Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
801
Reaction score
1,802
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
 
Velocity of motion when there is no power
 
Naomba ufafanuzi pia!?
Screenshot_20190706-195131_Twitter.jpeg
 
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???

Kwanza ukiangalia kwa makini kwenye ile video utaona Generator imebebwa nyuma ya locomotive ya mwisho....

Pili Reli ya umeme inaweza kupitisha treni ya diseli lakini Reli inayotumia diseli haiwez pitisha treni ya umeme
 
Fafanua kwanza

Kinachojengwa Standard Gauge Railway (SGR) ni njia tu itakaweza kupitisha train yoyote ya viwango hivyo au hata viberenge. Matumizi ya umeme ni kwenye kuendeshea train yaani nishati itakayotumika ni umeme na hiiitahitaji miundombinu ya ziada ili umeme utumike kuziendeshea train za umeme. Kabla miundombinu ya umeme kukamilika train inayotumia nishati yoyote yaweza kutumia SGR!
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
 
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Msivyopenda haya maendeleo mpaka mnakera. Kwanza hamna taarifa za kutosha. Treni hiyo itakuwa ikitumia Umeme na mafuta hilo moja.
Pili mradi upo asilimia 50 wewe unautathimini kama uliokamilika.
 
Hiv unajua maana ya 50% au unaongea... ??? Hakun mtu hapend marndeleo ya nchi... jiulize kipao mbele cha reli hyo ni mafuta au umeme... kama za mafuta zote zilizopo hapa tanzaniazinatumia mafuta... inabid watoe ufafanuz.. na kulikuwa hakuna umuhimu wa kutest kwa kupitia mafuta, wangesubir tu
Msivyopenda haya maendeleo mpaka mnakera. Kwanza hamna taarifa za kutosha. Treni hiyo itakuwa ikitumia Umeme na mafuta hilo moja.
Pili mradi upo asilimia 50 wewe unautathimini kama uliokamilika.
 
Kama ilikuwa ni hivyo... c ni bora wangeziboresha zile za zaman tu... ili kusave cost na time...

Back
Top Bottom