Duuh! Mkuu umechafukwa hatari.This is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,
Duuh! Mkuu umechafukwa hatari.This is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,
Wewe zinakutosha kweli!! Au mpaka uambiwe na Mzungu? Nini cha kufanya ishindikane?Nchi gani ulienda ukakuta Train hiyohiyo au reli 1 inatumia nishati 2 tofauti?
Watu wa bongo mnapenda sana kudandia train kwa mbele. Elimu yako ndio inakwambia SGR ambayo ni njia ya kupita train, maana yake train ya umeme?Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
kwani SGR system itatumia MW ngapi kutoka gridi ya taifa,maana tueleweshane hapa kwanza????Na wewe na akili yako unaamini kuwa ghafla tatizo la umeme lililodumu takriban miks 20 sasa litapata ufumbuzi ili hizo treni zifanye kazi? Yaani umeme kwa ajili ya treni utakuwepo lakini kwa ajili ya wewe mlalawima hakuna?
Kwa minajili ya mjadala, tufanye kweli umeme utakuwepo. Ni huu huu wa mgao wa Tanesco au wa Stigla? Na kama upo, kwanini usianze kutumika sasa, ambapo pia utafaidisha sekta nyingine?
Both SGR na Stigla ni WHITE ELEPHANT. Mtapokuja kuelewa hilo it would be too late to reverse your stupid decisions. Nafuu yenu ipo katika ukweli kuwa wananchi hawawezi kuelewa endapo SGR na Stigla zitabuma, kwa sababu media imezibwa mdomo (kama ambavyo hadi leo Watanzania hawajaambiwa watu wangapi waliuawa katika operesheni ya vyombo vya dola huko MKIRU) na watawala wetu watatoa takwimu za kupikwa, nanyi MATAGA mtazi-amplify kwenye social media
Watu wa bongo mnapenda sana kudandia train kwa mbele. Elimu yako ndio inakwambia SGR ambayo ni njia ya kupita train, maana yake train ya umeme?
Hayo uyaonayo mitandaoni sio majaribio ya train bali majaribio ya Kiuhandisi yanayofanywa na mkandarasi kwa kutumia INJINI NA BEHEWA ZAKE kujihakikishia kama ujenzi wake unaendana viwango.
Maana yake majaribio kama hayo bado yataendelea hata pale mradi ukukamilika na Injini na mabehewa halisi yatakayotumia umeme yatakaponunuliwa na serikali.
mhandisi na unauliza swali kama hili!!!,wewe ni mhandisi wa nini mkuu!!!!Kama yapi.. kwa maana na mimi ni muhandisi... so majaribio yapi sasa... au kutest nn??? Durability,absorption or
Aliyekudanganya SGR itawekwa trains za umeme ni nani? Yale matrain wanayoagiza China ambayo yaliondolewa kupisha train ya umeme China ndiyo mnasema ya umeme? Ile reli ni SGR ambayo itapitisha mavyombo ya diesel ila wataongeza tu uwezo kidogo wa speed na uzito! Kuna mijitu inakaa kusubiria train ya umemeLeo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Kama wewe ni mhandisi uhandisi wako una mashaka. Yaani mhandisi usiyejua mpaka sasa mkandarasi anafanya kazi gani?Kama yapi.. kwa maana na mimi ni muhandisi... so majaribio yapi sasa... au kutest nn??? Durability,absorption or
Bavicha bwana kwa akili kama hizi kweli kuna haja ya kuwafuta katika uso Tanzania.Aliyekudanganya SGR itawekwa trains za umeme ni nani? Yale matrain wanayoagiza China ambayo yaliondolewa kupisha train ya umeme China ndiyo mnasema ya umeme? Ile reli ni SGR ambayo itapitisha mavyombo ya diesel ila wataongeza tu uwezo kidogo wa speed na uzito! Kuna mijitu inakaa kusubiria train ya umeme
#MATAGA si mtage tujue moja?
Hivi kwa upotoshaji kama huu ukitekwa ukafungwa kwenye kiroba na ukatupwa mbali hivi kuna muungwana yeyote ataye kulilia kweli?Aliyekudanganya SGR itawekwa trains za umeme ni nani? Yale matrain wanayoagiza China ambayo yaliondolewa kupisha train ya umeme China ndiyo mnasema ya umeme? Ile reli ni SGR ambayo itapitisha mavyombo ya diesel ila wataongeza tu uwezo kidogo wa speed na uzito! Kuna mijitu inakaa kusubiria train ya umeme
#MATAGA si mtage tujue moja?
Miaka 3 bado ni 50% ili kufika Moro itachukua miaka 6, kufika mwanza, na Rwanda itachukua miaka 18Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
This is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,
[/QUOT😂😂😂
Kwa sababu hiyo test imefanywa kisiasa pia.Picha linaanza uzi wa teknolojia umewekwa kwenye jukwaa la siasa.. Hapa ndio tatizo lilipoanzia kwa mtoa mada
Mradi upo 56% Hata hivyo kila jambo lina utaalam wake na hukuambiwa wanatest flow ya umeme.Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Za zamani haziwezi pitisha treni za umeme.Kama ilikuwa ni hivyo... c ni bora wangeziboresha zile za zaman tu... ili kusave cost na time...
Kwa ufupi werevu wamekuwa kimya wapumbavu wamekuwa jasiri kuzungumza.Hiv unajua maana ya 50% au unaongea... ??? Hakun mtu hapend marndeleo ya nchi... jiulize kipao mbele cha reli hyo ni mafuta au umeme... kama za mafuta zote zilizopo hapa tanzaniazinatumia mafuta... inabid watoe ufafanuz.. na kulikuwa hakuna umuhimu wa kutest kwa kupitia mafuta, wangesubir tu
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...