Kwa wanaume, kufanya mapenzi kila siku hupunguza uwezekano wa kubebesha mimba?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Mshukuru Mungu kwa afya bora,

Moja kwa moja niende kwenye mada,

Ninahamu kubwa ya kufahamu kwa mwanaume anaefanya mapenzi kila siku na mke wake ana uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kumpa mimba mwanamke?

Kifupi, kufanya mapenzi kila siku hupunguza sperm mobility.

Hupunguza sperm motility?

Hupunguza sperm morphology?

Naomba mnisaidie kwa Faida yangu na faida ya watu wengine.

Mshukuru Mungu kwa uzima.

Dar es salaam kila siku watu 6 wanakufa kww ajali ila wewe upo.
 
Binafsi sijui kinachoathirika, kama ni mobility, motility au quantity, ila ni experience yangu kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza sana chances za kutungisha mimba.
Kwa upande wangu, nikifululiza siku tatu kabla ya yeye kuingia kwenye siku zake za hatari, basi huwa sina wasiwasi kabisa. Hayo ni matokeo ya uchunguzi wa miaka minane ya ndoa, iliyoleta watoto wawili waliopishana kwa miaka mitatu, na njia pekee ya uzazi wa mpango ni calendar pekee
 
Sio kila siku hata ukiwa na uwezo wa kufanya mapenzi kila baada ya lisaa na ukawa unajamiiana na wanawake tofauti tofauti ambao wote wapo katika siku zao za kuweza kushika mimba basi mimba itaingia tu. As long as mbegu zako hazina hitilafu yeyote na unafika mshindo ndani yao.

Kitakachoweza kuathirika ni idadi (wingi) ya mbegu zinazotoka lakini sio uwezo wake wa kutingisha mimba. Hata ikitoka kidrop tu, kina uwezo wa kutungisha mimba.
 
Sio kila siku hata ukiwa na uwezo wa kufanya mapenzi kila baada ya lisaa na ukawa unajamiiana na wanawake tofauti ambao wote wapo katika siku zao za kuweza kushika mimba basi mimba itaingia tu. As long as mbegu zako hazina hitilafu yeyote na unafika mshindo ndani yao.

Kitakachoweza kuathirika ni idadi (wingi) ya mbegu zinazotoka lakini sio uwezo wake wa kutingisha mimba.
Safi.
Kumbuka kuwa mshindo mmoja hutoa sperm zaidi ya milioni na inayotunga mimba ni moja au mbili.

Wingi wa sperm siyo uwezo wa kutungisha mimba, hata ziwe chache ubora ni ule ule.

Mshindo mmoja ukigawanywa vizuri unatungisha mimba zaidi ya mia tano.
 
Safi.
Kumbuka kuwa mshindo mmoja hutoa sperm zaidi ya milioni na inayotunga mimba ni moja au mbili.

Wingi wa sperm siyo uwezo wa kutungisha mimba, hata ziwe chache ubora ni ule ule.

Mshindo mmoja ukigawanywa vizuri unatungisha mimba zaidi ya mia tano.
kabisa...........
 
Na ww kwa nn ufanye kila siku mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba na mtoto azaliwe strong na mwenye akili sio unamwaga vimbegu ambavyo having akili
 
Back
Top Bottom