Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Velocity of motion when there is no power
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Velocity of motion when there is no power
Kwa faida yako na Kwa wengine naomba nikujibu. Matairi ya treni yanazungushwa na MAGNETIC FIELD. Magnetic field hii inatengenezwa na UMEME. Umeme huu unatoka wapi?
1. Treni ya diesel engine yake (lile bichwa) ni generator linalotumia hio diesel. Kwahio generator ya diesel inazalisha umeme unaozalisha magnetic field inayizungusha matairi.
2.Treni ya umeme inachukua umeme kutoka overhead cables au live rail, umeme huo inazalisha magnetic field inayozungusha matairi ndio maana treni ya umeme huwezi kuona hilo libichwa limejaa engine aka generator.
Kuhusu hii test wanatest uimara wa RELI haihitaji treni itumie umeme wa juu kutest uimara wa RELI.
Lingine hii hii SGR yenye overhead cables inaweza kutumiwa na treni za diesel vile vile na zipo zinakimbia kama za umeme tu. Treni yetu ya umeme wanasema itakuwa na kasi ya 160kph, UK kuna treni ya diesel inakimbia zaidi ya 200kph.
Mnajua kukurupuka kutafuta sifa na kujiona wajuaji kumbe maboya tu
Pale wana test njia kuona kama ipo sawa
Treni inapo tembea kipande hicho je kuna sehemu inaleta shida
ikiwa ni mojawapo ya Mtikisiko
njia Imekaa sawa ndio inafuata hatua nyingine
Final test bado
hii itafanywa na Treni zitakazo letwa na Serikali ni hii ni mara baa ya mradi kukamilika
Kwa kuongezea tu ni kuwa Treni za Africa kusini zinakuja hadi Dar es salaam kwa kuwa viwango vyake vinafanana...hapana.
..Reli ya Tazara ni Cape Gauge Rail.
..Cape Gauge ndiyo inatumika ktk reli za nchi za Kusini mwa Afrika.
Sure!...reli ya tazara ni standard gauge toka miaka hiyo hawataki kuongeleaHivi reli ya Tazara ni SGR?
Zimeboreshwa tayari soma hapa
![]()
Serikali imeamua kukarabati upya reli za zamani
Habari za wakati huu wanajukwaa? Serikali ya awamu ya tano imeamua kulivalia njuga suala la uchukuzi. Serikali imeamua kufanya marekebisho ya reli za zamani na kuhakikisha zinafanya kazi kwa ufanisi. Reli ya kati Mbali na ujenzi wa standard gauge serikali imeamua kuikarabati reli ya zamani...www.jamiiforums.com
kwanza elewa ili ten ya umeme ifanye kazi vzr, in rail ways either juu au chin wa distribute umeme... huwez kuzalisha umeme ndani ya chombo husika kinachosafiri ,halafu ule ule umeme ufanye motion... hii ni sawa na kusukuma gari ukiwa ndan ya gar
Daah...umenivunja mbavuVelocity of motion when there is no power
I second your pointThis is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,
Fungua uzi usome uangalie na video. Nimebahatika kupita site kazi inaendelea mkuuZimeboreshwa kweli au serekali imesema?
Fu
Fungua uzi usome uangalie na video. Nimebahatika kupita site kazi inaendelea mkuu
SGR siyo treni bali ni aina ya reli. Angalia reli ya kati na reli ya TAZARA[SGR]. Tofauti yake ni upana wa reli na mataruma. Treni ya umeme lazima kiwe na njia ya umeme inayopita juu ya njia ya reli na kuingia kwenye treni kwa kutumia brashi/antena maalumu.Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Leo katika social media zimeonyesha majaribio ya tren ya umeme yaani SGR...
Swali langu ni je.. pale wanatest treni kama inapita kweny njia yake au... itawezekanaje tren ya umeme itrmbee bila distribution ya umeme katka rail ways...
Kwa vyovyote pale wametumia engine kama means of motion sio umeme... sasa hapo tuna test nin ???
Unaboa wewe! Hawa watu wanafanya yao wala mimi na wewe hatujasoma andiko la project, sasa haya yote ni ya nini? Tuwe na subra mpaka wafike mwisho wakabidhi ndipo tuwanange au tuwashukuru. Unless wewe au mjomba wako ndiye consultant wa mradiHiv unajua maana ya 50% au unaongea... ??? Hakun mtu hapend marndeleo ya nchi... jiulize kipao mbele cha reli hyo ni mafuta au umeme... kama za mafuta zote zilizopo hapa tanzaniazinatumia mafuta... inabid watoe ufafanuz.. na kulikuwa hakuna umuhimu wa kutest kwa kupitia mafuta, wangesubir tu
Same ujenzi unaendelea kwa reli ya Tanga Arusha.Sote zipi umepitia?
Same ujenzi unaendelea kwa reli ya Tanga Arusha.
Wameondoa tope lililofukia reli wanaweka mataruma mapya na chuma paundi 80 kwa maeneo yaliyokua hayana paundi 80.
Reli ya Dar Mwanza walikua mto mkondoa porini sana nilipita pale wanafanya kazi hiyohiyo pamoja na kuunga chuma kwa flash balt welding.
Na wewe na akili yako unaamini kuwa ghafla tatizo la umeme lililodumu takriban miks 20 sasa litapata ufumbuzi ili hizo treni zifanye kazi? Yaani umeme kwa ajili ya treni utakuwepo lakini kwa ajili ya wewe mlalawima hakuna?naomba uelewe kuwa kwa sasa wanacho-test ni njia ya treni baada ya kusimika reli, hawawezi leta train ianze kazi bira testing ya rail. testing hii itaendelea fanyika mara kwa mara kuweza ng'amua kama kuna makosa sehemu walimopitisha rail, hivyo mradi haujakamilika.
pili, elewa kuwa hata hiyo train wamayotest inatumia umeme, lakini kwa sasa umeme huo unazalishwa na generator, najua unaelewa umeme unaweza zalishwa na vyanzo mbali mbali, pia elewa kuwa umeme wa generator ni wa gharama, ndio maana mradi unapokamilika watatumia umeme wa TANESCO.
tatu, fahamu kwamba hata train itayotumia umeme wa Tanesco, itakuwa na backup power (umeme wa dharura) ambao unaweza kuwa unazalishwa na generator au batteries za nguvu kubwa, japo kutokana na gharama, generator ni nafuu.
nne, miundombinu ya umeme wa Tanesco, kwa kutumiwa na SGR bado haijakamilika, itavyokamilika itatestiwa pia. hii ndio engineering, testing kila baada ya hatua flani.
Duuh! Mkuu umechafukwa hatari.This is Africa where a lady with big buttocks have more confidence to win life than one having masters degree,