Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,626
- 4,345
Picha linaanza uzi wa teknolojia umewekwa kwenye jukwaa la siasa.. Hapa ndio tatizo lilipoanzia kwa mtoa mada
Msivyopenda haya maendeleo mpaka mnakera. Kwanza hamna taarifa za kutosha. Treni hiyo itakuwa ikitumia Umeme na mafuta hilo moja.
Pili mradi upo asilimia 50 wewe unautathimini kama uliokamilika.