Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

I hope this time Mhe. Nchimbi hatasema kwamba hao waliotupa bomu kanisani, sio MAGAIDI ni WAHUNI wachache! (Ref. Hao waliochoma makanisa moto Ngongo la Mboto sio WAISLAMU, bali ni wahuni wachache). Mind you waliochoma makanisa Ngongo la Mboto walitokea Msikitini!

Mkuu,
Ulikwenda kutoa taarifa polisi ama unaandika hapa jamvini ndio tukuone upe full informed ? Ukiwa na taarifa kama hizo peleka ushahidi kwenye vyombo husika ?

M23 wapo mjini taarifa unazo ? Mwenzanko nimeshawaripoti baada ya kurusha bomu kanisani !
 
Kwan wazir ndo anaekamata hao watuhumiwa? Si anapewa taarifa tu yeye ana deliver?...lawama apewe anaempa hizo information! That means polis ndo mambulula plus intelijensia

Na mpaka muda huu hakuna aliye na uhakika na watu wangapi walifariki dunia kutokana na tukio hili, habari za saa ITV wamesema waliokufa kutokana na tukio wamefika wawili hii ni baada ya mtoto/kijana mwingine kufariki njiani akipelekwa Muhimbili leo, huku Star Tv wao wametangaza waliokufa wamefikia sita, sasa sijui tuamini lipi. Tanzania hii.
 
Hawa ndio aina ya mawaziri
wa serikali ya CCM. Ukumbuki Maghembe alikitaja kijiji alichosema kipo
Arumeru Mashariki, alipoambiwa hakuna kijiji kama hicho alibakia
anabung'aa tu.

shujaa Filikunjombe alisha sema mawaziri wapo 18 tu, nchimbi hayupo
 
Nchimbi huwa ana kazi gani hapa tanzania?
 
Kwa nini wana Jf hatuungani kumtaka Nchimbi ajiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani?mauaji mangapi yameshatokea na bado yanaendelea kutokea huku tukiendelea kumlalamikia juu juu tuu na sharubu zake?

Dah Mkuu wazo zuri kweli, lakini hata tukiungana nakuhakikishia hakuna waziri wa JK atajiuzulu kwa uzembe, naamini hata Lowasa anajuta, kwa kuongezea tu nashauri tuungane kwa dhati 2015 tuwatoe hawa viumbe wasio na huruma wala mishipa ya aibu, vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya sana huko tuendako.
 
Waziri EMMANUEL NCHIMBI katika taarifa yake ndani ya bunge amejichanganya juu ya idadi ya watuhumiwa waliokwisha kukamatwa kuhusiana na mlipuko wa Arusha.

Jana wakati akiongea na STAR TV alinukuliwa akisema idadi ya waliokamatwa ni sita lakni leo ndani ya bunge amesema ni watatu.

Je umakini wake uko wapi?

Huyu ni mwongo tuu kwanza mchimbi atakuwa naye anahusika kwenye kurusha boom!
 
Atakapoulizwa vipi ni sita au tatu atajibu "zote ni namba cha msingi ni kukupa taarifa kwamba polisi wameshaanza kazi ya kufuatilia tukio kwa ukaribu saana na tayali wameshakamata washukiwa"
 
A liar must have a good memory!sasa huyu amekuwa na zero memery
 
Serikali Makini inakuwa na mawaziri makini, bali serikali babaishaji inakuwa na mawaziri wababaishaji kama akna Nchimbi.
 
Dah Mkuu wazo zuri kweli, lakini hata tukiungana nakuhakikishia hakuna waziri wa JK atajiuzulu kwa uzembe, naamini hata Lowasa anajuta, kwa kuongezea tu nashauri tuungane kwa dhati 2015 tuwatoe hawa viumbe wasio na huruma wala mishipa ya aibu, vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya sana huko tuendako.

Kweli nimeamini kuwa LOWASSA anaweza kuja kuongoza nchi hii kama Rais.
Wengine wote ndani ya Ccm ni Wachumia tumbo tu. Makosa yanatokea lakini hakuna anaekubali kuwajibika.kumbe Mh Lowassa kweli ni Dume la Mbegu na Mwanaume wa Shoka kama alivyowahi kusema Sophia Simba.

Japo mimi siipendi Ccm lakini ukweli kama Lowassa ataenda Upinzani nipo tayari kumpa Kura yangu.kwani nimegundua ni Kiongozi Jasiri mwenye kujiamini na mwenye kuthubutu.

CCM HAIKUBALIKI NI GENGE LA WAHUNI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!!!
 
Waziri EMMANUEL NCHIMBI katika taarifa yake ndani ya bunge amejichanganya juu ya idadi ya watuhumiwa waliokwisha kukamatwa kuhusiana na mlipuko wa Arusha.

Jana wakati akiongea na STAR TV alinukuliwa akisema idadi ya waliokamatwa ni sita lakni leo ndani ya bunge amesema ni watatu.

Je umakini wake uko wapi?

Leo watakuwa "wameongezeka" kwa negative 3, chezea ccm weye...!?
 
Mnatakiwa kufahamu kuwa sio kila anaeshukiwa au kukamatwa ni mualifu, polisi inakamata inahoji ikiridhika na maelezo yako unaachiwa.. sasa mnataka kama wamekamatwa watu kumi basi ndio hao waliolipua bomu?
Hata nyie na lema wenu tunaweza kuja kuwadabua na kuwapoteza ndani kwa muda tukiridhika na maelezo tunakuachia.

Lakini kwanini munawatangazia watu kabla hamjajilidhisha kuwa mulio wakamata ndiyo wahusika halisi?.au mulitaka kuwaaminisha wtz kuwa mulio wakamata ni wahusika wakuu ili mukawafanyie kile mulicho wafanyia vijana wa Mahenge ambao hawa kuwa na hatia yoyote ili muutangazie umma kuwa walikuwa wanakimbia?.Maanake nye maafande si wakuwaamini asilimia 100.Mulimuingiza chaka waziri wenu hivihi mh Abood kuwa mumewaua majambazi wakati munarushiana risasi mstu wa pande na yeye bila kutafakari akarukia kwenye vyombo vya habari akawamwagia sifa kemkem badae ikagundulika kuwa hakuna cha jambazi yeyote aliyeuawa waliyouawa ni vijana wafanya biashara wa mahenge ambao hawana na hatia yoyote huku mukiwa mumekomba fedha zote walizouza madini.Ikawa booonge la aibu kwa waziri wenu Abood kuingizwa chaka na Zombe.
 
Hivi umeelwa hoja? au umejaribu kufanya ulinganifu na ulichokiandika?
Kali ya awali inasema tumeshakama watu sita kuhusiana na tukio.
Kauli ya pili inasema tumeshakama watu watatu kuhusiana na tukio.
Hizi ni kauli mbili tofauti na kila moja ni matokeo ya mambo mawili tofauti.
Mchango wako ungleta maana kama kauli ya awali ingekuwa "Tumeshakamata watu sita" halafu kauli ya pili ingekuwa"...Sasa hivi tunawashikilia watu watatu baada ya mahojiano" hivyo sis tungefanya hesabu ya 6-3 = 3.

Lakini kwa kusema tumekama sita, halafu kauli ya pili inakuja kudai tumekamata watatu.....inashangaza sana, idadi haihitajiki kupungua hapa, labda kama amemaanisha wamekamata watatu wengine, na hivyo sisi tufanye hesabu ya 6 + 3 =9.

Mkuu labda cha kufanya hapa tumuulize Nchimbi hawa 3 wengine amewapeleka wapi isije ikawa wamepelekwa msitu wa pande.
 
Tatizo mkiambiwa mlikimbia umande mnalalamika....!
Kama wakiwatangazia tena ya kuwa watuhumiwa tunao 20, mtalalamika au mtakataa na kutaka idadi ile ile ya watu sita?
Watuhumiwa idadi inaweza kupungua au kuongezeka kwa sababu uchunguzi wa tukio bado unaendelea.
 
Our parliament is a complete ZOO KWA SABABU YA WINGI WA WABUNGE WA CCM, vinginevyo kama bunge lingekuwa na thinking animals wa kutosha kama wabunge wa CHADEMA huu upuuzi wa nchimbi usingevumiliwa.
 
Dah Mkuu wazo zuri kweli, lakini hata tukiungana nakuhakikishia hakuna waziri wa JK atajiuzulu kwa uzembe, naamini hata Lowasa anajuta, kwa kuongezea tu nashauri tuungane kwa dhati 2015 tuwatoe hawa viumbe wasio na huruma wala mishipa ya aibu, vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya sana huko tuendako.

lowasa alibugi men.
 
Hii sasa gesi, nadhani unahitaji Magnesium
Nchi yangu Tanzania,ni kweli huna viongozi,una waganga njaa na wahuni watupu.Wahuni hawa ni aibu tubu kwani kimataifa tunaaibika kwa sababu ya mafisadi wachache wasiofikiri na kuona mbali.Ccm mmekuwa janga kwa taifa letu,hamna dira wala mwelekeo,nendeni mkalime wezi wakubwa.
 
Back
Top Bottom