Kuna haja gani ya kuhifadhi majina 250 kwenye simu? Marafiki, ndugu, jamaa wanafiki

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,477
Inakuaje una majina zaidi ya 250 ya marafiki ndugu na jamaa, ila unashindwa kupata dhamana au msaada wa sh 250,000 kutatua tatizo la X-ray ya Baba yako mzazi, baada ya wiki mbili umeshindwa kupata hicho kiasi mpaka mzazi kapoteza maisha kwa kumchelewesha kupata matibabu. Sasa swali langu ni hivi; kuna haja gani ya kuendelea kutunza hayo majina 250 kwenye simu yako?

Mimi simu yangu ina majina "15 of quality important names" si seivu majina ya marafiki wanafiki au Mzigo nikipata shida hao wasipo nisaidie naachia Mungu.

Nimesevu wake zangu wawili, Mama angu, shemeji, comrade angu iko US, Daktari mmoja, Imamu wetu, workmate wawili, schoolmate, na wengine muhimu, sitaki liability friends.
 
Inakuaje una majina zaidi ya 250 ya marafiki ndugu na jamaa, ila unashindwa kupata dhamana au msaada wa sh 250,000 kutatua tatizo la X-ray ya Baba ako mzazi...
Naunga mkono hoja yako...na hata, kwa mfano kuwa katika magroup ya whatsapp, unakuta mtu yuko kwenye magroup ya whatsapp mengi na hayana faida kwake kabisa.

Binafsi nina group moja tu ambao tusaidiana katika dharura, hasa za magonjwa. ukiniingiza kwenye group lazima uwe tayari kujieleza. Ukishindwa najiondoa hapo hapo
 
Awali ilikuwa ni ushamba tu kujaza majina mengi yasiyotumika. Unakuta mtu amejaza mpaka simu inajaa kuna wengine mwaka mzima hawapigi simu.

Mimi huwa naweka majina ambayo ni potential na usefully tu, hata ya wanaohitaji huduma yangu siyahifadhi. Hakuna haja ya kuweka namba za simu zisizotumika
 
Awali ilikuwa ni ushamba tu kujaza majina mengi yasiyotumika. Unakuta mtu amejaza mpaka simu inajaa kuna wengine mwaka mzima hawapigi simu. Mimi huwa naweka majina ambayo ni potential na usefully tu, hata ya wanaohitaji huduma yangu siyahifadhi. Hakuna haja ya kuweka namba za simu zisizotumika
Wengi walikua wanaona sifa kujaza number za watu wasio kua na umuhimu katika day to day work, kwa mfano Raisi wetu huenda hana number ya simu ya Mganga mkuu wa Muhimbili hospital lakini amesavu number ya Diamond platinum, kwanini? kwasbb ya umuhimu wa diamond katika kipindi cha kupiga kampaini za Uraisi.
 
sawa
 

Attachments

  • 37b2f55854a94ea887dc488382daff0b.jpg
    37b2f55854a94ea887dc488382daff0b.jpg
    25.2 KB · Views: 11
Inakuaje una majina zaidi ya 250 ya marafiki ndugu na jamaa, ila unashindwa kupata dhamana au msaada wa sh 250,000 kutatua tatizo la X-ray ya Baba ako mzazi,...
Kwani ili uwe msaada ni lazima usaidiwe tatizo lako la wakati huu? Hutahtaji msaada eneo jingine? Isiyekufaa asubuh atakufaa jioni so acha kukariri makosa au kutegemea kitu kutoka popote amin wewe ndie mwisho wa kila kitu ikitokea wa kujitolea shukuru.
 
Kwani ili uwe msaada ni lazima usaidiwe tatizo lako la wakati huu? Hutahtaji msaada eneo jingine? Isiyekufaa asubuh atakufaa jioni so acha kukariri makosa au kutegemea kitu kutoka popote amin wewe ndie mwisho wa kila kitu ikitokea wa kujitolea shukuru.
Mkuu mtu anae jitolea kukusaidia kwenye dharula anaumuhimu wake kuliko mtu mgine, sasa kama hao ulio save hawawezi kukusaidia kwenye dhalura wana umuhimu gani kwako.
 
Hata wapenzi, kama mpenzi hana appointment na promise haina haja ya kukaa na namba yake ni kuifutilia mbali. Namba za ndugu na marafiki wasio na tija hazipaswi kujaza server
 
Back
Top Bottom