Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

Kusema nchi hii ni masikini, hadi waka kaa kikao na banner kubwa kwamba matajiri wanakutana. Mwenye picha naiomba

images.jpeg
 
MARUFUKU KUHOJI HOJI FEDHA ZIMETUMIKAJE, HATA BUNGE HALIKUTHUBUTU KUHOJI CHOCHOTE, ILIKUWA NI LAZIMA USIFU NA UTUKUZE HATA PROF ASAD ALIPOHOJI 1.5TRIL AMBAZO ALIKUWA HAZIONI ALIFUKUZWA KAZI MARA MOJA NI VYEMA SASA WAZO LA NAPE LA KUHOJI MATRILION LIKAFANYIWA KAZI, ITAPENDEZA PROF AKARUDISHWA AU KUSAIDIA KWA MKATABA, YAANI TRIL 1.3 IMEKUWA NONGWA, NA TUMEONA ZILIPOKWENDA.
 
Nisimsikie mtu anasema "vyuma vimekaza"
Ila kwa kweli tulikuwa kwenye ukoloni japo tunayo bendera.
 
Nikuchague mimi,.
Mshara nikuripe mimi,.
Ukae nyumba bure,.
Nikupe gari
Halafu uniletee mpinzani,. Mambo yalikua vululuvululu SIJUI INGEKUAJE HADI LEO...
Jobless tungepelekwa huko kwa Zielinsk
 
Back
Top Bottom