tukalkuleti kidogo

tukalkuleti kidogo

<br />
<br />
Hapana,math haija-fail hapa.Huyu bado anadaiwa sh.980,kama wamemkalia kooni kulipa deni,auze lile shati(sh.970) then aongezee na ile sh.10 aliyonayo mkononi atapata jumla ya sh.980 anayodaiwa,hakuna kilichopotea hapa!

kaka wasipomkalia kooni inamaana math ina fail isn't it?
 
Kiasi alichokopa 1,000/= kwa:
Baba: 500
Mama: 500

Ametumia 970/=:
Gharama kutoka hela ya mama: 485/=
Gharama kutoka hela ya Baba 485/=

Kawarudishia:
Mama 10/=
Baba 10/=

Baki 10/=
Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten.
NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF
aisee ni kweli, nimejaribu kufanya practically imekubali.sh 10 zinayeyuka kabisaaa... ukichukua 485 + 10 = 495 x2 = 990.
mi naona yule mfanyabiashara anapesa chafu...ngopela
 
Back
Top Bottom