Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,747
- 14,649
Nop!! Bado tunapambana kutafuta wafadhili watakaoleta wawekezaji wageni wenye hela za kuwalipa wakandarasi wageni ili watusaidie kuchimba mitaro ya maji taka kwa mkopo tulioomba ugenini,hilo likifanikiwa tutapiga hatua kubwa,kwani mafundi wa kigeni watakuja na kutupa kazi ya kuchimba mitaro na kufukia mabomba,mungu atupe nini tena?Kuna kitu kimebadilika?