FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
Bishanga wazee wa siku hizi hatutaki shikamooshikamoo anti!
(ps: ole wako uitikie marhaba!)
wala usihofu sitaitikia ha ha
Last edited by a moderator:
Bishanga wazee wa siku hizi hatutaki shikamooshikamoo anti!
(ps: ole wako uitikie marhaba!)
Mwakalinga ni kweli kabisa ..hata sitanii ha hahahaFirstLady1 na wewe kwa kamba! haaa haa haa haya bwana
Hii ni Gari ya Bob Marley ambayo alikuwa anaitumia mpaka mauti yanamkuta, Kwa sasa Gari hiyo imepark kwenye makumbusho huko Kingston , Jamaica.
Hivi vitabu bado vipo, kama wavitaka nenda Mlimani City kuna duka la vitabu, nishawahi kuvinunua vi2, na kuna vitabu vingi mno.
ninacho mbaka leo tena kipyaa!! i love the book!!
hii kitabu nayo ni nzuri sana,kazi zote za Shaban Robert nazikubaliHiki kitabu nilikuwa nakipenda mno!!!!
Yaani nachunga Ng'ombe huku npiga riwaya!
Ujumbe wa kitabu hiki bado unanguvu hadi kwenye maisha tunayoishi.......kuna watu hawafanyi kazi kwenye familia
zetu, lkn ndiyo wa kwanza kumpiga vita yule anae jipatia kipato kwa jasho lake.
Kwa udi na uvumba, kwa gharama yoyote, nakitafuta kitabu cha Juma na Roza, tulikisoma tukiwa darasa la pili
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania, taifa lililokosa waandishi. Sijui ni wapi tunakoelekea kwa kweli.
Kitabu changu cha mwisho nilichokipenda na kiliandikwa na Mtanzania Prof. Chachage, MAKUWADI WA SOKO HURIA. Kina Shigongo hawajui wanachiokifanya, wanaandika kurasa nyingi zisizo na mvuto wala zisizoeleweka.
wakati ule waandishi walikuwa wanajituma kuandika,sasa hivi wamekaa kibiashara zaidiNalisikitikia taifa langu la Tanzania, taifa lililokosa waandishi. Sijui ni wapi tunakoelekea kwa kweli.
Kitabu changu cha mwisho nilichokipenda na kiliandikwa na Mtanzania Prof. Chachage, MAKUWADI WA SOKO HURIA. Kina Shigongo hawajui wanachiokifanya, wanaandika kurasa nyingi zisizo na mvuto wala zisizoeleweka.
Viko wapi? I mean link ziko wapi tuvisome? mbona mmeweka maganda tu?
Msinifanye nilie.
Erickb52 mi kipindi kilikuwa kama hakifiki,ila inakuwa raha pale mnapoanza kitabu kipya na hujui story halisiHahahahaaaaaa Excellent umenikumbusha mbali sana aisee....dah
Nakumbuka nilikuwaga ndo msomaji mkuu wa vitabu darasani then wengine wasikilizaji.....Niliwasomea sana kitabu cha Vuta Nkuvute na Hiba ya Wivu plus zawadi ya ushindi....
Dah long time
FirstyLady1 duh huko mbona mbali,wakati huo mi bado sijazaliwaExcellent mwaka 1973 nilikuwa nasoma uhaziri Tabora sijui wewe ulikuwa wapi miaka hiyo?
mwaka 1975 nilisoma kitabu cha Kovu la pendo / Casimiri Kuhenga. nimekitafuta sana sijapata
1981 nilisoma kitabu chaView attachment 53846 you can imagine ..sasa umri umeshaenda kwao....ukipata Copy hizi tafadhari niambie
Ratili moja pesa moja!!!.......Mayai ya Ratili moja pesa moja,dhahabu ya Ratili moja pesa moja hahahah!!!!!!!....Mfalme juha ilikuwa Raha tupu!!View attachment 53817Walii na Bakari....unakumbuka Bakari alivyonenepa na baadaye kushitakiwa?unakumbuka mandazi madogo yalikuwa shilingi ngapi na makubwa shilingi ngapi?Nini kilitokea mpaka mfalme akanyongwa?
Nilikuwa nakisoma nakiruda nakumbuka safari saba za Sindibadi
View attachment 53816Nchi inayoelea angani