Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Tatizo la wazee wa "ndiyooo" hawajipi muda kutafakari!!!Rudi kwenye maada au unataka kila mtu ajue unatoka chama gani
Tatizo la wazee wa "ndiyooo" hawajipi muda kutafakari!!!Rudi kwenye maada au unataka kila mtu ajue unatoka chama gani
Usiyejua ni wewe na hao unaoshabikia mlengo wao. Siye wenye mtazamo chanya na maendeleo haya tunazo taarifa zote kuwa kwa sasa mradi huo kutoka Moro mpaka Dar ni asilimia 50 na Decemba mwaka huu itakuwa kwenye majaribio.Hiv unajua maana ya 50% au unaongea... ??? Hakun mtu hapend marndeleo ya nchi... jiulize kipao mbele cha reli hyo ni mafuta au umeme... kama za mafuta zote zilizopo hapa tanzaniazinatumia mafuta... inabid watoe ufafanuz.. na kulikuwa hakuna umuhimu wa kutest kwa kupitia mafuta, wangesubir tu
Kwa faida yako na Kwa wengine naomba nikujibu. Matairi ya treni yanazungushwa na MAGNETIC FIELD. Magnetic field hii inatengenezwa na UMEME. Umeme huu unatoka wapi?Maelezo mazuri na yanayoeleweka.. lakn usitake kunidanganya.. useme eti walitumia generator kuzalisha umeme na kuendeshea lile tren jana kwa majaribio.... pale wametumia diesel engine kusukuma ,ile tren sio wametumia diesel generator kuzalisha umeme kwa jili ya kufua umeme ... kwanza elewa ili ten ya umeme ifanye kazi vzr, in rail ways either juu au chin wa distribute umeme... huwez kuzalisha umeme ndani ya chombo husika kinachosafiri ,halafu ule ule umeme ufanye motion... hii ni sawa na kusukuma gari ukiwa ndan ya gar
MumeliwaaaLeo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Hili litester mbona kama ile midude ya Wakenya???Video yake
View attachment 1148222
4...sgr tuliaminishwa ni treni la umeme bullet train ila mwisho wake tumetumia mabehewa ya reli ya katiMkuu embu fanya judgmnet from these three experiences unaweza add za kwako ili upate kujua yajayo yanafurahisha au la:-
1-big results now(BRN) tulichoaminishwa wakati inaanzishwa ni nini na output ilikua ni nini?
2-umeme wa gesi tulichoaminishwa wakati inaanzishwa ni nini na out put ilikua nini
3-mwendo kasi tuliamihishwa ni na kikaja nini
....ongezea hapo
Yap yap yoo!This is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,
Nchi gani ulienda ukakuta Train hiyohiyo au reli 1 inatumia nishati 2 tofauti?Msivyopenda haya maendeleo mpaka mnakera. Kwanza hamna taarifa za kutosha. Treni hiyo itakuwa ikitumia Umeme na mafuta hilo moja.
Pili mradi upo asilimia 50 wewe unautathimini kama uliokamilika.
Hivi reli ya Tazara ni SGR?
Ukubwa wake ni tofauti?..hapana.
..Reli ya Tazara ni Cape Gauge Rail.
..Cape Gauge ndiyo inatumika ktk reli za nchi za Kusini mwa Afrika.
Sema umeliwaTumeliwa.
Lile sgr sio la umeme.
Usishangae likatumia makaa ya mawe
Mumeliwaaa😂😂Sema umeliwa
Ukubwa wake ni tofauti?
Mnajua kukurupuka kutafuta sifa na kujiona wajuaji kumbe maboya tuHiv unajua maana ya 50% au unaongea... ??? Hakun mtu hapend marndeleo ya nchi... jiulize kipao mbele cha reli hyo ni mafuta au umeme... kama za mafuta zote zilizopo hapa tanzaniazinatumia mafuta... inabid watoe ufafanuz.. na kulikuwa hakuna umuhimu wa kutest kwa kupitia mafuta, wangesubir tu
Ok..ukubwa tofauti.
..meter gauge rail / reli ya mkoloni ni 1000 mm.
..Cape Gauge Rail / Tazara ni 1067 mm.
..Std Gauge Rail / Reli mpya ni 1435 mm.