jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
ehe mambo magumu. kweli watanzania tu wajinga lakini nyie mnaosoma ulaya miaka nenda rudi bila kuhitimu ndio wajinga zaidi kwani hamna kitu mnachangia hapa zaidi ya kuleta usanii kwenye mambo mazito. Malizeni digirii zenu mrudi nyumbani kama kweli mnataka kuleta mabadiliko maana hii forum wengi wenu ni wazamiaji mko ulaya hata hamjui kinachoendelea bongo. Wengine mko miaka nane hata digrii ya kwanza hamjapata sijui mnategemeaje kuleta mabadiliko hapa bongo. Tunachoka na porojo zenu rudini nyumbani wana wapotevu nyie.
Kama kuna thread niliyoposti ambayo inakukuna then meza wembe stupid!
Niko tayari kupambana na panya kama nyie
Hapa hatishiwi mtu wala intimidation!
Sasa mbona unakurupuka kwa chuki zote hizi we unafikiri ni wote wanasomeshwa na mafisadi ama serikali!?
Kwi kwi kwi...Karibu JF were we fight MAFISADI!
Una akili nzuri!?
Tafuta pengine pa kuanzia maana hata Chenge mwenyewe kagonga mwamba!