Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

How can u fight mafisadi ukiwa mtoni? rudi rudi acha hasira za pweza. Kuosha masufuria sio profession maliza kusoma ili uje kwa pamoja tupambane na mafisadi lakini kwa sasa huna jipya siendi popote niko nyumbani hata kama ni maskini lakini sijakimbia matatizo ya nyumbani kama wewe., Kukimbia matatizo sio suluhisho la kudumu

Mimi nasoma na sioshi masufuria!

Nilifanya hivyo nilipokuwa London!

At least part time huku nikijisomesha! NAPAMBANA!

Lakini haina maana hata kama nina something then siwezi kuwafikiria wananchi!

I was born like that and whether i have money,good job or not i still sympathise with my fellow countrymen and women who die for hunger and starvation together with preventable diseases!

Sasa unataka kutugawa watanzania kwamba wengine wako Ulaya na wengine Tz?

Kama ulivyojaribu kwa wasukuma na wazaramo...Ulivyojaribu kwa watu wa Dar es Salam na wa Mara?

There's always something that will bring us together...And the issue is YOU and Ufisadi in general!

Kati ya hizi thread ni ipi imeku hudhi ili niitoe?

1)"Mafisadi wakamatwe-Wasiruhusiwe kuligawa Taifa"

2)Sheria ya kumkamata Balali hii hapa

3)CCM ifanyiwe marekebisho?

4)JK na AU vs Taifa

5)Countdown Kamati ya madini!

Hizo hapo juu nileleze ipi bana niiondoe tusije kutoana macho bure!
 
Heee tumeingiliwa!
Kama hatusaidii kitu mkuu, wewe unafuata nini hapa!.. site zote hizo duniani imekuwaje hata ufike hapa..
Kisha neno Wazamiaji ndugu yangu lina maana nzito sana, tafadhali fanya heshima kidogo!

Bob,

Hii ni the same character ambayo huwa inasumbua hapa JF, imepata nick name mpya leo na imeaanza mchezo wake kama kawaida! Fuatilia kidogo utajua ni nani.
 
Mimi nasoma na sioshi masufuria!

Nilfanya hivyo nilipokuwa London!

At least part time huku nikijisomesha! NAPAMBANA!

Lakini haina maana hata kama nina something then siwezi kuwafikiria wananchi!

I was born like that and whether i have money,good job or not i still sympathise with my feollow contrymen and women who die for hunger and starvation together with preventable disease!

Sasa unataka kutugawa watanzania kwamba wengine wako Ulaya na wengine Tz?

Kama ulivyojaribu kwa wasukuma na wazaramo...Ulivyojaribu kwa watu wa Dar es Salam na wa Mara?

There's always something that will bring us together...And the issue is YOU nad Ufisadi in general!

Kati ya hizi thread ni ipi imeku hudhi ili niitoe?

1)"Mafisadi wakamatwe-Wasiruhusiwe kukigawa Taifa"

2)Sheria ya kumkamata Balali hii hapa

3)CCM ifanyiwe marekebisho?

4)JK na AU vs Taifa

5)Countdown Kamati ya madini!

Hizo hapo juu nileleze ipi bana niiondoe tusije kutoana macho bure!

Mushi achana naye huyo...

Ni the same character inayosumbua wana JF hapa kwa mitusi na posts za ajabu.....
 
Na wewe lini umeacha ile kazi yako ya ........

vipi ndio mana nilisema hii forum ni wazamiaji ukajidai kupata kikohozi namshukuru aliyeweka bayana somo hili ni mwenzenu ambaye karudi baada ya maisha ya mtoni kumshinda angalau kakubali kuja kuitumikia nchi yake japo ni maskini nyie mnaambulia kungalia magorofa na magari mazuri tu hamna chochote bora maskini wa bongo maana ni mzalendo
 
"Umerudi" lini wewe toka "ulaya"?
 
Mbona ghafla umesahau kuwa kashafa zote zili EPa ,Buzwagi yaani zote alizotoa Dr Slaa Bungeni na akasema amezitoa kwenye mtandao.
Umejiuliza ilikuwaje?

Nimeshaona jamaa wengi wametoka soma nje na mashahada wamekuja hapa na kufisadiwa kishenzi kubali mwenzangu ni aidha hujapata nafasi hiyo ukaenda huko nje na wewe labda una kawivu kidigo

Mjumbe wa mafisadi huyu!

Tujaribu tu kumwelewesha kuwa sisi kuwa mamtoni haina maana hatujui wao ni wevi wa mali zetu!

Halafu sijui nani kamdanganya huyu kuwa hatutarudi!

We umesomeshwa na serilkali..Umeajiriwa na serikali...Bado unailetea muflisi nchi yetu huku ukitudharau wale tunaopambana na maisha kivyetu vyetu!

This time tunakuja kuwapigia kampeni wazalendo bila kujali kuwa tunaosha masufuria!
Tunakuja kuwapa tafu wazalendo ili kuweza kuwaondoa madarakani na mark my words!
 
Mushi achana naye huyo...

Ni the same character inayosumbua wana JF hapa kwa mitusi na posts za ajabu.....

na wewe ni mwosha masufuria pia? au ni mmoja wa waliozamia mtoni ambao mmesoma mika tisa bila kupata cheti? wanasema sema mwenyewe kama mganga wa kienyeji ehe leta story lini unarudi na wewe ili tusaidiane kupambana sio na ufisadi tu bali na hata jinsi maisha yalivyo kuwa magumu,
 
Kweli kama we ni Chenge basi inaelekea umeanza kuubadili moyo wako!
 
Mjumbe wa mafisadi huyu!

Tujaribu tu kumwelewesha kuwa sisi kuwa mamtoni haina maana hatujui wao ni wevi wa mali zetu!

Halafu sijui nani kamdanganya huyu kuwa hatutarudi!

We umesomeshwa na serilkali..Umeajiriwa na serikali...Bado unailetea muflisi nchi yetu huku ukitudharau wale tunaopambana na maisha kivyetu vyetu!

This time tunakuja kuwapigia kampeni wazalendo bila kujali kuwa tunaosha masufuria!
Tunakuja kuwapa tafu wazalendo ili kuweza kuwaondoa madarakani na mark my words!

Karibuni na mkija mtupe taarifa tuwapokee ili mtusaidie basi katika hili lakini mje na vyeti hicho ndio cha muhimu maana kama hmna vyeti hamtatusaidia inakuaje unasoma mika 10 huhitimu lazima uwe kihiyo bwana tafadhali
 
yaani jamaa anawabadilisha mada hivi hivi bila kushtuka ndugu zangu...?

Mada si inahusiana na ujinga na huyu bwana anasema kwasababu sisi tuko mamtoni basi sisi ni wajinga na kuwa tunaosha masufuria na wala sisi si wazalendo! sasa hapa tunajaribu kumwambia kuwa he's wrong!
 
No matter what you tell her, she will never understand!

Ana hasira sana kwa yaliyompata "akiwa ulaya" so she is bitter and angry. You time will be well served doing something else!
 
Anahitaji attention na ataikosa kama kawaida yake na atakuja na jina jingine muda si mrefu.... endelea na hoja za hii thread kwani anasubiri tu kufungiwa kama kawaida yake ili aanze rants!

nani huyo ndugu yangu umekosa hoja jibu sali ni kweli si kweli nyie mnasoma miaka nenda rudi hamhitimu sasa wajinga sisi watanzania tulioko bongo au nyie? leave that rat chenge out of tthis please na jibu swali. Kusoma kweli ulaya kusiwafanye mkabwatuka na kutuita sisi ambao tuna henya hapa tanzania kujaribu kuishi wajiga. halafu mnatuita wajinga, mkome kabisa na mrekebishe kauli zenu za dharau dhidi ya sisi tulioamua kubaki bongo.
 
Karibuni na mkija mtupe taarifa tuwapokee ili mtusaidie basi katika hili lakini mje na vyeti hicho ndio cha muhimu maana kama hmna vyeti hamtatusaidia inakuaje unasoma mika 10 huhitimu lazima uwe kihiyo bwana tafadhali
Hata kama nina cheti siwezi kukurupuka na kutangazia hapa JF!

Halafu ina maana ni lazima niwe na cheti kupiga kampeni?

Ama ni hofu ya kuondolewa madarakani na nyie mnafikiri sisi tunakuja kuwapindua? Hatuna haja ya kufanya hivyo! Wananchi washa amua ndugu!

Halafu hili tatizo la viongozi kuwaogopa watu wa mamtoni na kuanza kuwapaka matope si ni woga kwa kuwa wanajua sisi hatucheki na kima?
 
nani huyo ndugu yangu umekosa hoja jibu sali ni kweli si kweli nyie mnasoma miaka nenda rudi hamhitimu sasa wajinga sisi watanzania tulioko bongo au nyie? leave that rat chenge out of tthis please na jibu swali. Kusoma kweli ulaya kusiwafanye mkabwatuka na kutuita sisi ambao tuna henya hapa tanzania kujaribu kuishi wajiga. halafu mnatuita wajinga, mkome kabisa na mrekebishe kauli zenu za dharau dhidi ya sisi tulioamua kubaki bongo.

We ndiye yule waliye kudepot uingereza kwa kubaka na ukabila?
 
No matter what you tell her, she will never understand!

Ana hasira sana kwa yaliyompata "akiwa ulaya" so she is bitter and angry. You time will be well served doing something else!

Ohoo its her!

Ni yule mkabila mwenye kusemekana hawezi kurudi huku na ana hasira na baadhi ya watu?
 
No matter what you tell her, she will never understand!

Ana hasira sana kwa yaliyompata "akiwa ulaya" so she is bitter and angry. You time will be well served doing something else!

Hasira ipi kaka/dada yangu umekasirika poleni lakini lazima tuwaambie ukweli nyie ndio wajinga lakini pia ni wapumbavu maana mjinga unaweza kumwelimisha mpumbavu ni sawa kupiga gitaa kwa mbuzi.
 
Hata kama nina cheti siwezi kukurupuka na kutangazia hapa JF!

Halafu ina maana ni lazima niwe na cheti kupiga kampeni?

Ama ni hofu ya kuondolewa madarakani na nyie manafikiri sisi tunakuja kuwapindua? Hatuna haja ya kufanya hivyo! Wananchi washa amua ndugu!

Halafu hili tataizo la viongozi kuwaogopa watu wa mamtoni na kuanza kuwapaka matope si ni woha kwa kuwa wanajua sisi hatucheki na kima?

nimekwambia karibu kaka/dada yangu ukatusaidie sie wazalendo. Cheti muhimu ndugu yangu dunia ya leo sio cheti tu bali umepasije? utampindua nani kikwete? karibu 2010 basi ili tuone makali yako. Sawa wataamua walioko ndani sio nyie maana mkija mtakuwa wageni hivyo jaribuni kurudi mapema ili tuunganishe nguvu mkichelewa hii azma haiwezi kutimizika
 
Back
Top Bottom