchumi mdogo partly kwa sababu hatuna wataalamu imaginative, na hatuna wataalamu imaginative kwa sababu uchumi mdogo.

To top it off wale wataalamu imaginative wachache (the Sarungi's Mwandosya etc) wanapelekwa kwenye administration badala ya kutia chachu vijana wengine.
 
Ni vicious kubwa. Nirudi Tanzania na kwa kile nilichosomea na uzoefu wangu wa kazi ninaweza kuunda timu au kampuni ya kupata faida na kuzibakia pesa palepale nyumbani. Lakini hiyo mizunguko yake na 10 percent ya kupata tenda siiwezi.

Ukweli nina wazazi wawili waliostaafu wanaonitegemea na sina mpango wa kucheza bahati nasibu. Kama ni uzalendo namwachia Mwanakijiji na Aunt Mwafrika wa kike.
 
Disorders zipi kakaaaaaa. Nadhani hiyo ya kwenu ni disorder kubwa zaidi mnaogopa kurudi bongo maana wengine mlizamia mtabaki kuandika kwenye jumboforums tu maana hamuwezi kuja bongo, kupata tena visa ya kurudi ulaya au marekani noma ndio maana hasira zenu mnamalizia kwenye kuandika. Andikeni sawa fichueni mafisadi sawa lakini msituite wajinga hiyo ndio ilikuwa hoja yangu na wala si vinginevyo. Mkimbia kwao mgonjwa wa akili. Ngoja nikalale mie niachane na nyie maana hamna dira ila blaaaaa blaaaaaaa tu sisi huku tutatapambana na mafisadi mpaka kieleweke ila tukifanikiwa mkae huko huko maana wengine hata matumizi kidogo hamleti nyumbani ndugu zenu wana shida lukuku halafu badala ya kuwasaidia au kutafuta namna ya kuwasaidia mnachonga tu, nyie endeleeni tu kuandika maneno ya kwenye karatasi hayana faida bali vitendo. Adios

Mkubwa..sio wote waliopo nnje ni kwamba wamekimbia makwao..WA(T)upo wenye uwezo wa kufanya mambo mbali mbali ya maana..lakini hatukubaliani na jinsi mfumo unavyoenda na hivyo tunaona ni rahisi kufanya kazi na hawa wanaotukubali na ku appreciate uwezo wa vichwa vyetu, na hivyo kutupa dhamana ya kufanya na kusimamia shughuli mbali mbali katika taasisi zao.. kuwepo hapa JF na kuchangia maada pindi pale tunapoona mfumo unaenda ndivyo isivyo ni wajibu wetu kama watanzania ambao tumeelimika na kuhekimika..Pumzika salama tu ndugu yangu..usiku mwema..
 
Shukrani sana mkubwa..kama ulivyosema ndani ya JF hatuonani, ila michango yetu ni identity tosha..wapo humu humu..once again shukrani..
 
BM,

Unapokuwa na adaptive knowledge halafu uchumi unaruhusu ku-commission hayo ma-project hapo ndipo textbook knowledge na school project zinapopata opportunity ya kumchallenge kijana anayeingia katika workforce kufanya vizuri.

Sasa sisi uchumi wetu mdogo, hata hao graduates wanakaa mtaani miaka sita, by the time wakipata ajira hata hiyo knowledge ya ku cram nayo inakuwa ishaanza kutoweka.

Somehow it becomes a vicious cycle, uchumi mdogo partly kwa sababu hatuna wataalamu imaginative, na hatuna wataalamu imaginative kwa sababu uchumi mdogo.

To top it off wale wataalamu imaginative wachache (the Sarungi's Mwandosya etc) wanapelekwa kwenye administration badala ya kutia chachu vijana wengine.

Nadhani neno la msingi hapa ni imaginative! Kitu ambacho wasomi wetu wengi hawana. Uchumi mdogo si kisingizio. creativity yetu ndiyo utaoukuza.

Nitatoa mfano rahisi. Kuna wakina dada waligundua kuwa kuna wafanyakazi maofisini wanakufa na tai shingoni kwa sababu wanaona aibu kwenda kwa mama nitilie wakati uwezo wa kwenda kwenye restaurant za maana hawana. Wakina dada hawa wakaanza kuzungukia maofisini na kuchukua oda za chakula ambacho walikuwa wanawapelekea wateja wao kila mchana! Wote tunajua vijana wengi hata wakina Bin Maryam ambao uzalendo umewashinda wangependa kujijengea kibanda nyumbani ambacho kingewasitiri wazee wake wastaafu na yeye mwenyewe kumpatia heshima katika jamii. Ni makandarasi wangapi, wahandisi, ma'architects' waliolichangamkia soko hili la wakina Bin Maryam kwa zati? Hasa ukitambua kuwa kijana anabeba maboksi, majukumu kibao lakini anaweza kujipigapiga angalau! Waheshimiwa huku hawaoni wanashinda kugombea vitenda maana hivyo vina ulaji na status! Mimi naamini kama wakikata overheads, na kujikita katika kuangalia namna gani wanavyoweza kumpunguzia gharama Bin maryam bila kuathiri ubora na kuonyesha uaminifu wa hali ya juu, wasingekosa kazi. Tatizo letu hatutaki kuanza na baiskeli hata kama ni uwezo wetu, wote tunataka Hummer! Tutafika kweli kwa mwendo huo? Tunalaumu serikali kwa kutokuwapatia mikopo bila kujiuliza hiyo mikopo yote ya awali kama tumelipa!
 
Bado nitaendela kusema kwamba SYSTEM nzima ni bmovu na inahitaji changes...Tanzania bado tunamtumia Punda aliyechoka....Bila mabadiliko ya Uongozi namfumo mzima wa serikali ikiwa ni pamoja na katiba Tanzania haiwezi kubadilika hata kama kina Bin Maryam 10,000 watapelekwa TZ leo hii kwa sababu watakachokuta ni utaratibu unawalazimu kumwendesha Punda yule yule aliyechoka..sasa hata kama utakuwa na elimu ama maarifa ya aina yeyote huwezi kufanya kitu isipokuwa ku deal na Punda kwanza...
Ndio maana nasema hivi Tanzania NJAA sote tupo ktk mafungu mawili moja lipo la wale wanaokula kwa Uma, kisu na kijiko kutokana na elimu waliyopewa na mzungu lakini hawafahamu kwa nini mzungu alitumia vitu hivyo to begin with - MALIMBUKENI, wameshindwa kuitumia elimu yao ktk mazingara yetu.
Na kundi la Pili ndio kina sisi tulokaa janvini, chakula kipo ktk sinia moja, mpango ni mashindano ya shibe tu...
Mkusanyiko wa makundi haya hjauwezi kuwa na mwelekeo mzurti hata kidogo na ndio maana wenyewe waliokwisha fahamu haya husema TUTABANANA HUMU HUMU...hawafikirii changes zozote.
hadi leo miundombinu iliyojengwa toka wakati wa Nyerere kama sio mkoloni ndio inaendesha nchi (Punda aliyechoka) pamoja na ukweli kwamba kuna ongezeko kubwa sana la watu Tanzania.
 
BoT: We`ve no control over earnings by foreign firms

2008-05-09 09:20:15
By Patrick Kisembo

The central bank has said it has no control over the money foreign contractors generate in the country.

Bank of Tanzania Governor Prof. Benno Ndulu told a consultative meeting on Financial Management that it was difficult to control the income of foreign contractors as they won contracts as foreigners.

The meeting, organized by the Contractors Registration Board (CRB), was held in Dar es Salaam yesterday.
Prof. Ndulu said: If a company comes from Britain to work here at the end of the contract it will take back the money it has collected here, he said.

It is believed that foreign companies command more than 70 per cent of construction contracts in the country, a big chunk of whose earnings is remitted outside Tanzania.

Prof Ndulu said Tanzania would only manage to retain the remitted earnings when local contractors attain competence to compete equally with foreign firms.

Local contractors constitute about 97 per cent of all contractors in the country, although they garner only 30 per cent of the market share of the construction business.
The governor said the situation was disheartening for local contractors despite its importance and contribution to the national economy.

He cited lack of funding from financial institutions as one of the biggest challenges facing local contractors.
This is due to the fact that most of the local contractors are small with no tract record and lack collateral to enable them access loans from financial institutions, he said.

Prof. Ndulu said the BoT had taken measures directed at reducing interest rates which were still very high following financial institutions` use of treasury bills rates as a benchmark to set interest rates to bank customers.

The governor said contractors would now benefit following the government`s move to embark on second generation financial reforms including putting in place the Lease Finance Act that would also enable contractors to acquire equipment on lease basis for construction purposes.

He said the government had prepared a bill to amend laws that hinder the development of mortgage finance in the country.

We are currently administering, on behalf of the government, guarantee schemes which contractors can also utilize to access requisite financing from financial institutions, said Prof Ndulu.

CRB Registrar Boniface Muhegi admitted that foreign contractors benefited a lot owing to the fact that they were able to access finance, plant and machinery, as well as support, from their home countries or institutions.
Kuna kitu kimebadilika?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom