Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

Nyani,

Angalia ndizi isikwame kooni kwa hasira:rolleyes:

Tulishapigwa Limbwata na Mkoloni kuwa sisi ni Uzao wa Kaanani, mtoto wa Ham ambaye alipewa laana ya milele na Babu yake Nuhu kuwa tutakuwa watumwa!

Tukaambiwa ni laana hizo ndio maana tuna nywele Kipilipili!

Loh! nimenyong'onyea...
 
lakini ujinga huondolewaje? Je twaweza kuuacha ujinga wetu na kuerevuka? Mbona wahindi nao walitawaliwa? mbona wajapani walitawaliwa? Ni kitu gani kiliwafanya wao waanze kujiamini kuwa wanaweza na wanastahili?

Hivi tukisema leo Tanzania inatoa msaada wa fedha kuisaidia Rwanda au Burundi je inaweza kuingia akilini? Hivi tukianzisha kitu kama Shirika la Kimataifa la Misaada la Tanzania is that extraordinary? Kwa mfano leo huko Burma kuna matatizo tukawatumia magunia ya mchele yenye chama "Gift from Tanzania" itatufanya tujisikie vipi?

Kwa mfano tukisikia Tanzania inataka kuanzisha space program tutashtuka au tujasikia vipi kwamba tunaweza au tutasema "you are kidding me?"

Hivi tukivunja mikataba yote mibovu na kusema we are going back to the negotiation table kama walivyofanya Venezuela hivi tutajisikia tumeweza au tutajiona duni?
 
Ujinga unaweza kuondolewa lakini mtu jinsi alivyo huwezi kumbadilisha hence Ndivyo Tulivyo! Hahahaha....let me stop before you all gang up and excoriate me...enjoy your weekend everyone..
 
Rev. Kishoka,
Hizi nukuu za dini mkuu ziache kama zilivyo pamoja na kwamba huo ndio uwanja wako..
Binafsi naamini kuwa sisi tulikuwepo hata kabla ya huyo Ham na wala hatuna uhusiano na kizazi kile..
Utumwa wetu ulitokana na soko la mazao, hivyo wakulima ilikuwa deal.. kabla ya hapo utumwa ktk Afrika haukuwepo hata kidogo na ndio maana hakuna historia ya Ujenzi wa kitu chochote..
Na hakuna Taifa ambalo halikupitia utumwa hata Waingereza wenyewe chini ya Utawala wa Mroma walpitia Utumwa na kutawaliwa, hivyo utumwa hauna mahusiano na Ujinga...
Nikirudi kwa Nyani Ngabu, nakubaliana naye kabisa kuwa UJINGA wetu ndio chimbuko la sifa zote hizi zinazotokana na Uzungu, kiasi kwamba hata uzungu wenyewe umetafrika kama ni lolote linalohusiana na tamaduni za Muingereza kwa wakristu na tamaduni za Wa Oman kwa wasilaam kiasi kwamba zile kanzu za Ki Oman zimekuwa vazi la kiislaam...Unaweza bishana na Muislaam kutwa kucha kuhusiana na vazi la Kanzu,..
pamoja na yote haya huu sio Ujinga isipokuwa UJinga unaanza pale tunapotukuza mila na Tamaduni hizi ambazo hazihusiani kabisa na Technologia wala mageuzi ya mazingira tunayoishi. Ni utamaduni unaotaka kubadilisha watu kuwa na unafuu fulani wa daraja kwani UAFRIKA umepewa kipimo cha chini ktk jamii zote za binadamu.. hakuna mtu anayependa kuwa ktk daraja hilo pamoja na kwamba rangi yetu inatuumbua hivyo kufafa kidogo na wale walio juu zaidi yetu ktk daraja ndio unakuta wasomi wetu wakijaribu kufanana na hao Wazungu ama Waarabu na wengine siku hizi wanachukua Uhindi (si unaona harusi zetu siku hizi) maadam wote hawa ni sifa tupu..
 
Mkandara,

Babu yangu alikuwepo wakati Jarumani anaingia Tanganyika. Huo mfano wa "inferiority" complex wa kuwa sisi ni uzao wa kulaaniwa, ulitumiwa na Mmishenari ili kuleta mazingira bora kwa ukoloni.

Nakumbuka hata nilipokuwa mafundisho, mchungaji tulimuuliza kwa nini sisi tuko tofauti na Wazungu, Waarabu, Waasia au Latino, naye alileta hadithi hiyo hiyo ya laana ya Nuhu!

Si nia yangu kuleta udini, bali ni kuonyesha ni jinsi gani mbegu chafu ilipandikizwa mawazoni mwetu na chimbuko la huu "unyenyekevu" kwa Wazungu.

Lakini sasa tunajua ukweli, basi katika safari hii ya kujinasua kutoka unyonge, tusisahau chimbuko la pandikizo la mbegu ya dhana hii ya unyonge.
 
lakini ujinga huondolewaje? Je twaweza kuuacha ujinga wetu na kuerevuka? Mbona wahindi nao walitawaliwa? mbona wajapani walitawaliwa? Ni kitu gani kiliwafanya wao waanze kujiamini kuwa wanaweza na wanastahili?

Hivi tukisema leo Tanzania inatoa msaada wa fedha kuisaidia Rwanda au Burundi je inaweza kuingia akilini? Hivi tukianzisha kitu kama Shirika la Kimataifa la Misaada la Tanzania is that extraordinary? Kwa mfano leo huko Burma kuna matatizo tukawatumia magunia ya mchele yenye chama "Gift from Tanzania" itatufanya tujisikie vipi?

Kwa mfano tukisikia Tanzania inataka kuanzisha space program tutashtuka au tujasikia vipi kwamba tunaweza au tutasema "you are kidding me?"

Hivi tukivunja mikataba yote mibovu na kusema we are going back to the negotiation table kama walivyofanya Venezuela hivi tutajisikia tumeweza au tutajiona duni?

Tatizo la mada yako Mkuu ni kutuhukumu wote kutokana na matatizo ya wachache. Kwa jinsi mlivyofafanua kuhusu maana ya ujinga basi WOTE sisi ni wajinga maana hamna mtu anayejua kila kitu! Kila jamii na kila mtu ana sehemu ambako ni mnyonge. Genius ya mtu mweupe ni pale alipochukua sehemu ambayo jamii ya mtu mweusi ni nyonge na kuitumia kui'dehumanise'. Hakuna jamii hapa duniani (si wahindi, si wachina, si wajapani)ambayo systematically iliondolewa utu wake kama walivyofanywa watu weusi. Na sababu kubwa ilikuwa ni kuhalalisha biashara ya utumwa maana usingeweza kumtendea uovu huo kiumbe unachokihesabu kuwa ni binadamu sawa na wewe. Utumwa ingawa ulikuweko katika jamii zote, ni katika jamii ya watu weupe pekee yake ndiko mtu mweusi aligeuzwa kuwa commodity! Sehemu nyingine na hata kwa wazungu kabla ya biashara hii kushamiri huko marekani, mtumwa alikuwa na haki zake na iliwezekana kabisa kupanda na hata kuoa katika jamii iliyomtumisha! Poet mkubwa kwa warusi, Pushkin,alikuwa na damu ya mtu mweusi. Si hivi huko marekani. Huko ilichukuliwa kuwa weusi ni laana na yeyote mwenye damu hiyo alikuwa amelaaniwa. Wengi tunajua sheria ya "One drop rule!" Msimamo huu ulikuja kukubalika na wale waliokuja Afrika kututawala. Huko Botswana na Afrika Kusini wa'San' walikuwa wakiwindwa kama wanyama pori. Waherero wa Namibia nao waliuawa kikatili walipopinga utawala wa wajerumani. Mfalme Leopold alifanya mengi huko Kongo. Na kadhalika na kadhalika. Naamini hata sisi tukirudia na kuangalia vizuri vita vya Maji Maji na Mkwawa bila shaka tutakuta matendo maovu mengi yaliyotendwa ili kutuondolea utu wetu.

Matokeo ya haya yote ni kuondoa kabisa ile hali ya kujiamini na kukubali kuwa kweli sisi tumelaaniwa. Uendelevu wa dhana hii ni huku kujihukumu wote katika jamii kwa matendo ya wachache. Wamarekani mara mbili wamemchagua juha kuwa raisi wao lakini hakuna anayesema kuwa wamarekani ni wajinga. Hivi karibuni muAustria amegundulika kuwa alimficha binti yake kwenye jandaki kwa miaka 24 na kuzaa nae lakini anahukumiwa yeye na sio waAustria wote. Huko Ireland, Spain pamekuwa na mapigano baina yao wenyewe lakini hakuna mtu anayezungumzia white on white violence. Wote tumeshuhudia yaliyofanyika katika nchi iliyokuwa Yugoslavia lakini hakuna aliyewahukumu wazungu kwa ajili ya hilo. Kila siku wanakamatwa wazungu wanaokula rushwa lakini bado rushwa inaonekana ni ugonjwa wa mtu mweusi peke yake! Idadi kubwa ya pedofiles wanaokamatwa huko ulaya na marekani ni watu weupe lakini hakuna mtu atakayeweza kuwahukumu weupe kuwa wote ni pedofiles! listi inaendelea. Ni kwa sababu hii, mada yako ni hatari. Ni hatari kwa sababu katika miaka hii tunayaoishi juhudi kubwa inafanyika kuhalalisha hicho unachokizungumzia. Kuanzia wakina Profesa Richard J Herrnstein na Charles Murray kwenye kitabu chao "The Bell Curve; Dinesh D'Souza na kitabu chake "The End of Racism"; matamshi ya hivi karibuni ya muasisi wa Gene Dr watson na kuendelea. Hawa wote wamejaribu kutumia sayansi kuthibitisha kile ambacho mababu zao walitumia ili kutufanya watumwa, kuwa mtu mweusi kiasili ni punguani na anahitaji kulelewa kama mtoto mdogo! Na wanatuhukumu kwa kutumia vigezo ambavyo wao wametuwekea, I.Q, ushindi wa Nobel Prize, uwezo wa Rocket Science, GNP ndogo n.k. Mimi naamini hatuna haja ya kuingia katika huo mtego. Kwanza tuanze kwa kujivunia kilichochetu bila kujali kuwa dunia ya wenzetu inasemaje.Inabidi tuanze kwa kupambana na miaka 400 ya sumu tuliyojazwa vichwani mwetu. Mengine yatafuata baadaye. Kwa hiyo, Mkuu, sisi si wajinga (100%) bali kama jamii yeyote tuna wajinga miongoni mwetu na kuna mambo ambayo hatuyaelewi. Leo hii Marekani wanamlaumu Mtu mweusi anayegombea uraisi kuwa ni elitist, msomi na hawezi kuelewa shida za watu weupe wengi ambao hawajasoma! we have come a long way!

Amandla!
 
Ujinga unaweza kuondolewa lakini mtu jinsi alivyo huwezi kumbadilisha hence Ndivyo Tulivyo! Hahahaha....let me stop before you all gang up and excoriate me...enjoy your weekend everyone..
.....NN, ingelitokea kuwa umekaa karibu nami halafu ukawa umetamka maneno kama hayo juu, na katika mazingira ya ajabu ajabu nami nikajikuta nimeshika baseball bat mkononi.... hakika ningeitumia.... the thick end of it could have landed on you at the highest velocity possible!!!!!!

.....NN, but why why why you tryna indoctrinate us with this self-hatin' sh...t?! dawg, you oughtta bring it to a halt....... pliiiiiiiiiz!

nuff' respect
 
lakini ujinga huondolewaje? Je twaweza kuuacha ujinga wetu na kuerevuka? Mbona wahindi nao walitawaliwa? mbona wajapani walitawaliwa? Ni kitu gani kiliwafanya wao waanze kujiamini kuwa wanaweza na wanastahili?

Hivi tukisema leo Tanzania inatoa msaada wa fedha kuisaidia Rwanda au Burundi je inaweza kuingia akilini? Hivi tukianzisha kitu kama Shirika la Kimataifa la Misaada la Tanzania is that extraordinary? Kwa mfano leo huko Burma kuna matatizo tukawatumia magunia ya mchele yenye chama "Gift from Tanzania" itatufanya tujisikie vipi?

Kwa mfano tukisikia Tanzania inataka kuanzisha space program tutashtuka au tujasikia vipi kwamba tunaweza au tutasema "you are kidding me?"

Hivi tukivunja mikataba yote mibovu na kusema we are going back to the negotiation table kama walivyofanya Venezuela hivi tutajisikia tumeweza au tutajiona duni?
Mkjj, hapa naona umetoa majibu yote ambayo huyafikiria mimi kuhusiana na kujikomboa kwa mwafrika.... nitayaendeleza baadae, au kwenye thread nyingine...

Shukrani,

SteveD
 
FM... mada hii lengo lake ni kuweza kuwafikia watu wafikie kuwaza unavyosema; kuweza kuona kuwa si "wote wajinga" na kuweza kuwakatalia wajinga uongozi na kuhakikisha walio tayari kufundishika wanafundishika.

Naona nitegue hili ili isijekueleweka natukuza ujinga au nautolea udhuru.
 
.....NN, ingelitokea kuwa umekaa karibu nami halafu ukawa umetamka maneno kama hayo juu, na katika mazingira ya ajabu ajabu nami nikajikuta nimeshika baseball bat mkononi.... hakika ningeitumia.... the thick end of it could have landed on you at the highest velocity possible!!!!!!

.....NN, but why why why you tryna indoctrinate us with this self-hatin' sh...t?! dawg, you oughtta bring it to a halt....... pliiiiiiiiiz!

nuff' respect

SteveD niko nyuma yako.

'Ndivyo tulivyo' ni usaliti wa Utashi wa Mwafrika.
 
Rev.Kishoka,
Nakubali sana kuwa wakoloni walitumia hila kutuweka chini wapate kutawala lakini sidhani kama moja wapo ni pamoja na kutufundisha Ujinga..isipokuwa walitunyima nafasi sawa ktk kila kitu cha kujiendeleza ikiwa ni pamoja na Umoja wetu.
Ujinga ni kutokuwa na Elimu na mkoloni katukuta tukiwa wajinga na katuacha wajinga... moja ya imani za kijinga ni hizo za kuutukuza Uzungu ambazo zilikuwepo hata kabla Mjarumani hajaweka mguu Afrika. Hizi imani za kulaumu Biblia ama Kuran penye tafsiri chafu ni mafundisho yetu sisi wenyewe, tumefundishana sisi kuwatukuza wazungu.
Nina imani kubwa kwamba haya mafundisho tumeyatunga sisi iwe ni sababu kubwa ya kuleta mapinduzi ya kifikra ama Unafiki wa baadhi makolokoloni wa wazungu kwa sababu dini zote hizi zilitufundisha UPENDO... na ni katika mafundisho hayo ya Upendo ndipo sisi tuliposhusha ngao zetu kuwapa mwanya wakatumia UPENDO huo huo kuboresha azma zao za kutawala..
Hawa hawana tofauti na viongozi wetu leo hii ambao wanatumia sheria, maazimio na sera za vitabu vyetu kupora mali zetu za taifa lakini hata siku moja hawawezi kufundisha kitu kutujaza ujinga...kwa sababu elimu yoyote inayotolewa mara nyingi humwamsha mjinga akili yake na akaanza kuitumia akili yake...
Ni katika mafundisho hayo hayo ya Biblia na Kuran yaliweza kuwaamsha viongozi wengi Machief wetu enzi hizo kukataa kutawaliwa. As a fact vitabu hivi vinajenga zaidi self esteem kutokubali kutawaliwa hata kama wewe ni mtumwa..Ni vitabu kama hivi vilivyoanzisha vita toka enzi za Nabi iDaud hadi kina Kinjeketile - Majimaji kina Kenyatta na Maumau na hata Ghandi wakitumia quotes za vitabu hivi..
Kwa mfano siku zote tulikuwa ktk ujinga wa kuamini viongozi wetu ni makini na hakuna somo la siasa ambalo limepokewa kuwaweka wao mbele yetu zaidi ya unyenyekevu wao kwetu. Ni katika hali hiyo waliweza kuvuta Upendo wa wananchi na kupewa nafasi ambazo wao wamezitumia kutimiza azma (ambition) zao..hawakutujaza Ujinga isipokuwa ujinga tayari tulikuwa nao kabla hawajaingia madarakani. Wanayafanya yote haya wakifahamu sisi ni Wadanganyika, wajinga kina Ndivyo tulivyo hali ktk Ujinga huo huo wao pia wamo kwa sababu walikuwa ktk kundi la wajinga na ni reflection yetu sote. Hivyo basi wajinga ni pamoja na wao wanapotumia nafasi kama hizi za Uongozi kutawala badala ya kuboresha maisha ya kizazi chao..Kesho Tanzania itabaki maskini na kizazi chake kitaendelea kuishi ktk mazingira duni..
Kama nilivyosema Ujinga ni pale mtu hajui na akafikiria kuwa anajua...Ukisha jifahamu kwamba hujui na kweli hujui kitu basi hiyo ni hatua ya kwanza ya kuondokana na Ujinga..
 
Bob,

Nakubaliana na wewe swadakta!

La mwisho, matumaini yangu ya viongozi wetu na jamii yetu kuwa jasiri ni mithili ya Shaka Zulu alipoonyeshwa Biblia na Mzungu na picha ya Yesu msalabani, akahoji ni vipi mfalme atundikwe msalabani kama mhalifu, wazungu wakasema kuwa Yesu ni mfalme mkuu na mkubwa kuliko George,na hivyo Shaka anyenyekee mamlaka aliyopewa George. Shaka akakataa akasema hawezi kuwa dhaifu na kumnyenyekea King George, kwa kuwa Mfalme wake King George ni dhaifu katundikwa Msalabani!

Nasi tuna nafasi nyakati hizi kurudi kwa mababu na baba zetu na kuwaambia, kama kweli Mungu ambaye tunahubiriwa ana Upendo, itakuwaje tukubali kudhulumiwa? maana hata maadniko yanapiga vita udhaifu wa fikra na mawazo.

Tuwaambie wenzetu, kuwa mfano wa Yesu kuwa ni rahisi kwa masikini kuingia mbinguni na tajiri ni vigumu kama Ngamia kupita kwenye tundu la sindano, hakumaanishi tukatae maendeleo na maisha bora kwa kuhofia kukosa kukaa jirani ya kiti cha enzi!
 
Rev. Kishoka,
Hizi nukuu za dini mkuu ziache kama zilivyo pamoja na kwamba huo ndio uwanja wako..
Binafsi naamini kuwa sisi tulikuwepo hata kabla ya huyo Ham na wala hatuna uhusiano na kizazi kile..
Utumwa wetu ulitokana na soko la mazao, hivyo wakulima ilikuwa deal.. kabla ya hapo utumwa ktk Afrika haukuwepo hata kidogo na ndio maana hakuna historia ya Ujenzi wa kitu chochote..
Na hakuna Taifa ambalo halikupitia utumwa hata Waingereza wenyewe chini ya Utawala wa Mroma walpitia Utumwa na kutawaliwa, hivyo utumwa hauna mahusiano na Ujinga...
Nikirudi kwa Nyani Ngabu, nakubaliana naye kabisa kuwa UJINGA wetu ndio chimbuko la sifa zote hizi zinazotokana na Uzungu, kiasi kwamba hata uzungu wenyewe umetafrika kama ni lolote linalohusiana na tamaduni za Muingereza kwa wakristu na tamaduni za Wa Oman kwa wasilaam kiasi kwamba zile kanzu za Ki Oman zimekuwa vazi la kiislaam...Unaweza bishana na Muislaam kutwa kucha kuhusiana na vazi la Kanzu,..
pamoja na yote haya huu sio Ujinga isipokuwa UJinga unaanza pale tunapotukuza mila na Tamaduni hizi ambazo hazihusiani kabisa na Technologia wala mageuzi ya mazingira tunayoishi. Ni utamaduni unaotaka kubadilisha watu kuwa na unafuu fulani wa daraja kwani UAFRIKA umepewa kipimo cha chini ktk jamii zote za binadamu.. hakuna mtu anayependa kuwa ktk daraja hilo pamoja na kwamba rangi yetu inatuumbua hivyo kufafa kidogo na wale walio juu zaidi yetu ktk daraja ndio unakuta wasomi wetu wakijaribu kufanana na hao Wazungu ama Waarabu na wengine siku hizi wanachukua Uhindi (si unaona harusi zetu siku hizi) maadam wote hawa ni sifa tupu..

Phew! Now this is deep philosophy Mkandara!

Hapa umechambua na kuondoa mizizi yote! Hakuna la kuongeza hapa!
 
Kamusi mmetunga zenu wenyewe? Ukinagalia Kamusi ya Kiswahili iliyo mtandaoni:

http://africanlanguages.com/swahili/ wanasema hivi: Ujinga (noun) is ignorance, stupidity. -jinga (adjective) is silly, stupid, senseless.

Kwa vyovyote vile kusema ujinga ni ignorance pekee ni kuficha sehemu ya maana ya hilo neno.

Sasa mnataka kuniambia Maenjinia na Wakurugenzi wetu wa Wizara ya Ujenzi wanatoa tenda kwa Makandarasi wa nje kwa sababu ya ignorance? Ignorance ya uenjinia, ya uchumi au ya kitu gani?

Kama nilivyoainisha, ikijitokeza nchi ikakutengea fedha za kujenga barabara, na tukakubali wajenge makandarasi wao, hakuna ujinga hapo. Ujinga ni kutaka mtu akupe barabara na fedha zilizotumika kuijenga vile vile.

Bado nasema si vema kushabikia posting urahisi hivyo.

Augustine Moshi
 
Mambo ya Tz ukuyasikia unawez kukosa usingizi yanaudhi sana, kama kweli tuna mwaziri wasomi wanaweka wapi usomi wao kwenye kusaini mikataba?? Can't they read and tell this is fishy?? au ndio wanakatiwa % ili waiue nchi? kwakweli inauma sana ndio maana wakatia mwingine watu wanafumba macho na kuziba masikio na kuisahau Tz sio kwa kupenda, its too painfull to bear what our country is going through, kwa manufaa ya majasusi wachache!!Inauma sana...

Hand greasing.Wao huwa hata hawasomi mikataba,bali wanauliza umeandaa vijisenti kiasi gani wakiridhika wanasaini kwenye dotted line.
 
Augustine Moshi,
Samahani mkuu lakini mimi binafsi pamoja na ujinga wangu huwa sikubali tafsiri za kiingereza ktk maneno mengi ya kiswahili kwa sababu yanapotosha ile mantiki haswa.. vile vile tafsiri nyingi za kiswahili ktk maneno ya kiingereza hupindishwa sana na ndio maana naogopa sana watu wanaojaribu kutumia lugha za kigeni ktk maswala ya jamii hii.

Ujinga ni kutokufahamu, kutokuwa na Elimu na labda kwa kiingereza naweza kusema ni Lack of acquaintance with the fundamentals - Knowledge...Sasa hili neno Knowlegde lina upana usioweza kupimika...
Siwezi kusema ni Illeterate pamoja na kwamba Ujinga hufutwa pale mtu anapopata elimu..lakini hayo maneno mazito yaliyotumiwa na hiyo kamusi yananipa mashaka makubwa hata tunapofikiria njia za kuondoa Ujinga kwa sababu watu ambao ni Ignorant, stupid, senseless na mengineyo yaliyosemwa hapo juu, sii rahisi kuwapa Dawaa -Elimu wakaondokana na sifa mbaya hizo.
Ndio maana nasisitiza kuwa Ujinga sio tusi ni kutokufahamu kama vile Biblia inavyosisitiza - Wajinga waingie..Ni tafsiri kama hizi zimewafanya baadhi ya waislaam kuikashifu dini ya Kikristu kuwa ni dini ya Wajinga (ignorant, senseless na kadhalika) hali maana halisi ya AYA hiyo ni kwamba sisi wote binadamu ni Wajinga tusiokuwa na elimu ya Utawala wa Mnyaazi Mungu, hivyo kwa kusoma Biblia utapata ufunuo wa kuondoa Ujinga huo...

Hivyo basi, sio kwamba napingana na hawa wataalam wa lugha isipokuwa nadhani hili neno wamelipa uzito mkubwa kiasi kwamba inaonyesha Ujinga ni maradhi yasiyokuwa na tiba kama HIV vile wakati binafsi navyoelewa Ujinga ni ugonjwa kama Malaria wenye kinga, tiba na unahitaji utayarishaji wa mazingira bora kwa kizazi kijacho kutokuwa na maradhi haya...
Tunaweza kabisa kuondoa UJINGA!.. yaani ile Illiterate Population...lakini hayo yaliyotafsiriwa, mhhhh kazi kubwa.. sidhani.
 
hamuwezi kuamini lakini huo ndiyo ukweli, yafuatayo ni mambo yaliyowekwa na wakuu kuhakikisha kuwa local contractors hawawezi kufurukuta
1.0, kila tender inayotangazwa hapa nchini kuna sharti la kuwa na bid security in form of unconditional bank guarantee, yaani kama una-tender kazi ya 100m, lazima uwe na angalau cash bank 10m, ukipata kazi wANAKUDAI UNCONDITONAL BANK GUARANTEE YA 20%, NA ILI UPATE ADVANCE LAZIMA UWE NA GUARANTEE KAMA HIYO, KWA MAHESABU YA HARAKA HARAKA LAZIMA UWE NA KAMA 45M BANK. sharti hili liliwekwa na wenzetu walioko maofisini kuwabaeba wahindi kwa kuwa wao wanapata guarantee kwenye benki zao kama vile savings&finance hata kama hawana shilingi kule ndani, wachina nao wanakuja na za kwao toka chinatoka kwenye mabenki yao hata kama ni feki hakuna anayejua!
pamoja na tanroads kukakomalia kuwa badala ya hizo guarantee kampuni za ki-local zitoe kitu kinaitwa tender securing declaration, bado mashirika kama PPF, NSSF, lapf etc, yamekomalia sysytem ya bank guarantee, kazi zote za majengo ambazo ndizo zenye peasa na zinaweza kufanywa na wazalendo wahandisi waliosoma pale UDSM, au ardhi university zinafanywa na wahindi kupitia benki zao uchwara. asilimia 90% ya contrators class one wahindi waliobebwa na mfumo huu uchwara list ni kama masasi construction, bh ladwa, gk patel,nk, hawa ndo wanafanya majengo yote nchi nzima, hawana cha maana zaiidi ya kubebwa na kamfumo walikojitengenezea wenyewe
 
Mwalimu Augustine; nimetumia neno ujinga in a very narrow and focused meaning; ujinga ninao uzungumzia mimi ni ule ambao kwa kiingereza unatafsirika kama "ignorance" siyo stupidity au kitu kingine chochote. Katika mawazo yangu ninachukulia ignorance as a philosophical and epistemological term. Na hapa ninapata msaada mkubwa katika maana ya neno hilo "ignorance" kutoka katika Catholic Encyclopedia ambayo inatafsiri "ujinga" kama ifuatavyo:

(Latin in, not, and gnarus, knowing)

Ignorance is lack of knowledge about a thing in a being capable of knowing. Fundamentally speaking and with regard to a given object ignorance is the outcome of the limitations of our intellect or of the obscurity of the matter itself. In this article it is the ethical aspect and consequences of ignorance that are directly under consideration. From this point of view, since only voluntary and free acts are imputable, ignorance which either destroys or lessens the first-named characteristic is a factor to be reckoned with. It is customary then to narrow somewhat the definition already given of it. It will, therefore, be taken to mean the absence of information which one is required to have. The mere want of knowledge without connoting any requirement on the part of a person to possess it may be called nescience.

So far as fixing human responsibility, the most important division of ignorance is that designated by the terms invincible and vincible. Ignorance is said to be invincible when a person is unable to rid himself of it notwithstanding the employment of moral diligence, that is, such as under the circumstances is, morally speaking, possible and obligatory. This manifestly includes the states of inadvertence, forgetfulness, etc. Such ignorance is obviously involuntary and therefore not imputable. On the other hand, ignorance is termed vincible if it can be dispelled by the use of "moral diligence". This certainly does not mean all possible effort; otherwise, as Ballerini naively says, we should have to have recourse to the pope in every instance. We may say, however, that the diligence requisite must be commensurate with the importance of the affair in hand, and with the capacity of the agent, in a word such as a really sensible and prudent person would use under the circumstances. Furthermore, it must be remembered that the obligation mentioned above is to be interpreted strictly and exclusively as the duty incumbent on a man to do something, the precise object of which is the acquisition of the needed knowledge. In other words the mere fact that one is bound by some extrinsic title to do something the performance of which would have actually, though notnecessarily, given the required information, is negligible. When ignorance is deliberately aimed at and fostered, it is said to be affected, not because it is pretended, but rather because it is sought for by the agent so that he may not have torelinquish his purpose. Ignorance which practically no effort is made to dispel is termed crass or supine.

The area covered by human ignorance is clearly a vast one. For our purposes, however, three divisions may be noted.

* Ignorance of law, when one is unaware of the existence of the law itself, or at least that a particular case is comprised under its provisions.
* Ignorance of the fact, when not the relation of something to the law but the thing itself or some circumstance is unknown.
* Ignorance of penalty, when a person is not cognizant that a sanction has been attached to a particular crime. This is especially to be considered when there is question of more serious punishment.

We must also note that ignorance may precede, accompany, or follow an act of our will. It is therefore said to be antecedent, concomitant, or consequent. Antecedent ignorance is in no sense voluntary, neither is the act resulting from it; it precedes any voluntary failure to inquire. Consequent ignorance, on the other hand, is so called because it is the result of a perverse frame of mind choosing, either directly or indirectly, to be ignorant. Concomitant ignorance is concerned with the will to act in a given contingency; it implies that the real character of what is done is unknown to the agent, but his attitude is such that, were he acquainted with the actual state of things, he would go on just the same. Keeping these distinctions in mind we are in a position to lay down certain statements of doctrine.

Invincible ignorance, whether of the law or of the fact, is always a valid excuse and excludes sin. The evident reason is that neither this state nor the act resulting therefrom is voluntary. It is undeniable that a man cannot be invincibly ignorant of the natural law, so far as its first principles are concerned, and the inferences easily drawn therefrom. This, however, according to the teaching of St. Thomas, is not true of those remoter conclusions, which are deducible only by a process of laborious and sometimes intricate reasoning. Of these a person may be invincibly ignorant. Even when the invincible ignorance is concomitant, it prevents the act which it accompanies from being regarded as sinful. The perverse temper of soul, which in this case is supposed, retains, of course, such malice as it had. Vincible ignorance, being in some way voluntary, does not permit a man to escape responsibility for the moral deformity of his deeds; he is held to be guilty and in general the more guilty in proportion as his ignorance is more voluntary. Hence, the essential thing to remember is that the guilt of an act performed or omitted in vincible ignorance is not to be measured by the intrinsic malice of the thing done or omitted so much as by the degree of negligence discernible in the act.

It must not be forgotten that, although vincible ignorance leaves the culpability of a person intact, still it does make the act less voluntary than if it were done with full knowledge. This holds good except perhaps with regard to the sort of ignorance termed affected. Here theologians are not agreed as to whether it increases or diminishes a man's moral liability. The solution is possibly to be had from a consideration of the motive which influences one in choosing purposely to beignorant. For instance, a man who would refuse to learn the doctrines of the Church from a fear that he would thus find himself compelled to embrace them would certainly be in a bad plight. Still he would be less guilty than the man whose neglect to know the teachings of the Church was inspired by sheer scorn of her authority. Invincible ignorance, whether of the law or fact, exempts one from the penalty which may have been provided by positive legislation. Even vincible ignorance, either of the law or fact, which is not crass, excuses one from the punishment. Mere lack of knowledge of the sanction does not free one from the penalty except in cases of censures. It is true then that any sort of ignorance which is not itself grievously sinful excuses, because for the incurring of censures contumacy is required. Vincible and consequent ignorance about the duties of our state of life or the truths of faith necessary for salvation is, of course, sinful. Ignorance of the nature or effects of an act does not make it invalid if everything else requisite for its validity be present. For instance, one who knows nothing of the efficacy of baptism validly baptizes, provided that he employs the matter and form and has the intention of doing what the Church does.

Kwa kifupi:

Ujinga unahusiana moja kwa moja na kujua.
 
Mwakjj:

Tuachane na hoja ya ujinga na turudi kwenye kile ulichotaka kusema.

Nadhani ulitaka kusema kuwa tukiweza kutumia ma-contractor wetu basi pesa itabaki Tanzania na pesa hiyo itatumika katika miradi mingine na kuifanya nchi iendelee mbele.

Kuna ukweli wa kile unachosema lakini vilevile kuna reality ya kile unachosema. Miradi mingi mikubwa bado makampuni yetu binafsi hayajaweza kuchukua. Na yanaweza kufikia huko sio kwa kuyapendelea tu makampuni ya wazawa.

Katika kipindi cha miaka 10 ijayo tunaweza kufika huko iwapo watoaji wa contracts hizo: serikali kuu na zile za mitaa zitakuwa transparent.

Nilikuwepo Tanzania na halmashauri nyingi zimetoa contracts kwa wazawa lakini kazi zinazofanyika ni uzushi mtupu. Ujenzi wa barabara unachukuliwa kama ni zoezi la kumwaga vifusi vya kokoto tu. Na mvua ikipiga barabara zote mbovu.

Na hii inatokana na kuwa wanaochukua tenda wanazipata kwa kupitia kujuana na hawana mitaji au ujuzi wa kufanya kazi hizo. Kwa kufanya hivi pekee yake tunapunguzia watu wenye vipaji na uwezo wa kufanya kazi hizi kuendelea.

Hakuna mhisani kutoka nje atakayetoa tenda kwa kampuni ya kitanzania isiyo na historia yoyote.
 
Back
Top Bottom