TUCTA ni mithili ya BAKWATA tu, wote matawi ya CCM.Halafu TUCTA wasivyo hata na chembe ya aibu wanasema Wafanyakazi eti mameridhia uwepo wa hicho kikokotoo! Na wakati wastaafu wengi wanalalamikia huo wizi na uonevu wa wazi kabisa.
Hii nchi inahitaji divine intervention. Manung'uniko ya nafsi kwa wananchi yamekuwa mengi mno kiasi kwamba bila ya rehma ya Mungu kunaweza tokea tafrani kubwa kuwahi kutokea na majambazi wahusika hawatoamini.