Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

Kuna wakandarasi wawili Yapi Merkezi anajenga reli na Indo power anajenga miundombinu ya umeme.
Kazi ya ujenzi wa miundombinu ya umeme kwa ajili ya treni ni ya Indo power. Majaribio yanayofanywa ni ya mkandarasi wa reli ambaye ni Yapi Merkezi.
Ukifika muda wa kujaribu mfumo wa umeme itajaribiwa. Tatizo Watanzania wanataka waone steji ya mwisho kabla ya hatua ya mwanzoni...ndio maana wakijenga lazima kuwe na crack za expansion joint.
Acheni kuchanganya siasa kwenye mambo ya kitaalamu. Kila kitu mnakosoa na kubeza
 
Kama ilikuwa ni hivyo... c ni bora wangeziboresha zile za zaman tu... ili kusave cost na time...
Zimeboreshwa tayari soma hapa
 
Kuna wakandarasi wawili Yapi Merkezi anajenga reli na Indo power anajenga miundombinu ya umeme.
Kazi ya ujenzi wa miundombinu ya umeme kwa ajili ya treni ni ya Indo power. Majaribio yanayofanywa ni ya mkandarasi wa reli ambaye ni Yapi Merkezi.
Ukifika muda wa kujaribu mfumo wa umeme itajaribiwa. Tatizo Watanzania wanataka waone steji ya mwisho kabla ya hatua ya mwanzoni...ndio maana wakijenga lazima kuwe na crack za expansion joint.
Acheni kuchanganya siasa kwenye mambo ya kitaalamu. Kila kitu mnakosoa na kubeza
Yaani umeniharibu kabisa na habari za expansion joint aisee
 
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Treni ya umeme upi na iko wapi?
 
Hapa ndo unagundua Kuna watu ni viherehere na ujuaji mwingi vichwani mwao.

Naomba tuelewane kwanza kwenye kirefu cha SGR na maana yake, kwani tunaweza kujikuta tunatumia nguvu nyingi kubishana na mapoyoyo.

Wengi wetu humu tumekua watu tunaojiona tunajua Kila kitu sio siasa, michezo, teknologia na Kila aina ya taaluma na hapo ndo tunapoharibu kila jambo.

Nawaombeni tusubiri mradi ukamilike ndo tuukosoe kulingana na maelezo yao ya awali pia tukilinganisha na miradi kama hii na yenye thamani sawa na huu kimataifa.

#Da #Pride.
 
naomba uelewe kuwa kwa sasa wanacho-test ni njia ya treni baada ya kusimika reli, hawawezi leta train ianze kazi bira testing ya rail. testing hii itaendelea fanyika mara kwa mara kuweza ng'amua kama kuna makosa sehemu walimopitisha rail, hivyo mradi haujakamilika.

pili, elewa kuwa hata hiyo train wamayotest inatumia umeme, lakini kwa sasa umeme huo unazalishwa na generator, najua unaelewa umeme unaweza zalishwa na vyanzo mbali mbali, pia elewa kuwa umeme wa generator ni wa gharama, ndio maana mradi unapokamilika watatumia umeme wa TANESCO.

tatu, fahamu kwamba hata train itayotumia umeme wa Tanesco, itakuwa na backup power (umeme wa dharura) ambao unaweza kuwa unazalishwa na generator au batteries za nguvu kubwa, japo kutokana na gharama, generator ni nafuu.

nne, miundombinu ya umeme wa Tanesco, kwa kutumiwa na SGR bado haijakamilika, itavyokamilika itatestiwa pia. hii ndio engineering, testing kila baada ya hatua flani.
Hata Enginners wa Korea Kaskazini hutest mabomu yao mara kwa mara, watanzania tuache ujuaje, taaluma ya watu iheshimiwe.
 
Unamkuta mtu kama Quinine anachambua mambo ya SGR Hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo SGR tu hadi satelite! Juzi amehoji kwani kama nchi hatujawahi kurusha satelite yetu hata moja angani?.....hahahahahah! Tanzania kiboko sana. Hapo hapo wanakwambia tunapokimbilia kununua ndege itamsadiaje bibi yangu kule kijijini? Hapohapo tunasema kwanini hatujawahi kurusha satellite yetu? Sijui satellite itamsaidiaje bibi kule kijijini.
 
Nchi gani ulienda ukakuta Train hiyohiyo au reli 1 inatumia nishati 2 tofauti?
Mkuu umekariri au? Treni za UK reli hio hio inapita ya umeme na inayotumia diesel. Kuna Virgin trains zinatumia umeme. Kuna First Great Western inatumia diesel. Na nikwambie tu hilo First Great Western la diesel linakimbia kuliko hio Virgin ya umeme.
Reli kama zina upana sawa treni yoyote inapita. Ya umeme itachukua umeme from overhead cable or live rail,ya diesel inajizalishia yenyewe from its diesel engine aka diesel generator
 
Sisi yetu ni ya kisasa zaidi katika muundo wa kizamani!!!
Kweli mkuu Mafuta Generate na Umeme ni technoligia mpya Generator inatumia mafuta kuzalisha umeme engine inatumia mafuta kundesha train umeme unatumia train kuendesha generator.
 
Kwanza ukiangalia kwa makini kwenye ile video utaona Generator imebebwa nyuma ya locomotive ya mwisho....

Pili Reli ya umeme inaweza kupitisha treni ya diseli lakini Reli inayotumia diseli haiwez pitisha treni ya umeme
Kwamba barabara yanapopita magari ya diesel hayawezi kupita yanayotumia umeme..!!??
 
Africa Kusini Train ya Cape Town to Johannesburg engine zake zinatumia umeme lakini speed yake ni sawa ya train ya TAZARA.😂🤣😂🤣😂🤣
Uingereza wana train za umeme za underground speed yake ipo vizuri sana mnawahi kinoma kufika treni za London zile ndo za umeme sema umeme wake umepita kwenye reli
 
This is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,
Are Nikki Minaj, Kim K , Black Chyna, Amber Rose and the likes of them living in Africa too ?
 
Back
Top Bottom