Msaada: Sifiki kileleni kwa kufanya mapenzi kawaida, najichua ili kufika

Hermajestyp

New Member
Sep 28, 2023
3
17
Hellow guys,

Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana.

Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia “anahisi anatumia nguvu sana na sifiki kileleni.” Hivyo nikaamua kuanza kujaribu kama uwezo ninao au lah!

Nilipofanya siku ya kwanza nilihisi raha sana, ikawa mchezo wa kila siku, nilikuwa nikijichua hadi mara nne au tano kwa siku, nmejaribu sana kuacha mchezo huo lakini nashidnwa kabisa

Kwa mwezi lazima nijichue hata mara nne au tano, hata kama nimetoka kufanya mapenzi lazima basi nijichue tena ili nijifikishe.

Naombeni msaada jinsi gani naweza kuacha kujichua, sababu anashindwa kabisa, kufika kwa kusex kawaida
 
Ngojaa waje wenye mada Yao...
FB_IMG_1684074533603.jpg
 
Hongera Kwa ujasiri.
Kujichua mara nyingi hutokea mtu awapo peke yake na hufanya jambo hili Kwa Siri katika mazingira ya upekee. Mojawapo ya njia za kuzuia hii Hali kama upo kwenye ndoa ni
1. kujaribu kuwa na ukaribu na mwenza wako. Mfano, wakati wa kuoga unaweza kwenda kuoga nae pamoja. Kama ni nyakati za mapumziko nyumbani, jitahidi sana kuwa karibu nae. Usijikalie peke yako.

2. Punguza matamanio yako ya kingono Kwa watu wengine. Kujichua huchukua taswira ya picha ya mtu alielengwa katika matamanio na Kisha mhusika hujaribu kuboresha Ile taswira kwenda kwenye mahitaji yake. Ikiwa Kuna Jambo unaona mwenzi wako analikosa, ni muhimu kuliboresha ili matamanio yako yawe kwake. Mfano: usafi, kuwa romantiki, sura ya kutabasamu na upole nk.

3. Kujichua ni kitendo kisicho Cha kiungwana na hakikupi Raha kama ambayo ungeipata kutoka Kwa mwenza wako. Badili muelekeo wa fikra zako na kukuona kama kitendo kichafu kisichofaa. Kujichua ni ubinafsi uliopitiliza. Ikiwa unampenda mwenza wako, dhamiria kukamilisha nae tendo la ndoa Kwa ufanisi mkubwa mno. Ondoa hayo mapicha picha kichwani na uanze kumpenda mmeo.

3. Mwisho, kuzuia Tabia mbovu kama hiyo, inahitaji ujasiri wa kuamua kuacha. Dhamiria kuacha. Fanya mazoezi, mweke mwenza wako karibu, muone kama yeye pekee ndo anaweza kutimiza haja yako ya Hilo tendo. Acha kuwa mbinafsi.

Mimi ni Dad165-Dingi mchanga, Father, mme ajae!
 
Hellow guys,

Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana.

Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia “anahisi anatumia nguvu sana na sifiki kileleni.” Hivyo nikaamua kuanza kujaribu kama uwezo ninao au lah!

Nilipofanya siku ya kwanza nilihisi raha sana, ikawa mchezo wa kila siku, nilikuwa nikijichua hadi mara nne au tano kwa siku, nmejaribu sana kuacha mchezo huo lakini nashidnwa kabisa

Kwa mwezi lazima nijichue hata mara nne au tano, hata kama nimetoka kufanya mapenzi lazima basi nijichue tena ili nijifikishe.

Naombeni msaada jinsi gani naweza kuacha kujichua, sababu anashindwa kabisa, kufika kwa kusex kawaida
Mshauri mumeo ajiongeze.

Kuna style moja inaitwa njiti ya kibiriti lazima umwage..
.hyo kibiriti hata mwanamke uwe sugu kiasi gani lazima ufike kileleni.
 
Embu tuelezee kilele ni kitu Gani , inakuaje pale unapofika kileleni, mana wanawake wengi mnataka kufika kileleni ila hampajui, wezenu kilele chetu ni kumwaga uji. Nyie je
 
Back
Top Bottom