Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Jamani nina swali,kuna jamaa aliona shati zuri inauzwa buku,akaazima jelo kwa mama na jelo kwa baba.Alipoenda kununua shati akapunguziwa bei ikawa 970,jamaa akaona bora apunguze madeni,akalipa sh10 kwa mama na sh10 kwa baba ye akabaki na sh10,sa hapo mama anamdai 490 na baba 490 jumla sh 980 na ile alibaki nayo 990. Swali ni je,sh kumi iko wapi ili hela zote zitimie 1000?