Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

Tujikumbushie matukio na mambo ya miaka 2000

huyu dudubaya aliibukia kwenye kipindi cha hawavumi lakini wamo cha wakati huo unaenda kama ulivyo pale ITV unakutana na mtangazaji wa kipindi hicho wa wakati huo, si huyu zomboko, unarekodiwa kipindi kinaenda hewani. Hichi cha zomboko unaenda tayari una video yako, cha zamani ilikuwa unaenda kavukavu na makopokopo yako unaonesha kipaji chako tu siyo kuonesha kazi kama sasa. Dudu baya aliibuka na goma lake la Mwanangu huna nidhamu
Aisee dudubaya alichana sana mulleee

Akaja na ile akiwa na nyandu tozi, toka sitoki

🤣🤣 Ila maisha
 
💯💯 Naikumbuka hii, jamaa nasikia alipewa gari kali na mkapa akaishia kula pesa na mademu zikaisha🤣
Suala la mademu lilikua la kila msanii, ni vile tu mambo yalibadilika ghafla pasi na kusahau wanyonyaji wa muziki.

Msikilize dudubaya utagundua wasanii wengi walipotea kwenye game wakiwa kwenye peak
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi, huu uzi watoto wa 2000 wanaona nyotanyota tu, wa like tu wakubwa zao tukiwapa fact za wakati huo

Suala la mademu lilikua la kila msanii, ni vile tu mambo yalibadilika ghafla pasi na kusahau wanyonyaji wa muziki.

Msikilize dudubaya utagundua wasanii wengi walipotea kwenye game wakiwa kwenye peak
Hapa nakubaliana na wewe
 
ukimwi wa kipindi hicho ulikuwa ni ukimwi haswa, ukiupata unakwenda na maji fasta. Watu walikondeana mpaka inatisha, tofauti na siku hizi kuna ARV watu wanabugia na kunenepa huwezijua kama mtu ana UKIMWI
Ile grade one ya UKIMWI nasikia ilisepa na watu wengi sana wa kule kagera. Na inasemekana hata baada ya kondom kuingia watu walikuwa wana-share condoms wakidhani hiyo ndiyo njia sahihi ya kupambana na gonjwa la slim.
 
Kuntu! 😎.
D58DFDB2-D12E-49EB-9D70-AA54EF4B7AF7.jpeg
 
Back
Top Bottom