Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

Sina hakika kama una uelewa na kinachoendelea. Subiri mradi uishe ndiyo uoji. Husilete bandiko chonganishi. Naamini asubuhi ulisikia jinsi enginia alivyolitolea ufafanuzi hizi habari zenu za kwenye mitandao
Hizo treni hazijaribu reli Bali zitatumika kubeba vifaa vya ujenzi wa hiyohiyo reli. Vifaa kama reli, saruji, kokoto, nondo, mataruma n.k. ni maelfu ya tani kwa siku kupeleka kwenye site ambako hakuna hats barabara.
 
Hiv unajua maana ya 50% au unaongea... ??? Hakun mtu hapend marndeleo ya nchi... jiulize kipao mbele cha reli hyo ni mafuta au umeme... kama za mafuta zote zilizopo hapa tanzaniazinatumia mafuta... inabid watoe ufafanuz.. na kulikuwa hakuna umuhimu wa kutest kwa kupitia mafuta, wangesubir tu
Serikali ya matangazo kwanza mkuu
 
Kweli njoo kwetu ..ujionee vituko

Back
Top Bottom