Tujikumbushe

Da!! Mkuu umenikumbusha mbali sana kitabu hiki kilinifanya niwe nasisimkwa sana yaani maana hakika mtunzi alijua kukamata hisia za wasomaji wake. Tofauti na sasa kila mtuzi anatunga vya mapenzi tu!!
Je Kitabu cha hadithi cha huyu Mzee wa Kizulu Umslopogaas (Allan Quatermain )?


hagg-umslopogaas.jpg
H. Rider Haggard's Hero Umslopogaas


Where is he buried?

by Stephen Coan


Is the mighty Umslopogaas, the axe-wielding hero of Sir Henry Rider Haggard's Allan Quatermain and Nada the Lily, buried under the playing fields of Clarendon Primary? Possibly. But what is a fictional hero doing in a grave, known or unknown, in the first place?

Well, Umslopogaas was based on a real person, his name was M'hlopekazi, & the young Haggard met him in Pietermaritzburg in the 1870s. When Haggard accompanied Sir Theophilus Shepstone on his mission to annex the Transvaal in 1877 the sixty-year-old M'hlopekazi was one of the small party.


James Earl Jones as Umslopogaas





Violet Books: Umslopogaas
 
Excellent mwaka 1973 nilikuwa nasoma uhaziri Tabora sijui wewe ulikuwa wapi miaka hiyo?
mwaka 1975 nilisoma kitabu cha Kovu la pendo / Casimiri Kuhenga. nimekitafuta sana sijapata
1981 nilisoma kitabu cha books[1].png you can imagine ..sasa umri umeshaenda kwao....ukipata Copy hizi tafadhari niambie
 
Last edited by a moderator:
image.png


Hii ni Gari ya Bob Marley ambayo alikuwa anaitumia mpaka mauti yanamkuta, Kwa sasa Gari hiyo imepark kwenye makumbusho huko Kingston , Jamaica.
 
MziziMkavu hata mimi nakitafuta sana mkuu
Excellent asante sana kwa kutukumbusha riwaya na vitabu hivi vya mashairi
Sijui kama siku hizi vinatumika tena au ndo vishakuwa vya kizamani
Maana sioni tena ule utaalam wa lugha uliokuwepo wakati vinatumika
Asante sana sana mkuu
 
Kuna zile hadithi za kina Willy Gamba sijui ni kitabu gani ...
Ebwana Excellent umenikumbusha mbali sana nikirudi hm lazima nivitafute kadri niwezavyo nivisome upya .
 
Last edited by a moderator:
Excellent mwaka 1973 nilikuwa nasoma uhaziri Tabora sijui wewe ulikuwa wapi miaka hiyo?
mwaka 1975 nilisoma kitabu cha Kovu la pendo / Casimiri Kuhenga. nimekitafuta sana sijapata
1981 nilisoma kitabu chaView attachment 53846 you can imagine ..sasa umri umeshaenda kwao....ukipata Copy hizi tafadhari niambie
FirstLady1 na wewe kwa kamba! haaa haa haa haya bwana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom