JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
Chuji ambaye alikuwa akiichezea Yanga baada ya usajili wake kutoka Simba kuwa na vuta nikuvute, aliwaonesha kidole cha kati mashabiki waliokuwa wakimzomea kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, tukio ambalo lilisababisha akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), japo sikumbuki adhabu yake ilikuwaje.
Sasa kwa tukio hilo la Diarra sijui itakuwaje.