Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

Tukio la Arusha: Nchimbi ajichanganya Bungeni

Mnatakiwa kufahamu kuwa sio kila anaeshukiwa au kukamatwa ni mualifu, polisi inakamata inahoji ikiridhika na maelezo yako unaachiwa.. sasa mnataka kama wamekamatwa watu kumi basi ndio hao waliolipua bomu?
Hata nyie na lema wenu tunaweza kuja kuwadabua na kuwapoteza ndani kwa muda tukiridhika na maelezo tunakuachia.


Huo ni pulelezi wa analogia. Hizo ni zama za mawe. Afanye mtu ualifu alafu akae hapo, tatizo lenu hmpendi kuumiza vichwa mnapenda vi2 red made.
 
Kwa nini wana Jf hatuungani kumtaka Nchimbi ajiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani?mauaji mangapi yameshatokea na bado yanaendelea kutokea huku tukiendelea kumlalamikia juu juu tuu na sharubu zake?

Kwani jf ni chama cha siasa? chadema wana kazi gani? kubwabwaja tu vitendo hamna halafu wanakwambia 2015 wanachukua nchi hayo kiduchu hawana ujanja nayo kuchukua nchi mchezo
 
Waziri Nchimbi ajiuzulu maana ameshindwa kusimamia usalama wa Raia na mali zake Kwani uhalifu umekithiri Tanzania na wao wapo kutazama jinsi ya kukilinda CCM iwepo madarakani
 
Back
Top Bottom