Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

Huyo Nchimbi si yuko kwenye dili ka Kibanda, hata hilo la Arusha nani atamuamini msanii kama huyo?
 
Nchimbi huyu huyu aliyesema ni bora mchawi kuliko muongo. Maneno yamemrudia yeye mwenyewe heri mchawi kuliko nchimbi
 
Mnatakiwa kufahamu kuwa sio kila anaeshukiwa au kukamatwa ni mualifu, polisi inakamata inahoji ikiridhika na maelezo yako unaachiwa.. sasa mnataka kama wamekamatwa watu kumi basi ndio hao waliolipua bomu?
Hata nyie na lema wenu tunaweza kuja kuwadabua na kuwapoteza ndani kwa muda tukiridhika na maelezo tunakuachia.

Hapa hapa udini tena? Ilunga bwana, kaharibu wengi.
 
Huyo jamaa alishaitwa dokta hata kabla hajapata huo udokta,sasa unategemena nini hapo,kazi mdundo mdundo,kwani hii si ndo bongoland bwana,na sisi si ndo watanzania bwana,sasa cha ajabu hapo tena ni nini?
 
Tanzania hatuna viongozi wengi wapo kwa ajili ya matumbo yao sasa tusitegemee Nchimbi awatete wananchi, Watanzani hivi ni kwanini kengele hazigongi vichwani mwenu?
 
Jamani wale wafuga ndevu na wavaa suruali fupi,wavaa kanzu na bakarashia kaeni chonjo maana intelijensia yao imekalia huko,Mungu atunusuru na balaa hili maana tulizoea kuyaona haya mambo toka nchi nyingine leo yamefika kwetu.

aloo kweli ngoja nimwambie imamu atangazie waumini kwenye hii swala ya adhuhuri. Ingekua amerika huyu mjinga alorusha bomu angeshapatikana
 
Kwan wazir ndo anaekamata hao watuhumiwa? Si anapewa taarifa tu yeye ana deliver?...lawama apewe anaempa hizo information! That means polis ndo mambulula plus intelijensia
Ndugu kuwa makini unapochangia mada, hivi jana alipewa taarifa waliokamatwa ni 6 na leo kapewa taarifa waliokamatwa ni 3 hivi unakuwaje kiongozi makini bila kutafakari kwa kina taarifa unazopokea na ndo uzitoe kwa jamii? tunaendelea kusema waziri kachemka na hana uwezo na ndo maana anachanganya mambo kama hayo, kumbuka katika sakata la kumtetea Kinana alikuja na mambo ya mwaka 1996 wakati tuhuma zilizokuwa zikimuandama Kinana ni za mwaka 2012 ambapo ndo zile yale meno yalikamatwa kule Hongkong kwa kusafirishwa na Meri zake.
 
Mnatakiwa kufahamu kuwa sio kila anaeshukiwa au kukamatwa ni mualifu, polisi inakamata inahoji ikiridhika na maelezo yako unaachiwa.. sasa mnataka kama wamekamatwa watu kumi basi ndio hao waliolipua bomu?
Hata nyie na lema wenu tunaweza kuja kuwadabua na kuwapoteza ndani kwa muda tukiridhika na maelezo tunakuachia.


Hivi umeelwa hoja? au umejaribu kufanya ulinganifu na ulichokiandika?
Kali ya awali inasema tumeshakama watu sita kuhusiana na tukio.
Kauli ya pili inasema tumeshakama watu watatu kuhusiana na tukio.
Hizi ni kauli mbili tofauti na kila moja ni matokeo ya mambo mawili tofauti.
Mchango wako ungleta maana kama kauli ya awali ingekuwa "Tumeshakamata watu sita" halafu kauli ya pili ingekuwa"...Sasa hivi tunawashikilia watu watatu baada ya mahojiano" hivyo sis tungefanya hesabu ya 6-3 = 3.

Lakini kwa kusema tumekama sita, halafu kauli ya pili inakuja kudai tumekamata watatu.....inashangaza sana, idadi haihitajiki kupungua hapa, labda kama amemaanisha wamekamata watatu wengine, na hivyo sisi tufanye hesabu ya 6 + 3 =9.
 
Waziri EMMANUEL NCHIMBI katika taarifa yake ndani ya bunge amejichanganya juu ya idadi ya watuhumiwa waliokwisha kukamatwa kuhusiana na mlipuko wa Arusha.

Jana wakati akiongea na STAR TV alinukuliwa akisema idadi ya waliokamatwa ni sita lakni leo ndani ya bunge amesema ni watatu.

Je umakini wake uko wapi?

Error ya kawaida tu hiyo. Tutaunda KIKOSI KAZI ku rectify
 
Usanii mwingine tunaambiwa tuwe watulivu na wavumilivu bomu la arusha ni mapenzi ya mungu au binadamu????
 
Tatizo hawa watendaji wa serikali wameshazoea uwongo na hivyo akisema ukweli anaogopa asije akazoea then akasahau kuficha na kutetea wahalifu kama Kinana, Rostam na wengine
 
Naona wanajipanga kuwasingizia raia wakigeni..lengo ni kuuaminisha uma kwamba si tukio lililofanywa katika mising ya 'udini'.
 
Huyu jamaa naona hata haelewi kilichotokea... kama waliwakamata hata ishirini si angesema tuliwakamata ishirini kwa mahojiano na tumebaki na wawili? Kama hujui kudadavua habari kwani lazima uandike? We hope comfort acha kupotezea watu muda.
Naanza kuwa na wasiwasi na uhusika wa Ikulu kwenye kufadhili wahalifu. Mbona wanaanza kujichanganya? Usikute hata waliokamatwa ni vichaa kama yule wa Dk. Ulimboka?
 
quote_icon.png
By Atubela

Mnatakiwa kufahamu kuwa sio kila anaeshukiwa au kukamatwa ni mualifu, polisi inakamata inahoji ikiridhika na maelezo yako unaachiwa.. sasa mnataka kama wamekamatwa watu kumi basi ndio hao waliolipua bomu?
Hata nyie na lema wenu tunaweza kuja kuwadabua na kuwapoteza ndani kwa muda tukiridhika na maelezo tunakuachia.


Nimepata sababu nyingine ya kuichukia ccm na dini yake
 
Ngoja utasikia ni Wasomali ama M23 aliyokuwa anasema Waziri Membe. Ama ni wao wamejitengenezea ili kubadili topic ndani ya Arusha baada ya RC kulikoroga? Wale wataalamu wa Saikolojia watuambie..... wakati RC anaongea na PRESS uso wake ulikuwa na meseji nzito.....tena alikuwa na tabasamu la kuficha na huzuni ya kulazimisha.
 
Dada Atubela, Unaweweza ukatuambia 'nyie' ni kina nani?
 
Back
Top Bottom