Tujikumbushe

Tujikumbushe

ngoswe kwa wapenda vibeki tatu ndio inawahusu zaidi hii kusadikika imekaa sawa kabisa na tz na mfalme juha na huyu mkuu wa kaya ngoma droo yaani hawajamaa walikuwa wanaua kweli kweli..
 
Hiki kitabu nilikuwa nakipenda mno!!!!

Yaani nachunga Ng'ombe huku npiga riwaya!
Ujumbe wa kitabu hiki bado unanguvu hadi kwenye maisha tunayoishi.......kuna watu hawafanyi kazi kwenye familia

zetu, lkn ndiyo wa kwanza kumpiga vita yule anae jipatia kipato kwa jasho lake.

Wakuu hiki kitabu bado kipo? Nitakipata wapi? Pls help.
 
481183525.jpg
 
Nakitafuta kitabu kilichokuwa na story ya WAGAGAGIGIGOKO sikikumbuki jina lakini kilikuwa kinasisimua sana.....by the way ule moyo wa kusoma vitabu kama hivi sijui nimeuweka wapi (nitautafuta) au vitabu vya kileo hovyo?

Halafu kuna alfu lela ulela - siku elfu na?..................... Kaka zangu walipokuwa wakikisoma/na kutuhadithia usiku nilikuwa sipati usingizi, ni hofu tupu.............

Halafu kuna cha darasa la tatu kiswahili kilikuwa na story ya sungura na sizitaki mbichi hizi...siukumbuki ule ushairi vizuri

.......sungura mimi maskini uvivu wangu nyumbani.................

wagagagigikoko ni buricheka
 
hizi mbili nimezisoma

Sie mwalimu alituambia tuchague either The Beautyful Ones Are Not Yet Born or the Petals of Blood, wasichana wote darasani wakachagua hicho cha kwanza wakidhani ni love story. Ikawa imekula kwao. It is a very good book, a must read. Yaani ufisadi unaelezewa explicitly.
 
Back
Top Bottom